upotoshaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania AI yafika Polisi, wagoma kubaki nyuma kiteknolojia. wafyatua maudhui kuzuia upotoshaji kuhusu kifo cha Msemaji wao, Misime

    AI yafika Polisi, wafyatua maudhui kuzuia upotoshaji kuhusu kifo cha Msemaji Misime Hapo awali walitoa tangazo la kukanusha posta ya kugushi iliyokuwa ikisema Msemaji wao Kafariki.
  2. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

    Well , taarifa za Dr. Emmanuel Nchimbi (PhD) kuhusukujiuzulu zilianza chinichini hadi Gazeti moja likapigwa ban , mwisho wa siku ni kweli Daktari Nchimbi akalazimishwa kuachia Ofisi - Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli Kifo cha JPM kilianza kama drama na upotoshaji, baadae ni kweli JPM...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Rais Samia kuwa na likizo ya siku 90 si ya kweli

    Ipuuzeni taarifa hii ya uzushi iliyotengenezwa na wahalifu. Tunawasisitiza Watanzania kuendelea kufuatilia taarifa kutoka kwenye vyanzo rasmi ikiwemo tovuti ya Idara ya Habari-MAELEZO(www.maelezo.go.tz) na akaunti za Idara ya Habari-MAELEZO kwenye mitandao ya kijamii (Msemaji Mkuu wa Serikali...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tupuuze, taarifa hii ni upotoshaji

  5. britanicca

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji, Britanicca hakuanza kumkosoa Samia, bali kuanzia kwa Jakaya na Magufuli nao walikaangwa

    Watu ukikosoa wanasema kisa mi si muislamu ndo maana namkosoa Samia, Kwamba hata Jakaya nilimkosoa ila Magufuli hapana! Kama kuna mtu alimlaza Magufuli basi alikuwa Mimi, na kule twitter nilikuwa na combination na Kigogo kabla hajarejea kusifu, Ila Magufuli nimemkaanga sana...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini BBC hua inapenda sana kuzua taharuki kwanza kwa jamii kwa upotoshaji, halafu inakuja kurekebisha uongo huo wa makusudi baadae?

    Tazama hiyo artwork yao hapo chini, kuhusu jaji wa Namibia, ndipo unaweza kunielewa kirahisi. Na sio mara ya kwanza wala mara moja kwa BBC kudanganya umma kwa makusudi namna hii. Hapajawahi kutokea Rais wa Tanzania amemteu jaji wa Namibia kua mjumbe wa tume ya uchaguzi Tanzania. Na hapa sio...
  7. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haijaikosea CCM na dola popote. Ni upotoshaji kutumia neno "MARIDHIANO" bali Tunachotaka sio Maridhiano bali ni Nchi kurejesha mfumo wa haki

    Watu hutafuta Maridhiano baada ya kugombana au kuhujumiana ata kupigana. Kama ilivyokuwa kenya. Ulikuwa ugonvi kati ya Odinga na Kenyata. Watu wakakaa wakataka waridhiane. Lengo ni kuondoa tofauti zao. Tanzania ni tofauti kabisa, Tena mbali mno. Je kuna ugonvi binafsi kati ya Lissu na Samia. Au...
  8. econonist

    JamiiForums Tanzania Ni upotoshaji yule sio Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani

  9. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maridhiano hadi Vitisho vya Ugaidi: Tunalaani upotoshaji wa Rais Samia wa kubatiza Wapigania Haki jina la 'Magaidi'

    Wana-JamiiForums, Leo tarehe 9 Julai 2026, tumeshuhudia kile kinachoitwa 'Tamko la Pamoja la Maridhiano' kati ya CCM na ACT-Wazalendo huko Zanzibar. Wakati viongozi wakitabasamu mbele ya kamera, hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan imeacha maswali mazito na simanzi kubwa kwa mtu yeyote...
  10. N

    JamiiForums Tanzania UZUSHI Taarifa ya maandamano ya 7/7 kwa wananchuo

    Je taarifa hii ni ya kweli
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hakuna na wala hapatakuwepo na mgogoro wa kidiplomasia baina ya Tanzania, Marekani na EU, Puuzeni upotoshaji wa wafuata mkumbo waliokosa agenda.

    Uhusiano wa Tanzania na washirika wake wa maendeleo na kidiplomasia kote ulimwenguni ikiwa ni pamoja na serikali ya Marekani, Umoja wa Ulaya EU, Urusi, Japan, China n.k ni mzuri sana na unaendelea kuimarika kila uchwao kwa maslahi mapana ya wananchi wa nchi zote husika. Porojo na upotoshaji...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Watumishi Wizara ya Fedha watahadharishwa upotoshaji wa elimu ya lishe

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewataka Watumishi wa Wizara ya Fedha na wananchi kwa ujumla kuwa makini na taarifa zisizo sahihi kuhusu lishe kupitia mitandao ya kijamii, ikiwemo taarifa zinazopinga matumizi ya vyakula vya wanga kwa watoto...
  13. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Wito kwa serikali kuhusu uzingatiaji wa sheria ya takwimu (sura ya 351

    Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Takwimu, kinachokataza utoaji na upotoshaji wa takwimu rasmi kwa nia ya kuwahadaa wananchi, Serikali inapaswa kuimarisha usimamizi kwa wanasiasa na viongozi wa kijamii wanaotoa takwimu bila weledi. Nukuu ifuatayo inapaswa kuwa muongozo...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Serikali ijibu Hoja kwa Wakati, na pale panapokuwa na upotoshaji itoe ukweli, isikimbilie kusema Mtu Kapotosha

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica, Maxence Melo, akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM, amesema Serikali inapaswa kujibu hoja kwa wakati, na pale panapokuwa na upotoshaji, itoe ukweli kwa wakati badala ya kukimbilia kusema mtu kapotosha, kwani hali hiyo haisaidii na badala yake...
  15. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kulikuwa na upotoshaji mkubwa habari za Oktoba 29 hususani vyombo vya habari vya nje na vya kimataifa

    Wakuu, Anazungumza Rais samia wakati akipokea ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu 2025
  16. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeharibu maadili ya Taifa letu. Siasa zao zimejikita kwenye matusi, upotoshaji, vurugu na ufitinishaji; kama Taifa tuseme NO

    Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema. Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema. Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata...
  17. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Malisa juu ya Civilian Coin ni wa kupuuzwa kabisa na ni wa uongo

    UPOTOSHAJI WA MALISA GJ NI WA KUPUUZWA, SINA MPANGO WA KUDAI FIDIA BAADA YA KUSHINDA KESI, MIMI SINA DHIKI YA KISIASA MPAKA NIDAI FIDIA, NINAJITOSHELEZA NA SIASA ZENU NIMEWAA CHIA. Bwana Malisa ameandika waraka wa uongo mwanzo mwisho juu yangu CIVILIAN COIN ambaye yeye kanitambulisha Kama...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Masauni atoa rai kwa wabunge kupinga upotoshaji kuhusu Muungano

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa rai kwa wabunge kupinga na kusahihisha upotoshaji wa taarifa kuhusu Muungano, hususan kupitia mikutano ya hadhara na mitandao ya kijamii. Ametoa rai hiyo wakati wa semina kuhusu Muungano na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji ukome tangu leo, Jana Tanzania kule Morocco ilinyimwa Amani au Haki?

    Vichawa vya CCM kujeni mjibu hili swali Kwa nini jana timu ya Tanzania walishindwa kulinda Amani ilihali mwamzi alikuwa akiwasisitiza kuilinda hiyo Amani Nini kilitokea hadi washindwe kuilinda Amani? Kati ya Haki na Amani, nini kitangulie ili kulinda Neno moja wapo ya hayo mawili?
  20. D

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video ikimuonesha Rais Maduro wa Venezuela akikamatwa na wanajeshi wa Marekani

    Wakuu, Je hii video inayoonesha jeshi la Marekani likiwa pamoja na helcopter ni ya siku ambayo walienda kumkamata Rais wa Venezuela Nicolás Maduro?
Back
Top Bottom