utawala bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JF Toons

    Umeelewaje katuni hii Mdau?

    Vipi mdau, umeelewaje katuni hii? Upi mtanzamo wako kwenye katuni hii?
  2. Uzalendo wa Kitanzania

    Rais Samia ndiye Profesa halisi wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

    Wadau hamjamboni nyote? Wapo watakaokubali na watakaopinga hoja hii ila ukweli halisi Rais Samia anastahili kabisa kupewa hadhi ya kuwa Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika Unapozungumzia Viongozi walioleta mabadiliko makubwa ya kisiasa kwenye nchi zao duniani nina hakika jina la...
  3. JF Toons

    Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?

    Maamuzi yote yanayohusu nchi hufanyika chini ya mwamvuli wa siasa, ni muhimu kwa kila raia kujua kinachoendelea ili kupata taarifa sahihi zitakazomuwezesha kufanya maamuzi sahihi pale anapochagua kiongozi. Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?
  4. BARD AI

    Rushwa huathiri Utoaji na Upatikanaji wa Huduma Bora katika Afya, Elimu, Miundombinu na Utawala Bora

    Ufisadi katika utoaji wa huduma umekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine nyingi. Inaathiri sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na afya, elimu, miundombinu, na utawala wa umma. Nchini Tanzania, ufisadi katika utoaji wa huduma unaonekana katika njia kadhaa: Rushwa...
  5. Mjukuu wa kigogo

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Nyerere halmashauri ya mji wa Bunda jifunze kutoka kwa mtendaji wa mtaa wa Nyerere anavyozingatia utawala bora

    Ni ushauri tu kwa ndugu yetu Ndugu Hamis Nyamsenda,Mwenyekiti wa mtaa wa Nyerere ulio katika halmashauri ya mji wa Bunda.Binafsi andiko hili halina maana kwamba tunakuchukia bali tumeamua kufanya haya ili ubadilike na kuwa kiongozi bora. Binafsi umekuwa ukiitisha mikutano ya hadhara ambapo...
  6. JF Toons

    Ni ahadi zipi zilitolewa na kiongozi wako ambazo hazijatekelezwa mpaka sasa?

    Si vyema kuweka ahadi ambazo unajua huwezi kuzitimiza au zisizotekelezeka. Baadhi ya watu hupatwa na msongo wa mawazo na kupoteza uaminifu kwa kushindwa kutimiza ahadi. Uwekapo ahadi hugeuka deni, na usiku wa deni haukawii kukucha. Je, ni ahadi zipi ziliwekwa na kiongozi wako ambazo...
  7. Analogia Malenga

    Je, uwekezaji finyu kwenye somo la Uraia, ni nia ya kuwafanya watu wasijue haki na wajibu wao ili kuiwajibisha Serikali?

    Wakati wengi wanazungumzia ufaulu wa hesabu, jambo la kushangaza ni kwamba, waliopata A kwenye somo la hisabati ni wengi zaidi kuliko waliopata A kwenye somo la Civics. Hapa nimetumia masomo saba ambayo wanafunzi wote wanasoma na kuangalia ufaulu wa masomo hayo. Nimewaza zaidi inakuwaje watoto...
  8. R

    Trafiki watatu wakamatwa wakipokea rushwa, mmoja atoroka

    Polisi Trafiki watatu walikamtwa jana Alhamisi 30/11/2023 asubuhi eneo ambalo maafisa wa kupambana na rushwa walisema ni maarufu kwa kukusanyia rushwa kando ya Barabara ya Mai Mahiu katika makutano ya Karagita huko Naivasha, Kaunti ya Nakuru Kulingana na Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa...
  9. G-Mdadisi

    Wadau wa Haki za Binadamu wazungumzia Umuhimu wa Utawala Bora wa Sheria

    WADAU wa Haki za Binadamu Zanzibar wameshauri kuimarisha mifumo ya utawala bora wa sheria ili kuhakikisha uwajibikaji na upatikanaji wa haki kwa wote unafikiwa katika kupambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia. Wametoa maoni hayo katika mdahalo ulioandaliwa na Chama cha Waandishi wa...
  10. R

    Kwanini watu wanaendelea kuchukua Mikopo Kausha Damu wakati wengine Wanafilisiwa?

    Wakuu, Mikopo kausha damu inapigiwa sana kelele, na tuomeona watu kadhaa wakiathirika na mikopo hiyo, lakini mbali na hayo yote kutokea na kupigiwa kelele kuwa haifai bado watu wanaendelea kukopa na wahanga wanaongezeka! Kwanini watu wanaendelea kuchukua mikopo hii mbali na athari wanazopata...
  11. N

    Ili kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), wadau wasisitiza kuimarishwa kwa Utawala Bora, Uwazi na Uwajibikaji

    Muungano wa Asasi za kiraia zunazopambana na umaskini Tanzania (GCAP Tanzania Coalition), leo Septemba 14, 2023 umeshauri kuwa utawala bora, uwazi na uwajibikaji katika ngazi zote ukiimarishwa itawezesha ugawanaji wa rasilimali za umma na kukuza ufanisi wa huduma ambao unazingatia usawa...
  12. K

    Askofu Kilaini: Ni Wajibu wa Viongozi wa Dini kutetea maadili na Utawala bora

    Akichangia Mjadala Katika Kipindi cha Minzani Kilichorushwa mubashara na TBC Kilichowajumuisha pia Shehe Salim Aliyekuwa Shehe mkuu Wa Dsm, Hamadi Rashid M/kiti Wa ADC na Mkongwe Steven Wasira. Askofu Kilaini Amesema Si vyema Viongozi wa Dini Kutumia Mimbari Ukiwa bado umevaa Cheo chako au Joho...
  13. R

    Deus Kibamba: Ukishastaafu unatoa mawazo yako kwa uhuru pasipokujali utapoteza nini kesho au kesho kutwa

    Wakati akiwa anahitimisha kutoa neno leo katika yake katika mkutano maalum wa vyama vya siasa leo tarehe 13/9/2023 ambapo ni siku ya tatu, Bwana Deus Kibamba alisema; "Mh. Mwenyekiti naomba nishukuru sana wazee wetu wastaafu, mmeona jinsi ambavyo ukishastaafu unakuwa very sober, unatoa mawazo...
  14. R

    Rais TLS: Uongozi wa Rais Samia umejaa Utu na Utawala Bora

    "Mhe. Rais SuluhuSamia tunakushukuru sana kwa uongozi wako bora uliojaa utu utawala bora, malengo mema na bora kabisa ya kujenga maridhiano na kuleta maridhiano ya mifumo, sera na sheria na kutekeleza mipango yakujenga Taifa letu kuwa bora na imara kiuchumi na kijamii. "Tanganyika Law Society...
  15. Zawadi B Lupelo

    Ni sikio la kufa? Mama anaitupa kadi yake muhimu ya kukubalika kwake

    Salamu mbele! Walio wengi huku mtaani wanaona hafai kuvaa si tu viatu bali hata soksi za mwendazake, sifa pekee inayomtofautisha na mtangulizi wake ni hii Sifa ya demokrasia na utawala bora. Hivi karibuni ameonekana anaitupa hata hii karata muhimu inayomtofautisha na mtangulizi wake ambayo...
  16. Wilson john

    Tunavyoweza kuchochea mabadiliko katika Utawala Bora na Uwajibikaji

    Utangulizi Utawala bora na uwajibikaji ni msingi wa maendeleo na ustawi wa taifa lolote. Nyanja hizi ni muhimu katika kukuza uwazi, usawa, na ufanisi katika utoaji wa huduma za umma na maamuzi ya kisiasa. Katika andiko hili, tutajadili umuhimu wa kuleta mabadiliko katika nyanja hizi na jinsi...
  17. R

    Uliwahi kukwama kupata huduma fulani sababu ulishindwa kutoa rushwa? Ulichukua hatua gani?

    Wakuu, Wengi wamekuwa wakilalamika kuombwa rushwa ili waweze kupata huduma nzuri sehemu mbalimbali wanazokuwa wanajitaji huduma fulani, na ikitokea hujatoa basiutazungushwa sana mpaka mwenyewe uingie mfukoni kupaka mafuta vyuma ili mambo yaende. Baadhi wanasema kama hujawahi kuombwa rushwa...
  18. Yaelly47

    SoC03 Tunapokusudia kuhamasisha mabadiliko katika Uwajibikaji na Utawala Bora, kuna sekta ambazo nchi inapaswa kuzingatia

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA. Wazia nchi ambayo uwazi na uwajibikaji huunda msingi wa utawala wake. Wananchi wana ufikiaji kamili wa taarifa kuhusu jinsi fedha zao za kodi zinavyotumiwa, na ufisadi ni tukio nadra. Maafisa wa umma wanashikiliwa viwango vya juu, kuhakikisha mahitaji na ustawi wa...
Back
Top Bottom