JF Toons

Digital Art by JF
Feb 19, 2024
32
68
Vipi mdau, umeelewaje katuni hii? Upi mtanzamo wako kwenye katuni hii?

dini.PNG
 
Kwakuwa hapo kwenye hiyo katuni ameongelewa msanii? Mkuu embu kuwa serious bwana🤣🤣😆
Unatakiwa kujua lugha ya picha rafiki sio mpk uone kitu kwenye mchoro.
Sometimes mtunzi wa picha huficha maudhui kwa lengo la mhusika kujua kimemiss kipi.
 
You are nothing but a looser mkuu huna hoja, huna elimu, hujui unataka nini maishani. Na most of all utaishia kuwa mdhaifu kifikra.
tafuta waliopo seriously na maisha wakina maxcence mello, wakina pascal, wakina mama Amon kama wana muda wakujibizana kama unavyofanya wewe mpumbavu 😂😂
Kaangalie vijana kama kina scott wenye miradi ya mamilion500 kama wapo na muda kama wako fukara wewe😂😂.
Sikutaka kukujibu sababu kamas zimejaa kichwani . Umejawa na ego tu. Hii dunia tu na hata maandiko yako ni reflections ya nn unapitia
Siku njema dogo
 
Pole sana🤣🤣
Hakika leo ilikua siku mbaya ila umenifurahisha sana mkuu.
Siku njema pia.
 
unamfuatilia lakini?
Zamani nilikua namfatilia ila niliona anawapumbaza sana mashabiki zake, hawaoni makosa yake na akikosolewa anablock.

Ni aina ya watu wanaopenda kusikilizwa wao tu, iwe kweli au si kweli mashabiki zake mtashikilia bango kua ni kweli.

Si ajabu hata hii kutetemesha serikali ni yeye kawaaminisha kwenye page na app yake.
 
Back
Top Bottom