Kenya yavunja rekodi ya deni la Taifa mpaka kuvunja sheria, Tanzania tumejipangaje?

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,446
7,822
Utawala wa William Ruto umeshutumiwa kutokana na mwenendo deni la Taifa nchini Kenya huku akiwa ndiye Rais aliekopa pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka mmoja tangu Taifa la Kenya liumbwe.

Deni hilo limeongezeka kwa $ bilioni 10.8 kufikia $ bilioni 70.75 kulingana na takwimu zilizotolewa Jumanne huku ukuaji wa uchumi wa Kenya ukishuka mpaka 4.8% kutoka 7.6% huku mfumuko wa bei ukifika 7.3%

Kwa Tanzania, deni la Taifa liliongezeka kwa Tshs trilioni 21 ndani ya miezi 6 kufikia Disemba 2022 likiwa ndio ongezeko kubwa zaidi kuwahi kutoka katika historia ya Tanzania huku watawala wakiwatoa watanzania hofu juu ya uvumilivu wa deni hilo.

Kenya wana mwisho wa kiwango cha juu cha kukopa(Debt ceiling) kilichopitishwa kisheria ambacho ni Kshs trilioni 10 lakini deni hilo limefika trilioni 10.1 na moja ya hatua Kenya inayotarajiwa kuchukua ni kuacha kukopa huku Bunge likibadili sheria ya ukopaji.

Sidhani kama Tanzania tuna 'debt ceiling' na mipango ya kulipunguza spidi ya ukuaji deni la taifa maana deni kupungua imekuwa ni ndoto kwa nchi nyingi za dunia ya tatu. Nini kifanyike?
 
Kwa kasi ambayo Tanzania inaenda nayo, wataalamu wa kifedha wa kimataifa wanasema, Tanzania baada ya miaka kumi, itaweza kujitegemea kwa 100% bila kuhitaji senti tano kutoka nje, na kuanzia hapo kazi kubwa itakuwa ni kulipa tu madeni nje.

#N.b: Haya ni endapo kasi iliyopo ya kiuchumi itaenda kwa mwendo uliopo bila kudorora.
 
Baada ya miaka 10?
 
Mkuu Mimi sio mtaalum wa uchumi hivi kukuwa kwa uchumu si lazima kuwe na matokeo chanya kwa mtu moja mmoja au mimi ndo sielewi
 
Ila siasa sometimes. Mwamba Ruto si ndo alikuwa akimshambulia Uhuru kwa kukopa na madeni?

But still Ruto is the best president for Kenyans.
 
Utawala wa William Ruto umeshutumiwa kutokana na mwenendo deni la Taifa nchini Kenya huku akiwa ndiye Rais aliekopa pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka mmoja tangu Taifa la Kenya liumbwe.

Deni hilo limeongezeka kwa $ bilioni 10.8 kufikia $ bilioni 70.75 kulingana na takwimu zilizotolewa Jumanne huku ukuaji wa uchumi wa Kenya ukishuka mpaka 4.8% kutoka 7.6% huku mfumuko wa bei ukifika 7.3%

Kwa Tanzania, deni la Taifa liliongezeka kwa Tshs trilioni 21 ndani ya miezi 6 kufikia Disemba 2022 likiwa ndio ongezeko kubwa zaidi kuwahi kutoka katika historia ya Tanzania huku watawala wakiwatoa watanzania hofu juu ya uvumilivu wa deni hilo.

Kenya wana mwisho wa kiwango cha juu cha kukopa(Debt ceiling) kilichopitishwa kisheria ambacho ni Kshs trilioni 10 lakini deni hilo limefika trilioni 10.1 na moja ya hatua Kenya inayotarajiwa kuchukua ni kuacha kukopa huku Bunge likibadili sheria ya ukopaji.

Sidhani kama Tanzania tuna 'debt ceiling' na mipango ya kulipunguza spidi ya ukuaji deni la taifa maana deni kupungua imekuwa ni ndoto kwa nchi nyingi za dunia ya tatu. Nini kifanyike?
Hakuna cha kujipanga ni kukopa tuu mpaka mwisho wa utawala!!
 
Debt ceiling yetu ni kauli ya uongo ya Ngwigulu kuwa "deni bado ni himilivu", wakati vifedha vyote vya kigeni tunavyopata vinaishia kuhudumia deni la nje kwa sasa.

Kweli akili za kwenye makaratasi sio kila kitu.
 
Utawala wa William Ruto umeshutumiwa kutokana na mwenendo deni la Taifa nchini Kenya huku akiwa ndiye Rais aliekopa pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka mmoja tangu Taifa la Kenya liumbwe.

Deni hilo limeongezeka kwa $ bilioni 10.8 kufikia $ bilioni 70.75 kulingana na takwimu zilizotolewa Jumanne huku ukuaji wa uchumi wa Kenya ukishuka mpaka 4.8% kutoka 7.6% huku mfumuko wa bei ukifika 7.3%

Kwa Tanzania, deni la Taifa liliongezeka kwa Tshs trilioni 21 ndani ya miezi 6 kufikia Disemba 2022 likiwa ndio ongezeko kubwa zaidi kuwahi kutoka katika historia ya Tanzania huku watawala wakiwatoa watanzania hofu juu ya uvumilivu wa deni hilo.

Kenya wana mwisho wa kiwango cha juu cha kukopa(Debt ceiling) kilichopitishwa kisheria ambacho ni Kshs trilioni 10 lakini deni hilo limefika trilioni 10.1 na moja ya hatua Kenya inayotarajiwa kuchukua ni kuacha kukopa huku Bunge likibadili sheria ya ukopaji.

Sidhani kama Tanzania tuna 'debt ceiling' na mipango ya kulipunguza spidi ya ukuaji deni la taifa maana deni kupungua imekuwa ni ndoto kwa nchi nyingi za dunia ya tatu. Nini kifanyike?
Cha kufanya ni kuongeza tozo kwenye mafuta: Tsh 1k/lita
 
Umeelewa ulichoandika?

Huoni sisi tumekopa bila mpango Kwa kigezo Cha uwezo wa kukopeasheka, ambazo ni jitihada za Mkapa?

Zi wapi pesa za kigeni kulipa riba na mikopo ilokwiva?

Yule mchumi uchwara ckuizi sijui kama bado anavaa Ile tai!!!!
 
Mkuu Mimi sio mtaalum wa uchumi hivi kukuwa kwa uchumu si lazima kuwe na matokeo chanya kwa mtu moja mmoja au mimi ndo sielewi
Upo sahihi kabisa!,isipokuwa wepesi na kupungua kwa vifungu vigumu au taratibu ngumu za kibenki JUU ya mikopo ikiwepo milolongo mingi ya kikodi hi ni baada ya serekali kuwa na ziada,ten year to come!
 
Alafu AU wakikutana utasikia tunataka tujitegemee kwa Kila kitu, tumechoka kuburuzwa. Mtu unadaiwa matrillion utajitegemea vipi. Hamna viwanda,technology ya shida alafu utasikia baada ya mwaka 2023 hatutaruhusu kuagiza mitumba sisi sio dampo. Haya 2023 hii hapa mitumba ndio kwanza mnaanza kuagiza.
 
Utawala wa William Ruto umeshutumiwa kutokana na mwenendo deni la Taifa nchini Kenya huku akiwa ndiye Rais aliekopa pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka mmoja tangu Taifa la Kenya liumbwe.

Deni hilo limeongezeka kwa $ bilioni 10.8 kufikia $ bilioni 70.75 kulingana na takwimu zilizotolewa Jumanne huku ukuaji wa uchumi wa Kenya ukishuka mpaka 4.8% kutoka 7.6% huku mfumuko wa bei ukifika 7.3%

Kwa Tanzania, deni la Taifa liliongezeka kwa Tshs trilioni 21 ndani ya miezi 6 kufikia Disemba 2022 likiwa ndio ongezeko kubwa zaidi kuwahi kutoka katika historia ya Tanzania huku watawala wakiwatoa watanzania hofu juu ya uvumilivu wa deni hilo.

Kenya wana mwisho wa kiwango cha juu cha kukopa(Debt ceiling) kilichopitishwa kisheria ambacho ni Kshs trilioni 10 lakini deni hilo limefika trilioni 10.1 na moja ya hatua Kenya inayotarajiwa kuchukua ni kuacha kukopa huku Bunge likibadili sheria ya ukopaji.

Sidhani kama Tanzania tuna 'debt ceiling' na mipango ya kulipunguza spidi ya ukuaji deni la taifa maana deni kupungua imekuwa ni ndoto kwa nchi nyingi za dunia ya tatu. Nini kifanyike?
Subiri kidogo tu Tanzania soon mishono inafumuka ndipo watu watasema kha imekuwaje tena? mbona tuliambiwa...ni stahimilivu...mbona tuliambiwa sisi tupo pazuri....mbona tuliambiwa ....imefunguliwa..... ndipo itakapojulikana Mungu hadhihakiwa ukiona yupo kimya na huku mabaya yametamalaki ni kwa kuwa tu ni Mungu arehemuye na atupenda sana wanadamu ila akiamua kupatiliza aisee acha tu niishie hapa mwanasheria sina...
 
Deni la Nchi hakijawahi kuwa shida kama deni la mtu au kampuni.

Watu wengi mnakurupukaga hamuelewi hii kitu.

Katikati ya mwaka huu Marekani aliongeza ceiling ya deni lake baada ya ukomo wa sheria kufikiwa ndio hicho unachokisikia Kenya.

Kwa hiyo huna haja ya kuogopa kwanza Tanzania tuko mbali sana na ukomo Wetu wa kisheria,tunahitaji kukopa zaidi Ili kuifungua hii Nchi.
Marekani haijaongeza 'ceiling' bali bunge limesitisha kutumia sheria husika mpaka uchaguzi mkuu ili Serikali iweze kujiendesha kuelekea kumaliza muda wake na hii upinzani wameridhia waitumie kama fimbo kwenye kampeni. Pamoja na yote kajaribu kupitia makubaliano ya kuhairisha hii 'Ceiling' Marekani uone ilivyotengenezewa masharti magumu..
 
Back
Top Bottom