walipwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kilangalanga Sekondari, Walimu wanamnyima Mwanangu cheti kisa hajalipa 40,000 ambayo walimu walitaka walipwe kuwasimamia watoto kuingia prepo

    Mimi ni mzazi wa mwanafunzi aliyemaliza kidato cha sita Kilangalanga Sekondari, nikiri kuwa ni kweli mtoto wangu hakulipa hiyo fedha kiasi cha sh. 40,000 kama ambavyo walimu walitaka kila mtoto alipe fedha hiyo wakidai ni kwa ajili ya kuwasimamia wajisomee usiku wakati wa prepo. Walimu...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dr. Mwigulu wasaidie wahadhiri na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Makumira walipwe mishahara yao, hao nao ni binadamu na ni watanzania, miezi 3?

    Nimesoma malalamiko humu JF ya kuwa wahadhiri na wafanyakazi wa chuo kikuu Tumaini Makumira hawajalipwa mishahara yao tangia mwezi wa 7, hii ni hatari, huu si utu, si ubinadamu, ni uuaji, ni ukatili kwa binadamu. Dr. Mwigulu km unawajali hao watanzania na binadamu wenzako upatapo post hii mpigie...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Posho kwa Interns Serikalini: TTB & TANAPA

    Wanaojitolea serikalini (interns) tunaombwa walipwe posho zao za mwezi na za kazi nje ya ofisi kwa wakati. Hasa Taasisi za Wizara ya Utalii na Maliasili naongelea zaidi Tanzania Tourist Board (TTB) na Tanzania National Parks Authority (TANAPA). Wanacheleweshewa sana hivyo kupelekea kuishi...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Namera Group of Industries wagomea mabadiliko ya jina la Kampuni hadi walipwe stahiki zao

    Wafanyakazi wa Kampuni ya Namera Group of Industries (T) LTD kilichopo Gongolamboto, Dar es Salaam wamefanya mgomo na kukusanyika nje ya kiwanda hicho wakilalamikia hatua ya mwajiri wao kubadilisha jina la kampuni hiyo bila kuwalipa stahiki zao na kuvunja mikataba yao ya awali. Wafanyakazi hao...
  5. SamuraiJack

    JamiiForums Tanzania Ninafungua Barbershop: Je Vinyozi Walipwe Mishahara au Wakabidhi Hesabu?

    Habari zenu wakuu? Natumaini wote mpo salama na mnaendelea vizuri. Nina mtaji ambao ninatarajia kuwekeza katika kufungua barber shop eneo la Msamvu, karibu na Stendi Kuu ya Morogoro. Mpango wangu ni kuwa na viti vinne vya kisasa vya kunyolea, pamoja na chumba maalumu cha scrub chenye vitanda...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tumewasilisha ombi Content Creators walipwe zaidi

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Tanzania imewasilisha ombi UNESCO la kutambua Kiswahili kwenye mitandao ya kijamii ili vijana wanaotengeneza maudhui kwa lugha ya Kiswahili walipwe vizuri. "Kupitia Balozi wetu wa Tanzania aliyeko Ufaransa, tumeshawasilisha...
  7. idiomer

    JamiiForums Tanzania Usimamizi wa mtihani wa taifa walimu walipwe perdiem sio vinginevyo. Tuache ujanja ujanja.

    Kumlipa mtu 50k kwa siku ???? Sio sawa.
  8. idiomer

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wanalipwa kama vibarua??? Walipwe perdiem sheria zinadilishwe.

    Mwalimu anakwenda kusahihisha mtihani wa Taifa kazi kubwa sana na nyeti. Eti unapiga hesabu kusahihisha scripts ngapi ndio umlipe??? Yaani mtu analipwa kama kibarua wa kujenga matofali mangapi kwa siku?? Kwanza kazi anafanya masaa 11 kwa siku ni kinyume na mkataba wa shirika la kazi duniani...
  9. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Pensheni ya Wabunge ilipwe Leo kabla ya Bunge kuvunjwa

    1. Pensheni ya Wabunge kwa 'utumishi' wao wa Miaka 5 ilipwe Siku ya kuvunja bunge kupitia akaunti za benki kabla ya parapanda ili kila mtu apambane kivyake na kuwaza vingine. 2. Mambo ya kujazishana mifomu na kufuatilia Hazina sio. **Wabunge wa COVID 19 nao wanalamba mamilioni kimasikhara...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania RC Kagera: Naagiza Wabeba Mizigo Bandari ya Bukoba walipwe, Mkurugenzi aje na fedha, asipokuja nazo nitamuweka ndani

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa ameipa siku mbili Kampuni ya IFS Consulting Limited ambayo ilipewa tenda na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ya kupakia na kushusha mizigo, kuwalipa fedha wabeba mizigo malipo yao wanayodai ya wiki Tisa katika Bandari ya Bukoba Hatua hiyo imefikiwa baada ya...
  11. MendeOLD

    JamiiForums Tanzania Walio maliza chuo hawana ajira , walipwe posho na serikali ya 50,000. Kila mwezi

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada kutokana na wimbi la vijana wasio. Na ajira kua kubwa, ili kujikimu na changamoto za kimaisha yao kila siku nashauri walipwe posho iwe kama kifuta jasho uku wakingojea kuajiriwa. Naomba kuwasilisha.
  12. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Wasomi wote wasio na ajira Tanzania kazanieni wazazi wenu walioko kwenye ajira walipwe mshahara mzuri na wachukue mafao yanayopatikana baada ya miaka

    Wakuu Hili ni bandiko la ushauri kwa vijana wasio na ajira lakini pia kwa mamlaka za ajira 1. Vijana wote wapaaze sauti kwa mamlaka na bunge kubadilisha sheria zinazopanga mishahara yenye ulali sawa kuelekea ukoma wa umri elekezi wa kustaafu (55) na wa lazima (60) ili wanapotoka wasiwe...
  13. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Gharama mpya ambazo Aga Khan wanataka walipwe kwa wateja wa NHIF ni kuhujumu nchi. Haikubaliki

    Hospitali ya Aga Khan wanataka kutoza Shilingi 6,000,000/= kwa huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji wakati Hospitali nyingine zenye hadhi sawa ya rufaa ya Kanda wanatoza kiasi cha Shilingi 230,000/= huku bei ya juu katika baadhi ya Hospitali ikijumlisha na huduma ziada hutoza kiasi cha...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tabora – Uyui: Wananchi waliotakiwa kupisha Mradi wa SGR waomba Serikali isaidie walipwe fidia zao

    Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, wakidai awali tathimini ilifanyika Machi 2023 na mpaka Mei 2024 hawajui hatima ya malipo yao. Wameyasema hayo wakati wakidai Sheria...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania CAG: Askari Magereza Walipwe Posho ya Mazingira Magumu

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza Serikali ifanye mapitio ya kina ya mgawanyo wa bajeti kwa ajili ya posho za mazingira magumu kwa Maofisa wa Magereza na kuboesha bajeti kuhakikisha ustawi wa Maofisa wa Magereza. Kupitia Ripoti Kuu ya Mwaka ya...
  16. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania TANESCO ni national embarrassment, kuanzia mwezi ujao walipwe nusu mshahara mpaka tatizo la mgao litakapoisha

    Nimejiuliza sana, chanzo cha mgao huu wa umeme ni nini haswa? Kuongezeka kwa wateja, uchakavu wa mitambo? What exactly? Mambo yote hayo sio dharura, taasisi yenye vision na mission inapaswa kuyaona hayo na kujipanga miaka kadhaa nyuma kabla hayajatokea. TANESCO ni punda asikwenda bila kiboko...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaotaka Ujerumani walipe fidia ya Ukoloni waambiwa wafuate utaratibu

    Siku chache baada ya The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” kuandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania wakidai kulipwa fidia kwa kilichotokea wakati wa Ukoloni, Esther...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania RAISI SAMIA S.SULUHU BAADHI YA TAASISI WANATAKA UKOSE KURA.BARABARA YA KMR BONYOKWA WANANCHI WALIPWE

    MH RAISI SAMIA JANA NILIKUWA MAEENEO YA KiMARA BONYOKWAA KAAENEO KHA KUJIDAI NNILIPOFIKA NILIKUTA NDUGU NA JAMAA WAKIJILIWAZA NA KUONDOA STRESS ZA MAISHA GAFLA AKAJA BOSS WA BAR AKASEMA WAKUU SOON JAMAA WANATAKA KUTUONDOAA..NKAULIZA KIVIPI WAKASEMA BARABARA INAWEKWA LAMI..AJABU AWAJAPOKEA...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wawasilisha Barua Ubalozi wa Ujerumani wakitaka walipwe fidia kutokana na Babu na Bibi zao kuteswa wakati wa Ukoloni.

    The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” wameandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania wakidai kulipwa fidia kwa kilichotokea wakati wa Ukoloni. Kupitia taarifa yao...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wanaume walipwe zaidi kuliko wanawake kazini

    Mke wangu ni mwalimu lakini hela yake anaona haistahili kutumika yote kwenye familia. Kule jeshini wakati tuko kwa mwaka mmoja kwa mujibu wa sheria baada ya kumaliza form 6 tulikuwa tukilipwa wote wake kwa wanaume sh, 300 (kichele) kila mwezi, lakini siku ya malipo wanawake wanaomba matumizi...
Back
Top Bottom