maarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. venchwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna huyo sijui chizi maarifa mpuuzi sana

    Huyo chizi nani anasema mi ni dogo niko tanzania ! Mi Nina Mwaka wa 12 ziko bongo nakula mbususu alafu mtu yuko Tandale analeta upuuzi Nawala anayechukia achukie
  2. O

    JamiiForums Tanzania Taifa linaloutukuza ujinga na kuudharau maarifa hujichimbia kaburi lake lenyewe; mara nyingi uhai wake hauzidi karne moja.

    Mnakaribishwa!
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tusemeni tu ukweli ndege wanatupita akili na maarifa baadhi ya sisi binadamu?

    Tuanze ba uaminifu ndege wengi Huunda couple za muda mrefu, na baadhi yao hubaki na mwenza mmoja kwa miaka mingi au maisha yote. Mfano hata njiwa ambao wanajulikana kwa mahusiano ya kudumu..hapo tukubali maadili wametupita Tuje kwenye ujenzi ona bila ya shule ya uhandisi wala kuwa na vifaa vya...
  4. YASIYOSEMWA

    JamiiForums Tanzania Wingi wa maarifa na hatari YA sonona

    Simple observation nilioifanya Naona watu wenye maarifa kiduchu na taarifa chache juu ya ulimwengu na hekaheka zake wanafuraha kuliko wasomi na wajuvi wa mambo. Wao masuala kama YA Vita na mashindano YA geopolitics hawana habari nayo,mambo YA ushabiki wa Mpira,Maisha mlinganisho YA mitandaoni...
  5. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Je, Unapenda Maarifa?

    Habari za muda huu wanajf , Kuna msemo wa Kiingereza unasema, "The world belongs to those who read." Katika ulimwengu wa sasa ambao taarifa (information) zinapatikana kwa wingi, uwezo wa kuchuja taarifa hizo na kuzibadilisha kuwa maarifa (knowledge) ndiyo unaotofautisha kati ya mtu anayepiga...
  6. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Je, Unapenda Maarifa?

    Habari za muda huu wanajf , Kuna msemo wa Kiingereza unasema, "The world belongs to those who read." Katika ulimwengu wa sasa ambao taarifa (information) zinapatikana kwa wingi, uwezo wa kuchuja taarifa hizo na kuzibadilisha kuwa maarifa (knowledge) ndiyo unaotofautisha kati ya mtu anayepiga...
  7. Vien

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kutafuta hela kwa sasa umebadilika sana; kwa dunia ya leo maarifa yana nguvu kuliko juhudi

    Miaka ya nyuma tulilelewa kwenye dhana kwamba mafanikio yanategemea zaidi jasho, juhudi, na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka. Ilikuwa ni kweli kwa wakati huo, kwa sababu fursa zilikuwa chache na taarifa hazikupatikana kwa urahisi. Lakini kadri dunia ilivyobadilika, hasa kwa ujio wa...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maarifa ya kiroho: Karibu tuzungumze tuelimishane

    Kuna vitu nitaviandika hapa na baadhi watasema mbona matajiri hawafanyi hivyo!? Lakini jibu ni moja tuu.. Wamefanya hivyo pamoja na mengine ndio maana wamefika hapo walipo Sasa mada hii si kwa ajili ya utajiri pekee bali na mambo mengine mengi yatakayokusaidia sana maishani 1. Nguo/vazi Hiki...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Life hacks: Maarifa mtaani bure, bunifu manufaa lundo

    Usiwe mvivu wa kufungua links za maarifa! Zitakusaidia mengi.. Achana na links za umbea na pilau Tumia bando lako kwa manufaa Kwa kila link nitakayoweka kuna vitu rahisi utajifunza na kuokoa pesa nyingi na muda TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wabongo Jengeni Tabia Ya Kusoma Vitabu Muongeze Maarifa, Maudhui na Uwezo wa Kufikiri

    Unaweza usiamini lakini fanya utafiti wako binafsi kimya kimya utagundua kwamba Wabongo wengi, hawana maarifa ya msingi, hawana maudhui ya kutosha na hawana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa kina hata kwenye masuala ya kawaida sana. Kunaweza kuwepo na sababu mbalimbali lakini mojawapo ni kukosa tabia...
  11. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kutuma ushahidi kwa inayoitwa "Tume Huru ya Uchunguzi ya Jaji Othuman Chande" achukuliwa na 'wasiojulikana'

    NB: Anayetaka kuthibitisha hili, aende pale Mabibo zilipo Hostel za wanachuo wa UDSM aulize steshenari aliyokuwa anauza Dada Devotha. Watakuambia hajui alipo zaidi ya wiki sasa.... Shetani yuko kazini jamani kulinda himaya na utawala wake ktk Tanganyika akiwatumia mawakala wanadamu wenzetu...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wajengewa uwezo kwa kupatiwa mafunzo ya kisasa nchini Scotland

    Katika kuhakikisha Jeshi la Polisi Tanzania linaendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa wananchi, limeendelea kuwekeza katika mafunzo ya ndani na nje ya nchi kwa maafisa na askari wake, lengo likiwa ni kuboresha utendaji kazi na huduma kwa wananchi katika ulinzi wa maisha na mali zao Mmoja...
  13. winnerian

    JamiiForums Tanzania Hivi hili la viongozi kuiba mabilioni ya pesa na kununulia vitu vya kifahari ni ujinga ama ni kukosa maarifa?

    Mange amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa na familia za viongozi wa juu, wakitapanya mabilioni kupitia “deals.” Swali linalojitokeza ni: hivi kweli familia hizi hazina hata chembe ya busara ya kawaida katika namna ya kufanya mambo yao? Ni kana kwamba tamaa imefunga fikra zao kiasi cha kushindwa...
  14. HOST NOT FOUND

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Kweli: Ni Cheo au ni Uwezo wa kusema ukweli hata kama unapoteza kila kitu?

    Tuambiane ukweli: Leo, watu wengi wanataka kuwa viongozi si kwa sababu ya kuwahudumia wengine, bali kwa sababu ya madaraka, heshima, na ulaji. Lakini uongozi wa kweli haupimwi kwa vyeo wala makofi ya hadhara. Unapimwa kwa kiasi gani uko tayari kusema ukweli hata kama utachukiwa, kutengwa au...
  15. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Chuo cha NDC chahitimisha mafunzo ya muda wa wiki 47, ujumbe watolewa "Tumieni maarifa kuimarisha ulinzi na maendeleo"

    Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence College - NDC) kimehitimisha rasmi mafunzo ya muda wa wiki 47 (kuanzia Septemba 2024 hadi Julai 2025), kwa viongozi waandamizi wa Jeshi, vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na viongozi wa Serikali, kutoka Tanzania na mataifa mengine. Mafunzo hayo...
  16. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kimafanikio kwa wafanyabiashara wadogo; Maarifa niliyoyapata kutoka China

    Ndugu zangu wafanyabiashara wadogo na wa kati. Katika pitapita zangu za mara kwa mara nchini China nchi ambayo ni epicenter ya ubunifu wa kiuchumi na biashara nimefanya research nyingi sana, nikiwa na nia ya kujifunza, kuchambua na kutathmini mbinu zao za mafanikio. Nacho nimejifunza ni hiki...
  17. Ibun Sirin

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wachawi wanaaminika kuwa na uwezo wa kuzungumza na wafu ili kupata maarifa ambayo wao huita hekima

    'Shujaa haitaji kusema zaidi'' huo ni msemo maarufu kwenye vilinge vya uchawi wenye nguvu. Mada hizi sio ngeni katika kurasa hii bali ni muendelezo wa yale niliyo yaanzisha kupitia utafiti wangu katika maswala ya nguvu za giza. Lengo kuu ni kuwapa watu maarifa walau ABC yanayo jiri katika...
  18. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Mjuaji Vs Mtaalam

    Mtaalam vs Mjuaji (Machino) (Chawa) Mtaalamu ni mtu mwenye ujuzi wa kitaalam katika eneo fulani, amepitia mafunzo rasmi, uzoefu wa kazi, au elimu ya kina. Mfano: mtaalamu wa afya, mtaalamu wa sheria. Mjuaji ni mtu ambaye anajua mambo mengi, lakini si lazima awe na elimu rasmi au ujuzi wa...
  19. Afisa_Nkai

    JamiiForums Tanzania Akili na maarifa vipo kwenye jukwaa la JF

    Wakuu habari zenu, Ni Matumaini yangu kuwa mpo wazima wa afya na mna nguvu pia. Nimegundua maarifa yapo huku hili ni moja ya jukwaa Bora sana kuwahi kutokea nimejoin Leo rasmi ili niendelee kujifunza mambo kadha wa kadha, naombeni mnipokee kijana wenu Ahsanteni!!
  20. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maarifa ni chanzo cha upotevu wa pesa wakati wa ujenzi

    UKOSEFU WA MAARIFA NI CHANZO CHA UPOTEVU WA PESA WAKATI WA UJENZI. Faida za kununua full package ya Ramani Kabla ya Kuanza Ujenzi. 1. Unakuwa na uhakika na Nyumba ya Ndoto Yako itakavyokuwa. 2. Fundi hatoikosea Nyumba ikiwa anajua kuitafsiri Ramani na Kama hajui Iwapo ukiwa umenunua Kwangu...
Back
Top Bottom