wamepoteza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    Kwanini wamama wa siku hizi wamepoteza utisho wa kianamke

    Wamama wa miaka ya 90 kurudi nyuma walikuwa vyuma kwelikweli. Walikuwa na uwezo wa kukuchapa na kukunyoosha kwa macho tu. Nakumbuka siku nilipotoroka nyumbani kwenda na magenge ya watoto mitaani kutembea. Bahati mbaya nikakutana naye amekaa katikati ya kundi la kinamama kuna jicho alinikata...
  2. K

    Watu Wamepoteza Mwamko wa Kusikiliza Ripoti ya CAG

    Ni takribani miaka mitatu sasa CAG amekuwa akitoa taarifa zilizojaa madudu ya ufisadi na rushwa pasi na mamlaka ikiwemo serikali kuchukua hatua yeyeote kukabiliana na tuhuma hizo kwa kipindi chote hicho. Imefikia hatua sasa wananchi wamepoteza kabisa imani ya kuendelea kusikiliza ripoti...
  3. Chizi Maarifa

    Wapinzani wamepoteza Mwelekeo? Hawana Sera?

    Kipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki. Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni Makonda hivi Makonda vile. Wakalalamika tu Magufuli ni Dikteta n.k. Magufuli akafariki. Wakajaribu...
  4. J

    Kwanini wanaharakati wengi waliovuma kipindi cha Magufuli wamepoteza umaarufu wao awamu hii?

    Kipindi cha Magufuli tulishuhudia kuibuka kwa wanaharakati wengi mtandaoni Kuna ambao walikuwepo tangu zamani lakini umaarufu wao ukaongezeka mara dufu kipindi cha Magufuli na wengine hawakuwahi kuwepo kabisa katika harakati za siasa kabla ya urais wa Magufuli Baadhi ya Wanaharakati hao ni...
  5. BARD AI

    Rais Samia: Wanawake milioni 44 wamepoteza ajira Afrika

    Takwimu zinaonyesha wanawake milioni 44 wamepoteza ajira barani Afrika hadi kufikia mwaka 2021, huku idadi ya wanawake kwenye vyombo vya maamuzi Tanzania ikiongezeka kutoka asilimia 21.5 mwaka 2005 hadi kufikia asilimia 37 mwaka 2020. Hayo yamebainishwa leo Jumamosi Desemba 3, 2022 na Rais wa...
  6. kali linux

    SBF hajapoteza utajiri wa USD 16 billion bali walomwamini ndo wamepoteza na yeye ame-gain, Hana tofauti na Ivar Kreuger "The Match King" wa 1920s

    Hello bosses... Kipindi cha nyuma TerraUSD na Luna zilipopata anguko niliandika uzi humu kwa sababu hilo tukio nlikua nategemea lije kutokea kutokana na mechanics za namna hizo coins zilivokua zinafanya kazi uzi uko hapa CRYPTO-FUNZO KWA WAKURUPUKAJI: Luna coin ilikua ni sawa na $85 wiki...
  7. MALCOM LUMUMBA

    Wananchi wamepoteza imani kwenye taasisi zote za Serikali. Kama Taifa tunafahamu hatari iliyo mbeleni?

    Wananchi wanapopoteza imani kwenye taasisi za serikali huwa kuna uwezekano mkubwa kwa nchi husika kuingia kwenye korongo. Haijalishi idadi ya hao wananchi, madhara ni lazima yawepo tu. Ukisoma historia, mifano iko mingi mno. Wananchi wakikata tamaa kuna kitu huzaliwa ambacho wengi kifalsafa...
  8. MK254

    Ndani ya masaa 24, Urusi wamepoteza ndege ya kivita, helikopta na vifaru 18

    Huku Ukraine wakiendelea kusubiri wanywa gongo wanaotumwa na Putin kuja kupigana kwa niaba ya wanajeshi waliokimbia mapambano, Ukraine bado wanatembeza kichapo..... Russia suffered significant losses of military equipment both in the air and on the ground over the last 24 hours, the Ukrainian...
  9. MK254

    Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

    Hadi sasa Urusi wamepoteza zaidi ya vifary 1,500 na ili kupata picha ya hasara yote hiyo, waza kwamba JWTZ ya Tanzania, yaani jeshi la nchi yote Tanzania lina vifaru 156, hivyo hasara aliyoingia Urusi inaweza ikafyeka mataifa yote ya EAC na kati na mpaka ufike Afrika magharibi, licha ya hasara...
  10. Gama

    Wanajeshi 25,000 wa Urusi wapoteza maisha Ukraine

    25,000 of Vladimir Putin’s troops have been killed in Ukraine, says UK Defence Secretary Beb Wallace ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa Uingeleza amrsema kuwa wanajeshi 25,000 wa Urusi wamepoteza maisha wakati wakipigana nchini Ukraine, amehitimisha pia kuwa Ukraine ni mshindi katika vita hii...
  11. britanicca

    Msemaji wa Putin, Mr. Peskov anakiri wamepoteza kwenye vita na Ukraine

    Msemaji wa Putin, Mr. Peskov anakiri wamepoteza kwenye vita na Ukraine, amesema wamekiri kutofanikiwa Kwa kasi Kama walivyodhani, na hii ni kutokana na wageni kuingilia operation yao huko Ukraine. Peskov kasema Mrusi anayenuka jasho hapo Sinza Kwa Remmy anabisha Britanicca
  12. Miss Zomboko

    ILO - zaidi ya Waafghani nusu milioni wamepoteza ajira sababu ya Taliban

    Shirika la Kazi Duniani ILO limesema zaidi ya nusu milioni ya Waafghani wamepoteza kazi zao baada ya Taliban kuchukua madaraka mwaka uliopita. Katika ripoti mpya iliyotolewa leo, shirika hilo la Umoja wa Mataifa limesema idadi ya ajira zilizopotea huenda zikafikia laki tisa ifikiapo katikati...
Back
Top Bottom