cag

  1. B

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Utendaji mbovu wa Humphrey Polepole ndiyo sababu ya kuenguliwa

    Wakuu nimekutana na hii Taarifa je ni ya kweli?
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Tanzania wote watakaotajwa kwenye Ripoti ya CAG watachukulia hatua kali za kisheria na hata kifungo

    Deni la Taifa linakuwa alafu mda huo huo ukisoma report ya CAG unaona kuna watu wanaiba na bado wanaendelea kubaki kazini sio sawa kwa nchi ambayo inategemea wahisani ilihali tax base ni ndogo Yafuatayo ntafanya baada tu ya report ya CAG kusomwa Wote ambao idara zao zinahusika kwenye...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hivi CAG anajua pesa zinazotumika kwenye haya matamasha yanaendelea nchini.

    Tamasha la sungusungu, mara tamasha la bulabo... Haya matamasha yanatumia pesa za walipa Kodi wa Tz he CAG analijua ilo.
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawambia Wananchi kujiandaa kulipa Kodi, wakati huohuo CAG tangu 2021 anaonyesha Majizi na Mafisadi yanavyotapanya Nchi

    RAIS anataka kuwakamua wananyonge na Masikini, wakati huohuo amefail katika Usimamizi wa FEDHA hizo zinazokusanywa, amefail katika kukusanya hizo Fedha. Luaga Mpina mara Kadhaa anaonyesha Kwa Ushahidi ni Mabilioni mangapi in USD yapo Mahakaman mpaka sasa!! Luaga Mpina mara Kadhaa anasema...
  5. kagoshima

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani kamsikia Makalla akisemea dhidi ya ufisadi ulooneshwa na CAG, utekaji na, mauaji holela ya raia huko majukwaani zaidi ya kuitaja CHADEMA?

    Wadau hamjamboni? Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu ziara za mwenezi wa CCM. Zaidi ya kumsikia akitaja mara mbili mbili tatu CHADEMA, Lissu sijamsikia hata mara moja akitaja mengine ambayo nitatizo kwa nchi. Mfano, sijamsikia hata mara moja akitaja ufisadi na mafisadi hasa ufisadi wa wazi...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yafanya Uchambuzi wa Ripoti ya CAG 2023/2024, leo Mei 10, 2025

    ACT Wazalendo wanafanya Uchambuzi wa Ripoti ya CAG 2023/2024 Mei 10, 2025 https://www.youtube.com/live/Ltw_Nm2uc64?si=u_-wloQzSYNSmXcg UCHAMBUZI WA ACT WAZALENDO RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA UNAOISHIA MWEZI JUNI 2024 “Ubadhirifu, Uozo na Ufisadi...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: TANROADS na TARURA wabainika na mapungufu makubwa, Usalama wa barabara hatarini kwa ukosefu wa bajeti

    Ukaguzi wa kiufundi wa ufungaji na matengenezo ya vifaa vya barabarani na ishara za mawasiliano ya barabara uliofanywa kwa TANROADS na TARURA umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usimamizi wa mikataba, na matengenezo, hali ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa usalama wa barabara na...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania CAG: Transfoma zenye uwezo mdogo kuliko zilizoainishwa zilinunuliwa na kufungwa bila kufanya tathmini ya mahitaji ya Umeme

    REA alishindwa kufanya utafiti wa mahitaji umeme kama inavyotakiwa na badala yake ilitegemea takwimu zilizopitwa na wakati, hali iliyosababisha makadirio yasiyo sahihi ya mahitaji ya umeme. Pia, kulikuwako na ongezeko la gharama ya Shilingi bilioni 15.34 kutokana na maandalizi hafifu ya...
  9. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania System Inatupiga Fix: CAG Anasema Ukweli, Wao Wanazima Taa – Tumechoka Kuibiwa Kifalme!

    Yo ma men, sikiliza hii game real quick... CAG ni OG wetu kwenye system, yaani Controller and Auditor General, the man supposed to check these sneaky-ass politicians when they misuse our tax money. But guess what? Every time jamaa anatoa report, it's like he droppin' a bomb on dirty secrets –...
  10. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Sakata la Gambo na Mchengerwa angalau lilipaswa kuishia mikononi mwa CAG.

    Huwezi kutuhumiwa na hapo hapo ukajichunguza na kujihukumu. Gambo alitoa shutuma nzito za ubadhirifu dhidi ya wizara ya TAMISEMI, ilitosha kwa spika wa bunge kumuagiza CAG kwenda kupitia matumizi ya pesa za ujenzi uliotuhumiwa na ripoti yake kujadiliwa bungeni, mwisho wa siku mbichi na mbivu...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania CAG asema amebaini TANROADS wameilipa kampuni ya Kichina malipo ya ziada ya Tshs Milioni 586.43

    Wakuu, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amesema amebaini Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) alimlipa mkandarasi malipo ya ziada kwa wakandarasi ya Sh.milioni 586.43. Amesema katika ukaguzi wake alibaini Agosti mosi mwaka 2023, TANROADS ilimlipa Kampuni ya M/S China...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Ucheleweshaji wa Soko la Kariakoo na Mwanza ulisababisha ongezeko la Bilioni 1.35

    Ukaguzi wa kiufundi wa ukarabati na ujenzi wa Soko la Kariakoo, Soko Kuu la Mwanza, na Kituo cha Mabasi cha Nyamhongolo umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usanifu, na usimamizi wa mikataba, hali iliyosababisha ongezeko la gharama na ucheleweshaji wa utekelezaji wa miradi. Kusoma...
  13. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Mukhatasari wa Ripoti Ya CAG kuhusu Mashirika ya Umma kwa Mwaka 2023/2024

    RIPOTI YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KUHUSU UKAGUZI WA MASHIRIKA YA UMMA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Ripoti hii inaonesha ukaguzi wa mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2024. Inajumuisha utendaji wa kifedha na uendeshaji wa mashirika ya umma...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Zito Kabwe, mkumbushe pia Rais Samia kuwa, Trilioni 1.14 hazijulikani zilipo sawasawa na report ya CAG

    Hellow! Mh Zitto yule wa awamu ya Tano first half, na Zitto huyu wa awamu Tano kipindi cha pili sijui ni watu wawili tofauti? Nakumbuka uliichambua vyema report ya CAG Enzi ya Magufuli na ulionekana kutatizwa juu ya wapi ilipo 1.5 Trilioni ukinukuu hesabu zile za Serikali. Sasa limetokea...
  15. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Mukhtasari wa Ripoti Ya CAG Kuhusu Ukaguzi Wa Miradi Ya Maendeleo Kwa Mwaka 2023/2024

    RIPOTI YA JUMLA YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI JUMLA KUHUSU UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Taarifa hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Mashirika ya Umma nchini Tanzania kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe...
  16. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Mukhutasari wa Ripoti ya CAG Upande Wa TAMISEMI Kwa Mwaka 2023/2024

    UKAGUZI WA TAMISEMI, TAWALA ZA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Muhtasari huu unawasilisha matokeo muhimu ya ukaguzi, hitimisho na mapendekezo. Ukaguzi ulichunguza taasisi 220 zikiwemo Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Sekretarieti za...
  17. Inside10

    JamiiForums Tanzania CAG: Tsh 1.14 Trilioni Zilizokusanywa Na TRA hazikuwasilishwa kwenye taasisi husika kama ilivyopaswa

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/24 imebaini kuwa jumla ya Shilingi trilioni 1.14 zilizokusanywa kupitia tozo mbalimbali na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hazikuwasilishwa kwenye taasisi husika kama ilivyopaswa. Kwa mujibu wa ripoti hiyo...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamuelekeza CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Ina Ufisadi Mkubwa

    Bunge lataka CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu Wabunge akiwemo kibajaji, amedai muda hautoshi. Ripoti ya CAG ipelekwe Bungeni Mwenzi Novemba baada ya Uchaguzi Mkuu. Amedia kama ikipelekwa bunge hili kuelekea Uchaguzi Mkuu, itapunguza kura za...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya , Ofisi ya CAG, Tuelezeni Ukweli kuhusu NHIF, hii FAIDA ya NHIF imetokea wapi? CCM mpaka lini mtaendelea kua Waongo??.

    Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !! Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!. Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa. Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
  20. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CAG ichunguzwe, NHIF inapataje faida ?

    Mwaka 2020/21 NHIF ilipata hasara ya Bil 109 huku mfumo ulikuwa ukijiendesha kwa hasara kwa zaidi ya asilimia 49 2. Mwaka 2022 NHIF ilipata hasara ya Bil 204 huku taasisi ikijiendesha kwa hasara 3. Mwaka 2023 NHIF ilipata hasara ya Bil 269, huku taasisi ikijiendesha kwa hasara kwa asilimia 50...
Back
Top Bottom