katuni

 1. OEDIPUS

  Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania

  Waandishi wa Kitanzania na vitabu vyao Vitabu vya Watoto Muandishi Jina la kitabu W. Mkufya Androko na Simba Ziraili na Zirani Richard Mabala Mabala the Farmer Hawa the Bus Driver Elieshi Lema Safari ya Prospa Mwendo Parched Earth Nyamanza Ndege wa Amani Parched Earth: A Love...
 2. GENTAMYCINE

  Je, nikichora katuni ya kiongozi mmoja duniani akiweka kipaza sauti ( Microphone ) Masikioni huku anaongea na simu nitaitwa Polisi?

  Moja ya Kazi yangu nyingine ni ya ‘ Ukomedi ‘ lakini ambao unawasilisha jambo fulani mtambuka ( lililotokea punde ) nikiwa na nia ya Kuwaburudisha Wasomaji wangu lakini pia Kuwaonyesha Wahusika kwamba walikosea ili Siku zingine wasirejee hilo Kosa na mwisho ni kutoa Elimu kwa Watawala / Viongozi...
 3. Kiganyi

  Kingo cartoon special thread

  By; James Gayo!
 4. Kaka Pekee

  Fikra za Katuni, Siasa za Siasa nchini!

  Fikiria nje ya Box na Wachora Vibonzo Mbalimbali.
 5. Kaka Pekee

  Mchora Katuni Gado Buana...ha ha ha!

  'GADO' Godfrey Mwampembwa ni Mchora katuni mwingine ambaye Namkubali sana na sanaa yake ya Uhakika na Kufikirisha. Kwa kazi zake zaidi cheki hapa Tovuti ya Gado Toons
Top