Serikali ya Shirikisho la Nigeria imepiga marufuku watu waliotunukiwa shahada za heshima kutumia jina la “Dr” mbele ya majina yao katika matumizi rasmi, kitaaluma au kikazi.
Waziri wa Elimu wa Nigeria, Tunji Alausa, alisema kutumia cheo hicho kana kwamba mtu amekipata kupitia masomo rasmi...
Burkina Faso imeipiga marufuku televisheni ya Ufaransa, TV5 Monde, ikiituhumu kwa kueneza "habari za uongo" kuhusu hali ya ugaidi nchini humo na nchi jirani ya Mali. Uamuzi huo ulitangazwa na mamlaka ya kusimamia vyombo vya habari nchini humo siku ya Jumanne Mei 5, 2026.
Hii si mara ya kwanza...
Wanaukumbi.
Baada ya zaidi ya saa 12, udhibiti wa Israel unasema "iliruhusu" kuchapishwa kwa athari ya kombora la Iran karibu saa 1 asubuhi huko Haifa,
https://x.com/aryjeay/status/2035001330511569060?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefanya ziara ya kikazi nchini Comoro kwa mwaliko wa Jeshi la Comoro, ikiwa ni hatua ya awali ya kuanzisha ushirikiano wa kimkakati katika kuboresha huduma za afya visiwani humo, hususan hospitali ya jeshi.
Ziara hiyo iliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema kuanzia Februari 06, 2026 waongoza sherehe, burudani na matukio (MCs) pamoja na Manju Muziki (DJs) wote wasio na vibali halali vya BASATA hawataruhusiwa kujishughulisha na kazi hizo hapa nchini.
BASATA imesema yeyote atakayekiuka agizo hilo atatozwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa watu wanaosafiri kwenda mikoani ni jambo la kawaida linalotokea kila mwaka, na si kitu cha kushangaza au kuhusishwa na sababu nyingine.
“Naomba niwaambie kitu kimoja: kama kweli kuna adui, atakuwa amefanikiwa endapo atagundua kuwa...
Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku “maandamano ya amani yasiyo na kikomo,” yaliyotangazwa kufanyika Desemba 9, 2025, likisema yamekosa sifa za kisheria na yanaashiria mipango ya uhalifu unaoweza kuhatarisha usalama wa taifa.
Katika taarifa iliyotolewa Desemba 5, 2025 na Msemaji wa Jeshi...
India imepiga marufuku kampuni zote za michezo ya kubahatisha mtandaoni zinazohusisha pesa halisi, kuanzia tarehe 21 Agosti 2025 baada ya kupitishwa kwa Sheria ya Kukuza na Kudhibiti Michezo ya Mtandaoni, 2025.
Muhtasari wa Sheria Mpya
Kimepigwa Marufuku
Michezo yote ya mtandaoni yenye...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku shule ambazo zilo ndani ya nyumba (skuli nyumba) na kuwataka wamiliki kujenga majengo yanayokidhi utoaji wa huduma kwa wanafunzi wao
Akizungumza na Walimu katika Mkutano Mkuu wa tisa wa Chama cha Walimu Zanzibar (ZATU) katika Ukumbi wa Taasisi...
Iwapo Urusi na China ndio marafiki wa damu damu damu imekuwaje Urusi ambayo iko chini ya Vikwazo iyakate malori ya kichina? Wanadai hayana ubora, je hapa kwetu tunaoyatumia magari yao tunaweza kukubaliana na madai ya Urusi?
https://www.youtube.com/watch?v=ze_0PmOuzM0&t=179s
Mapema Julai 30, 2025, imeripotiwa tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 Magnitude lilikumba bahari ya Pasifiki karibu na pwani ya mashariki ya Urusi, likiathiri zaidi eneo la Kamchatka na Visiwa vya Kuril. Kwa mujibu wa wanasayansi wa Chuo cha Sayansi cha Urusi, hili ni tetemeko kubwa...
Meya wa Odessa Gennady Trukhanov amethibitisha kuwa "shahed" za Urusi ziliingia katika jengo la makazi la ghorofa nyingi.
Waokoaji wamepata miili ya wanandoa waliokufa wakati ndege isiyo na rubani ya Urusi ilipogonga - jengo la ghorofa nyingi, Meya wa Odessa Gennady Trukhanov aliripoti...
China imechukua hatua kwa kupiga marufuku rasmi matumizi ya chips (vipuri vya kielektroniki) kutoka kampuni ya Marekani, NVIDIA. Hatua hii inaonesha wazi kuwa China haiko tena tayari kutegemea teknolojia kutoka Marekani.
Badala yake, China imeamua kujiamini na kuanza kujenga teknolojia zake...
Wadau hamjamboni nyote, Iran yapiga marufuku maafisa kutumia vifaa vilivyounganishwa kwenye mtandao Leo, saa 2:00 usiku Mamlaka ya usalama wa mtandao ya Iran imepiga marufuku maafisa kutumia vifaa vinavyounganishwa kwenye mtandao, ikionekana kuhofia kufuatiliwa au kudukuliwa na Israel. Kwa...
Israel pia imesema Ayatollah atapigwa muda usio mrefu....
The IDF confirmed early Sunday morning striking the Iranian Defense Ministry headquarters as well as the “headquarters of the SPND nuclear project, and additional targets.” Israeli jets also struck fuel depots in the country, the...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku vyombo vya habari nchini humo kuripoti kuhusu shughuli za aliyekuwa Rais, Joseph Kabila, pamoja na kufanya mahojiano na wanachama wa chama chake cha siasa. Amri hii inajiri wakati kukiwa na mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Bw...
drc
habari
jamhuri
joseph kabila
kabila
kidemokrasia
kongo
kutoa
marufuku
mstaafu
rais
rais mstaafu
raisi
serikali
shughuli
taarifa
vyombo
vyombo vya habari
wa zamani
yapigayapiga marufuku
zamani
Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) limepiga marufuku kwa Klabu za mpira wa miguu kwenda Uwanjani na vikundi maalum vya kucheza vya Wanawake wanaocheza ngoma zisizo na maadili pamoja na kuvaa nguo (Vijora) na kuonekana maumbile ya miili yao.
ZFF inatoa angalizo la kuzichukulia hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.