zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Ameimaliza Tanganyika, Amekamilisha Zanzibar Huru. Mkileta za Kuleta anarudi kwao Zanzibar

    Zamani Watalii wakija Tanzania kwenye viwanja vyote vya ndege mapato yalikuwa yanakusanywa na kupelekwa Mfuko Mkuu wa Hazina na baadae Benki Kuu ya Tanzania ambapo zilikuwa zinagawanywa wa pande mbili za muungano kwa shughuli za Maendeleo. Kwa sasa mapato ya Watalii wanaoshukia Zanzibar yanabaki...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Wanu Ameir Atunukiwa Tuzo Maalum na UWT Wilaya ya Kati, Zanzibar

    MBUNGE WANU AMEIR ATUNUKIWA TUZO MAALUM NA UWT WILAYA YA KATI, ZANZIBAR Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Unguja Kusini na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir ametunukiwa Tuzo Maalum na viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)...
  3. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  4. JamiiForums Tanzania Unajua kwamba Mnyika kwa sasa sio Katibu Mkuu Chadema? anakaimu tu, pia Amani Golugwa na yule wa Zanzibar. Ni uamuzi wa Heche alioutoa leo

    Heche leo ametoa uamuzi wa kuwafuta kazi Mnyika na wenzake. Mnyika alikuwa katibu mkuu, ila sasa anakaimu tu, vivyo hivyo kwa Amani Golugwa na yule wa zanzibar. Watu hawa walikuwa wanatuna wakitamba kwamba Msajili wa Vyama akipenda akifute chama chao. Naona wameufyata
  5. JamiiForums Tanzania Somo zuri kutoka kwa Dkt. Hussein Mwinyi-Rais wa Zanzibar kwa viongozi wote wa Tanzania

    Enyi viongozi mliopewa dhamana na wananchi kuliongoza hili taifa chukueni huu ushauri mzuri kutoka kwa Dr Hussein Mwinyi utawasaidia. Tusipokuwa makini UCHAWA utaliangamiza taifa, leo hii Daktari anayeokoa maisha ya watu kila siku pale Muhimbili hana issue kuliko Mwijaku anayesifiasifia tu hata...
  6. JamiiForums Tanzania Waarabu Hawajawahi Kujali Haki za Watoto: Kinachoendelea Zanzibar na Kesi la Ulawiti ni Dalili Za Mwanzo za Unyama unaofanyika Nchi za Kiarabu

    Na Tauceti Rigel Ni lini jamii itaamka kutoka usingizi wa kina, na kukubali kuwa baadhi ya tamaduni zinazofichwa nyuma ya pazia la dini ni vazi la unyama wa wazi? Swali hili linapaswa kutusumbua sisi sote, hasa wakati huu ambapo Zanzibar inatikiswa na kesi za ulawiti wa watoto huku wengi...
  7. JamiiForums Tanzania Waarabu wameleta maendeleo, uungwana na ustaarabu Zanzibar

    Wapenzi wanajamii Katika mwaka 1806 wenyeji wa Zanzibar, ambao walikuwa na asili ya Kiomani na Kishirazi walikwenda huko Sultanate ya Kiomani na kumuomba baba wa wafalme waadhimu, wakarimu, waungwana, wenye kuona mbele, Sayyid Said Al Said, (Mungu ailaze roho yake palaha pema na kumpa pepo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

    Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kupitia taarifa hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kaniomba tukapumzike Zanzibar weekend hii.

    Habari zenu Kuna mchepuko wangu ni mke wa mtu,sasa kazini kwao weekend hii wanatakiwa kwenda training somewhere huko arusha ila yeye kaniambia hatoenda huko kwenye hiyo training instead kaniambia twende zetu zanzibar tukale raha. Nikubali au nikatae wakuu?
  10. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar: Ni aibu mwanamke kuteswa chini ya utawala wa Rais mwanamke

    Mwenyekiti wa @ACTwazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ndugu Othman Masoud Othman (OMO) amesema kuwa “Kama tunataka mageuzi katika nchi hii hatuwezi kukaa kitako tukafunga mikono tukasema kwamba mageuzi yatakuja, hawako huko watu kwenda Mahakamani tu kwenda kusikiliza...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kuhoji kuhusu elimu ya Zanzibar

    Ukimtoa msomi nguli kutoka Zanzibar, Prof Makame Mbarawa ambaye binafsi namhusudu Hawa wengine naona hamna kitu Kuna wabunge wa Zanzibar wakichanga hoja wanaongea kama laymen tu Wabunge wa Zanzibar wanaitwa watu Kenge, Mwingine anasema eti Bora jeshi lingemuuwa Martha Karia, nimeshangaa...
  13. JamiiForums Tanzania Zanzibar

    Zamani ilikua wazanzibar weliowengi wakijinasibu wao ni wazanzibar, lkn siku za hivi karibuni, wao ndo wamekua mstari wa mbele kujinasibu wao ni wa Tanzania, jambo ambalo mwanzo hawakuona kama ni fahari kuitwa hivyo. Kuna nini?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Coca-Cola yaipeleka 'Chupa la Machupa’ Zanzibar

    Kampeni ya ‘Chupa la Machupa’ imepelekwa rasmi Forodhani, Zanzibar, kuleta msisimko mpya katika mandhari ya eneo hili maarufu mjini Zanzibar. Forodhani ni eneo lililopo katikati ya Mji Mkongwe, kati ya Jumba la Makumbusho na Ngome Kongwe, ni kivutio kikubwa cha wageni na wenyeji kila jioni...
  15. JamiiForums Tanzania Inawezekana kuwa na Kitambulisho cha NIDA na cha Mkazi Zanzibar kwa wakati mmoja?

    Habari, Naomba kuuliza hili swali Kwa wajuzi wa mambo, Inawezekana kuwa na Kitambulisho cha NIDA na cha Mkazi Zanzibar kwa wakati mmoja?
  16. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Salum Mwalim hakuhamia ACT Wazalendo ambapo angeweza kupata chochote upande wa Zanzibar?

    Nikitafakari hili swali ndiyo napata uhakika kwamba CHAUMMA ni CHAMA CHA UDALALI NA MAPANDIKIZI YA MAMA. Mtu angeweza kupata kanafasi hata ka uwakilishi kule viunga vya Kizimkazi kupitia ACT ila unaona kwa kuwa ni mkataba lazima utekelezwe. Kazi kwenu madalali wa MAMA.
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar kemeani kauli za Ahmed Ally na Mzee Dalali zisizo za kimichezo, zinawachafua

    Ulishawahi kuona wapi mechi ya mpira wakaingia mashariki wa aina Moja tu kiwanjani? Ni kweli Ahmed Alley na Dalali wanaweza kuua watu ndani ya New Amani Complex? Mbona Yanga walipocheza finali na Alger watu wote waliingia na kushangilia kwa Uhuru. Je, hizi kauli za Simba ndio kauli ya SMZ pia...
  18. JamiiForums Tanzania Simba hamwezi enda mfunga Mwarabu Zanzibar. Hilo Msahau kabisa. Wao si wajinga kupeleka match kule

    Asilimia zaidi ya 80 wanataka Mwarabu ashinde dhidi ya huyu mtu mweusi. Mnajidanganya mtamfunga Mwarabu Zanzibar. Thubutuuuuuuuuuuuuu. Ndani yenu wenyewe ya Simba kuna watu wanatamani Mwarabu ashinde. Si kwa sababu ya Yanga. Ila ni sababu ni team ya mabwana. Na sisi ni Watwana. Ipo hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Yanga wanahangaika na mechi ya fainali ya Simba na Berkane huko Zanzibar

    Wako bize sana na mechi hiyo wakati haiwahusu.
  20. JamiiForums Tanzania KERO Nyumba za Michenzani (Zanzibar) zinatiririsha maji yenye kinyesi Mtaani na Mamlaka hazichukui hatua zozote

    Hapa ni Jumba Namba Nne - Michenzani usawa wa geti na RahaLeo Studio kuna karo (chemba) kutoka katika nyumba za hapo zinatoa kinyesi na maji yake ambayo yanasambaa mtaani na wala Wananchi hawajali lolote. Jambo hilo baya kwa afya linaweka hatarini afya za Wakazi wa hapo ikiwemo kuwa hatarini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…