cag

CAG stands for the Controller and Auditor General. In Swahili, this translates to Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

In Tanzania, the CAG is the head of the National Audit Office of Tanzania (NAOT) and serves as the supreme constitutional authority responsible for auditing and overseeing how public funds are collected and spent.

Here is a breakdown of what the CAG does; The CAG audits the financial statements of all government ministries, independent departments, executive agencies, local government authorities (LGAs), and public corporations. They check whether public funds were spent according to the law, approved budgets, and financial regulations. Beyond just checking the math, the CAG assesses whether government projects were executed efficiently and whether the public actually got "value for money" (e.g., if a road was built to the right standard for the price paid). The CAG's audits frequently uncover ghost workers, embezzlement, inflated procurement contracts, and other forms of financial mismanagement.
  1. U

    JamiiForums Tanzania Napinga: Hivi CAG Ana watu wenye utaalamu na hydropower stations, hakupaswa kutoa msimamo katika Mambo ya kitaalamu

    CAG ametoa riport nzuri na kuibua matumizi mabovu na yasiyo na tija katika taasis za Serikali , ambapo wa kulaumiwa ni watu wa chini Sana wa hayati Rais Magufuli, hata leo unaweza kukuta watu wamefanya matumizi mabovu ya serikali na sitegemei Rais Samia kuwa na macho 10000 kumulika kila level...
  2. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Jaji Mwangesi Pokea Mzigo toka kwa CAG

    Jaji Mwangesi Pokea Mzigo toka kwa CAG Kila mfumo una uwezo wa kujiharibu. Demokrasia ina uwezo wa kujiua. Udikteta una uwezo wa kujiua ndani yake. Uliberali unayo sumu yake. Si sumu ya kuua mifumo mingine bali kujiua. Tumeona jinsi awamu ya tano ilivyotengeneza sumu ya kujiua. Ilipobana Uhuru...
  3. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Hii ripoti ya CAG tutaanza kukanyagana, "Sijui tuanze kumlaumu nani?"

    HII RIPOTI YA CAG TUTAANZA KUKANYAGANA, "SIJUI TUANZE KUMLAUMU NANI"? Na Elius Ndabila 0768239284 Riporti ya mwaka huu ya CAG inaonyesha kunaubadhilifu mkubwa wa fedha za umma. Rushwa sasa inaonekana imeota mizizi mikuu. Waliokuwa wakikemea rushwa kwa mkono wa kulia, walikuwa wametega mkono wa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania CAG asikague mahesabu tu, bali adhibiti mapato na matumizi ya fedha za serikali pia

    CAG ni mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serilali lakini mara nyingi inaonekane GAC anakagua mahesabu ya serikali, lakini hafanyi udhibiti wa matumizi ya fedha za serikali. Kazi ya CAG inapaswa pia kudhibiti jinsi fedha za serikali zinavyotumika, la sivyo naona hatutaondokana na haya...
  5. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

    Habari zenu ndugu zang watanzania mliopo humu. Ndugu zang nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana yanayoendelea nchini, hasa kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwa aliyekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli. Najua na inajulikana wazi tu kwamba tokea...
  6. Mzanzibari Huru

    JamiiForums Tanzania CAG isiwe na kazi ya kutuletea taarifa ya majizi na pesa waloziiba serikalini ni bora watafute mbinu ya kuzuia wizi, hili pendekezo

    Ndugu wana jamii Wizi serikalini na katika mashirika ya umma ni tatizo sugu. Tatizo hili lipo miaka nenda miaka rudi. Tatizo hili ni shida sana kulitatuwa kwasabu ni tatizo lililomo kwenye damu ya watendaji. Ikiwa kazi ya CAG ni kutowa ripoti kila mwaka juu ya wizi ulifanyika kila mwaka jana...
  7. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Wabunge ishaurini Serikali, iendelee kununua ndege au isitishe

    Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee na mpango wake wa kununua ndege au isitishe hadi itakapoweka mambo sawa. Ndugai amesema hayo bungeni mjini Dodoma leo Alhamisi Aprili 8, 2021 kabla...
  8. mngony

    JamiiForums Tanzania Nini kilifanya CAG aliyepita, Profesa Assad kuondolewa katika nafasi ile?

    Kama tunakumbuka vizuri, ripoti ya kwanza ya CAG Assad baada ya kuingia kwa awamu ya 5 pamoja na ubadhirifu mwingine ilionesha ufisadi wa kiasi cha pesa 1.5 Trilioni ambacho hakikuoneka wapi kilienda. Baada ya ripoti hiyo, CAG alishambuliwa sana na serikali na Chama wakiwemo mawaziri, Spika...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya hakuna, halafu hela mnakula wenyewe, Good God will pay you

    Sisi wana wa maskini tuna miaka takribani 6 sasa mtaani bila ajira baada ya kuhitimu vyuo. Wanatwambia wanajenga uchumi imara kwanza ndipo watuajiri. Kumbe kujenga uchumi ndiko huku? Mamilioni kwa Mabilioni kwa matrilioni, wametafuna. Sisi tunateseka mtaani bila ajira,huku HESLB nao...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania CAG atupe hasara ya kutotekelezwa kwa mradi wa umeme kwa miaka 50

    Iwapo maamuzi ya kujenga mradi wa umeme wa rufiji yalifikiwa miaka ya 70 ningependa kujua ni hasara kiasi gani nchi imepata kwa kutotekeleza mradi huu. Yaani kwa miaka takribani 50 CAG atueleze tumenunua umeme wa mitambo ya mafuta kwa Tsh ngapi? Je, tumeshindwa kuendeleza uchumi kwa kiasi gani...
  11. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

    Na. M. M. Mwanakijiji Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi -...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG : CHADEMA yapata hati safi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chama cha siasa ambacho kimeshikilia rekodi ya dunia ya kushambuliwa na serikali, kimeonekana na CAG kuwa chama kinachozingatia weledi katika matumizi ya pesa zake, na hivyo kuudhihirishia ulimwengu kuhusu umakini wa viongozi wake, jambo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania CAG: DPP amekusanya zaidi ya Sh. Bilioni 60 na hazijatumika kwa sababu hakuna Sheria ya Matumizi yake

    CAG Kichere amesema Mkurugenzi wa Mashtaka nchini amekusanya zaidi ya sh bilioni 60 kutokana na kesi mbalimbali na fedha hizo hazijatumika kutokana na kukosekana kwa sheria na mwongozo wa namna ya kuzitumia. CAG amelishauri Bunge kutunga sheria ya matumizi ya fedha hizi. Ukinizingua Nitakuzingua!
  14. Informer

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Ubadhirifu wa Fedha wa Shilingi Bilioni 3.93 katika Mamlaka ya Bandari Tanzania

  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CAG: ATCL imetengeneza hasara ya Tsh. Bilioni 153.542 ndani ya miaka Mitano

    Kampuni ya Ndege imekuwa ikitengeneza hasara kwa miaka 5 mfululizo na mwaka huu ilitengeneza hasara ya Sh. Bilioni 60.246. Kwa miaka mitano imetengeneza hasara ya Sh. Bilioni 153.542. ==== Kampuni ya Ndege Tanzania Nilifanya ukaguzi wa kiutendaji (Startegic and Operational Efficiency)...
  16. Informer

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mashirika ya Umma yanayotegemea Mikopo ili kujiendesha

  17. Informer

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mashirika ya Umma ambayo Hayana Uwezo wa Kulipa Madeni ya Muda Mfupi

  18. Utopologist

    JamiiForums Tanzania Huyu mwamba apewe tuzo maalum kwa kupandisha happiness index ya taifa

  19. J

    JamiiForums Tanzania CAG: Stendi ya Magufuli, Kibamba itaongeza foleni ya magari

    CAG amesema stendi ya mabasi ya Magufuli iliyopo Kibamba manispaa ya Ubungo haikuwemo katika usanifu wa ujenzi wa barabara ya njia 8 kutoka Ubungo hadi Kibaha. Kwa maana hiyo stendi ya Magufuli itaongeza msongamano wa magari tofauti na lengo la mradi huo wa barabara la kuondoa kabisa foleni...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL inapata hasara, je tuendelee kununua nyingine?

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewaasa wabunge kuchangia kwa uwazi bila kuogopa mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022 na sio kusubiri serikali ifeli kisha walaumu. Spika amesema kwa mfano Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL imepata hasara ya bilioni 60 na kuuliza; je ni sahihi kuendelea kununua ndege...
Back
Top Bottom