cag

CAG stands for the Controller and Auditor General. In Swahili, this translates to Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

In Tanzania, the CAG is the head of the National Audit Office of Tanzania (NAOT) and serves as the supreme constitutional authority responsible for auditing and overseeing how public funds are collected and spent.

Here is a breakdown of what the CAG does; The CAG audits the financial statements of all government ministries, independent departments, executive agencies, local government authorities (LGAs), and public corporations. They check whether public funds were spent according to the law, approved budgets, and financial regulations. Beyond just checking the math, the CAG assesses whether government projects were executed efficiently and whether the public actually got "value for money" (e.g., if a road was built to the right standard for the price paid). The CAG's audits frequently uncover ghost workers, embezzlement, inflated procurement contracts, and other forms of financial mismanagement.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tunapoteza nguvu kushughulika na upinzani kuliko Ripoti ya CAG

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa kauli nzito kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), akidai kuwa ripoti hiyo imeendelea kuwa "kumbukumbu ya kila mwaka" isiyo na matokeo ya kisheria kwa wabadhirifu wa mali za umma...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu. Huu si wakati wa kusoma ripoti ya CAG na kusahau

    Ripoti ya CAG si habari mpya ni uthibitisho wa uzembe na ufisadi uliokithiri. Fedha za umma zinapotea, wananchi wanabaki na hospitali zisizo na dawa, shule duni, na miradi hewa. Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu.Huu si wakati wa kusoma ripoti na kusahau.
  3. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Hivi Jeshi la Polisi/Mahakama hawajawahi kuona jinai kwenye ripoti ya CAG, au jela ni maalum kwa Wakosoaji wa serikali tu?

    Maeneo mengine mengi watu wanavunjaga katiba na wala hawajali!! Lakini kwanini kwenye report ya CAG kuwekwa hadharani ufisadi wanaofanya hapa huwa nini kinatokea? Sawa ni takwa la kikatiba, but kwani wao huwa wanajali kuvunja katiba?
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CAG Kichere: Kwa mwaka wa fedha 2024/2025, upotevu wa maji umeongezeka kufika 35% na kusababisha hasara Bilioni 248.78

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam amesema ongezeko la upotevu wa maji umeongezeka kutoka asilimia 32 hadi kufikia asilimia 35 hali ambayo imesababisha hasara ya...
  5. Etwege

    JamiiForums Tanzania Hongera CAG Kichere ila bado hatujaona ya Royal tour

    CAG Kichere nakupongeza kwa kuonyesha madudu ya kutisha ya serikali inayoongozwa na Rais Samia. Mashirika ya Umma sasa yanashindana kupata hasara. CAG Kichere umetuonyesha hasara za Atcl, Bwawa la umeme, Sgr, Mgr lakini umesahau kitu kimoja kutuonyesha hasara iliyosababishwa na utengenezwaji wa...
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Vijana waimba Mapambio ya Serikali humu ndani; Je, na nyie ni wanufaika na huu upigaji wa Riport ya CAG?

    Vijana waimba mapambio ya serikali ni wasaliti kwa nchi ni vijana wanaostahili kunyongwa kwenye maana nao ni wanufaika na huu wizi wa riport ya CAG huwezi kuona vijana wakipiga na kuumizwa na huu wizi unaofanywa na watumishi na Viongozi wa Serikali wako kimya kama hamna kinachoendelea wao ni...
  7. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi TAKUKURU kuokoa Shilingi milioni 259.2 kati ya mabilioni kwenye ripoti ya CAG

    Hii inaonyesha ni kwa namna gani TAKUKURU wamejipanga kukabiliana wezi wa mali za umma. Yamepotea mabilioni na mikataba ya magumashi ila WAMEFANIKIWA kuokoa Shilingi milioni 259.2 lazima tuipongeze ni hatua kubwa.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mdau: Bilioni 151 zilizozidi kwenye ujenzi wa Uwanja wa Arusha zingeweza kujenga Barabara ya lami Kilometa 151

    Huu hapa uchambuzi wa Mdau kuhusu ripoti ya CAG akidai Tsh. Bilioni 151 zilizozidi kwenye ujenzi wa Uwanja wa Arusha zingeweza kujenga Barabara ya lami Kilometa 151 Ripoti ya CAG: CAG: Mradi wa ujenzi wa Uwanja Arusha ulikadiriwa bilioni 187, mkataba ukasainiwa bilioni 338
  9. H

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Rais kupewa ripoti ya CAG kila mwaka ni muhimu sana kwa uwajibikaji na uendeshaji mzuri wa Serikali

    . Hizi ndizo sababu kuu: 1. Uwajibikaji wa fedha za umma Ripoti ya CAG inaonyesha jinsi fedha za serikali zilivyotumika. Rais anapewa ili ajue kama fedha zimetumika vizuri au kuna ubadhirifu. 2. Kugundua makosa na ufisadi CAG huchunguza matumizi mabaya ya fedha, wizi, au ukiukwaji wa sheria...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ripoti ya CAG: Watekelezaji wanapata madaraka kwa wizi, leo eti tuwaamini kutekeleza

    Mama Samia anaona kama anapotezewa muda tu kwasababu anachofikiria ni makusanyo ya pesa ili wapige deal na marafiki na ndugu zake! Mfano deal ya Kia na miradi mingi. Hakuna hata nia ya kupambana na rushwa. Wizi wa kura, utekaji, uzuiaji wa wapinzani yote haya yanaonyesha hatuna wazalendo...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Bwawa la Mwalimu Nyerere limesababisha hasara ya Tsh. Trilioni 1.48

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere amegusia changamoto za Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na kueleza kuwa umesababisha hasara ya Tsh. Trilioni 1.48 kutokana na kushindwa katika Baraza la Usuluhishi. Ameeleza hayo katika Ripoti ya ofisi...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Bwawa la Mwalimu Nyerere limesababisha hasara ya Tsh. Trilioni 1.48

  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAG: Mradi wa ujenzi wa Uwanja Arusha ulikadiriwa bilioni 187, mkataba ukasainiwa bilioni 338

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere akisoma ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026 amesema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh. Bilioni 187 lakini mkataba ukasainiwa kwa Tsh...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CAG: Deni la Serikali ni Tsh. Trilioni 110, ndani ya mwaka limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 12

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere ya Mwaka 2024/2025 iliyosomwa leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam imeonesha kuwa Deni la Serikali hadi Juni 30, 2025 lilikuwa ni Tsh. Trilioni 110.05 ambapo ndani yam waka mmoja limeongezeka kwa Tsh...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: TEMESA imepata Hati Mbaya, Chama cha CUF kimepata Hati yenye mashaka

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania CAG: Shirika la Ndege ATCL limepata hasara Tsh Bilioni 191.91. Ni ongezeko la 108% ndani ya mwaka mmoja

    Wakuu, Akizungumza leo CAG Charles Kichere alisema "Mheshimiwa Rais, niongee sasa hivi kuhusu kampuni yetu ya ndege. Mheshimiwa Rais, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeendelea kupata hasara, ambapo kwa mwaka wa fedha 2024/2025, ilipata hasara ya shilingi bilioni 191.19, ikiwa ni ongezeko la...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Charles Kichere, Mkaguzi Mkuu CAG: CUF na NRA wamepata hati ya Mashaka, sikuweza kukagua hesabu za CHADEMA sababu ya kesi zao Mahakamani

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles E. Kichere akiwasilisha Ripoti za ukaguzi za kila Mwaka leo Machi 30, 2026 Ikulu Dar es Salaam " Kwa uapnde wa vyama vya siasa chama cha Civic united front (CUF) kimepata hati ya Mashaka na Nationai reconstruaction Alliance (NRA)...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapokea Ripoti ya CAG na Taarifa za TAKUKURU na PPRA, Ikulu Dar es Salaam, Machi 30, 2026

    https://www.youtube.com/live/QA0TJ67CiXI?si=4XzdYqPxyfSkdAiX Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya Mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini nafasi ya Bosi wa TAKUKURU haina kinga kama nafasi ya CAG?

    Nilikuwa katika kijiwe flani cha Wasomo wakati tukijadiliana suala la rushwa, kuna hoja ilianzishwa kwamba moja ya jambo ambalo watu wanalichukuliwa poa ni kwamba linaweza kuwa linachan gia matukio ya rushwa kuendelea kuwa ngumu kudhibitiwa hasa yale makubwa ni mtu anayeshika nafasi ya...
  20. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwa hali iliopo sasa, hata report ya CAG ni useless and pointless

    Wanaweza toa report sahihi ila isifanyiwe kazi yoyote mana wahusika ni washirika wa Samia au watatoa report ya kumpamba tu. Kifupi taasisi zote zimeshakua paralyzed na wanafanya kumridhisha au kutomkasirisha samia. Wapigaji nao watatumia mwanya huu ipasavyo. Inasikitisha kuona nchi...
Back
Top Bottom