Kenya: Bunge laambiwa kuna Wananchi wamepata shida za Kiafya baada ya kuchukuliwa Taarifa Binafsi na Worldcoin

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,379
8,124
1693637619475.png

Ni taarifa kutoka kwa Mbunge wa Kisumu Mashariki, Shakeel Shabbir ambaye amelieleza Bunge kuwa amepokea Malalamiko ya Wananchi 5 waliodai kupata shida za Kiafya ikiwemo maumivu ya Macho.

Akijibu hoja hiyo, Waziri wa Afya, Susan Nakhumicha amekiri Kifaa hicho hakikufanyiwa majaribio ya uchunguzi kabla ya kutumika na hivyo, waliopata matatizo watafute msaada wa matibabu.

Hatua hiyo inakuja wakati ripoti ya Uchunguzi wa Kitaalamu kuhusu Utendaji wa Kifaa cha 'Orb' ukitarajiwa kutolewa Wiki Ijayo kutoka Mamlaka ya Mawasiliano (CAK).

Ikumbukwe, Kampuni ya Worldcoin inayojihusisha na Biashara ya Sarafu Mtandao (Cryptocurrency), inatuhumiwa kusajili Wateja wake kwa kuchukua Taarifa zao kupitia Mboni ya Jicho.

===============

A Kenyan MP has raised health concerns about the infra-red light used by Worldcoin’s eye-scanning orbs during a parliamentary probe into the cryptocurrency project.

Worldcoin has been giving people digital coins in exchange for a scan of their eyeballs - though last month it was ordered to stop signing up Kenyan users pending an investigation over data privacy concerns.

MP Shakeel Shabir brought up the complaints when Health Minister Susan Nakhumicha appeared before the parliamentary committee on Thursday.

“I have five cases who have written to me, who claim that after this scan they felt great discomfort. Their eyes were paining,” he said.

Ms Nakhumicha said as the orb had not been not brought into Kenya as a health device, its infra-red light had not been tested. She urged Kenyans who may have developed health issues to seek medical help.

The results of Kenyan forensic analysis of Worldcoin’s orb are reportedly expected next week.

But the Worldcoin Foundation told the BBC: “Biometrics including iris and facial scanning are safely used and captured all over the world by private companies, health organisations and governments. Worldcoin is no different when it comes to safety.

“More than two million people around the world have registered with Worldcoin. We have not received any reports of health issues following the orb-enabled proof of humanness verification process.”

Tools For Humanity, which developed the orb that Worldcoin uses, has also tweeted to say the device "complies with international standard specifications".
 
Kwani si wameshatapeliwa na hiyo Worldcoin? niliona wanalalamika sana.!
 
Africa ni giza nene, sasa kifaa hakikufanyiwa majaribio baadae kinatumika na waliopata madhara wajijue wenyewe kutafuta matibabu
 
Hivi digital coins ndio uchukuliwe taarifa zako hujui zinatumikaje? What are digital coins si wanaweza kuzi retain au kuzi rescind tu utafanya Nini?
 
Back
Top Bottom