zanzibar

  1. alex001

    Je chuo cha State University Of Zanzibar (SUZA) ni kwaajili ya wa kazi wa zanzibar pekee.??

    Naombeni msaada wana Jf. Naomba kujua Je chuo cha SUZA ni kwaajili ya wakazi wa zanzibar pekee au hata sisi kutoka Tanzania Bara tunaweza kuomba udahili na kusoma katika chuo hicho
  2. NUNEZ DIAZ

    Hotel Zanzibar

    Habari wakuu, Naomba msaada wa hotel nzuri isiyozidi laki 250 Zanzibar, ninampango wa kwenda fungate huko msaada tafadhari.
  3. Roving Journalist

    Mjane aliyezuiwa kuingiza Ndizi Zanzibar adai wanaomdai wanataka kwenda kumfilisi, asema ameathirika Kisaikolojia

    Wiki chache zilizopita, Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Mifugo na Biashara wa Zanzibar, Shamata Shaame Khamis alitoa ufafanuzi kihusu tukio la kutaifisha tenga za ndizi za mfanyabiashara Veronica Mwanjala aliyekuwa akizisafirisha kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar kwa ajili ya biashara...
  4. Kaka yake shetani

    Ubaguzi uliopo visiwani kwa Wabara inatosha kuwabembeleza, hata wakiwa huku bara ni vilevile

    Hawa ndugu zetu wa visiwani washajua kuwa tunawakumbatia sana ndio maana kujishugulisha hata kielimu washaona tu mtawapa nafasi zao ajira bakini nyie wa bara someni mpaka mkome. Kama tutaendelea kuwabembeleza nao hipo siku watatueleza wazi kwamba tuachane nao. Inanishangaza kwenye nafasi za...
  5. J

    CHADEMA waelewe Katiba Mpya ni ya JMT siyo ya Tanganyika hivyo Zanzibar Wana 50% ya Maamuzi

    Tunakumbushana tu kwa sababu Watanzania Siyo Wajinga. Chadema haina nguvu yoyote Zanzibar na kwa sababu hiyo haina ushawishi. Kura ya maoni kuamua Katiba Mpya Tanzania na Zanzibar zinasimama Kwenye mzani Sawa kwa asilimia za Maamuzi. Mbwembwe zote za Tundu Antipas Lisu mwisho wake Nungwi...
  6. BIG THINKER

    Vuguvugu la Muungano taratibu linaanza kupata joto

    Niliwahi kusema Muungano wa Tanzania una makosa na mapungufu mengi kiutekelezaji tunakoenda tutake tusitake utavunjika kama hautafanyiwa mabadiliko kufatia kero za kimuungano zilizopo. Mfano; 1. Mzazibari anaweza kumiliki ardhi bara lakini mtanganyika Hilo kwa Zanzibar haliwezekani. 2...
  7. Nyendo

    Zanzibar: Midoli ya kutangazia nguo zisizo na stara yapigwa marufuku kuwekwa nje ya maduka

    Mkuu wa Wilaya ya Mjini Magharibi Unguja, Rashid Simai Msaraka amepiga marufuku, Wafanyabiashara wa Wilaya hiyo kuweka midoli yenye nguo zisizo za staha nje ya maduka yao. DC Msaraka ametoa kauli hiyo baada ya kukutana na Mfanyabiashara maeneo ya Kwahani Zanzibar akiwa ameweka midoli hiyo nje...
  8. Ojuolegbha

    Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa

    Mke wa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Bi. Zainab Shomari aliyeambatana na Ujumbe wake waliofika Ofisi za ZMBF Migombani kujitambulisha na kushirikiana katika Masuala ya Wanawake na...
  9. TODAYS

    ZANZIBAR: Hatimaye House of Wonder Imepata mkandarasi, kutoka Oman

    Hili jengo (pichani) Nyumba ya Maajabu (House of Wonder) ni sehemu ya urithi wa visiwa hivi vya Zanzibar, toka mkoloni alipong'olewa kuja mpaka miaka ya hivi karibuni jengo hilo limeingizia Zanzibar mapato mengi yatokanayo na utalii. Miaka ya hivi karibuni jengo hilo lilibomoka na kuanguka hali...
  10. Ojuolegbha

    Rais Mwinyi asisitiza uharaka wa uanzishwaji Mahakama ya Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa Mahkama maalumu ya rushwa na uhujumu uchumi itaisaidia Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umma. Aidha, Rais Dk. Mwinyi alieleza...
  11. USSR

    Rais Mwinyi asisitiza uharaka wa uanzishwaji Mahakama ya Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa Mahkama maalumu ya rushwa na uhujumu uchumi itaisaidia Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umma. Aidha, Rais Dk.Mwinyi alieleza...
  12. Fursakibao

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulikuwa ni shinikizo la Mabeberu na ndio maana Hati za Muungano wanazo wao

    Tunaambiwa kuwa Tanganyika na Zanzibar ziliungana Kwa sababu ya kuwepo Kwa mahusiano ya karibu na ya kihistoria baina ya nchi hizi mbili katika nyanja mbalimbali kama vile undugu wa damu biashara na utamaduni. Ukiangalia uhalisia haya ni matango pori Tunalishwa kwani sababu zote zilizoelezwa...
  13. Ojuolegbha

    Ikulu Zanzibar: Madaktari Bingwa kutoka China Wawasili Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujio wa madaktari bingwa kutoka China ni fursa adhimu kuimarisha sekta ya Afya Zanzibar. Dk. Mwinyi amesema timu ya madaktari bingwa kutoka China imewasili Zanzibar kuongeza nguvu katika sekta ya Afya kwa kutoa...
  14. Analogia Malenga

    Zanzibar yapiga marufuku kuuza (ku-export) mchele na sukari nje ya visiwa hivyo

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa katazo la kusafirisha bidhaa za sukari na mchele nje ya Zanzibar kwenda nchi nyingine yoyote. Taarifa hiyo rasmi ilitolewa na Ofisi ya Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda visiwani humo, Omar Said Shaaban, tarehe 30 Januari, 2023. "Kwa kutekeleza...
  15. Dan Zwangendaba

    Simba Msiharibu Kipaji cha Mohamed Mussa Mliyemsajili kutoka Malindi ya Zanzibar

    Bila shaka, kijana mdogo Mohamed Mussa ni hazina. Mchezaji huyo aliyesajiliwa na Simba katika dirisha dogo kutoka Malindi ya Zanzibar alikuwa kwenye kiwango bora sana katika Ligi ya Zanzibar na mashindano ya Mapinduzi. Binafsi huwezi kunishawishi kuwa Kibu Dennis ni bora kuliko Mohammed Mussa...
  16. Jidu La Mabambasi

    Zanzibar na ndizi za mjane!

    Kama kuna habari inakera, kufedhesha na kutia hasira wiki hii ni jinsi serikali ya Zanzibar ilivyoshughulikia suala la ndizi za mjane aitwaye Veronica Mwanjala. Kosa la Veronica ni kupeleka ndizi Zanzibar ili ajikimu kimaisha yeye na watoto wake. Kilichotokea pale bandarini ni maelezo yanayo...
  17. M

    Kumbe bidhaa kutoka Tanzania bara zikiingizwa Zanzibar inahesabika zimetoka nje ya nchi! Huu muungano haufai

    Ndizi tokan Tanganyka zazuiwa huko Zanzibar 👇 Waziri aeleza sababu mwanamke aliyezuiwa kuingiza ndizi Zanzibar Zanzibar. Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Mifugo na Biashara wa Zanzibar, Shamata Shaame Khamis ametoa ufafanuzi kuhusu tukio la kutaifisha tenga 30 za ndizi za Veronica Mwanjala...
  18. USSR

    Zanzibar: Serikali yazuia Mazao ya Ndizi kutoka nje, ndizi za Veronica Mwanjala kuharibiwa ili kuzuia Magonjwa

    Hii ni mojawapo mfanyabiashara wa bara anyang'anywa tenga 30 za ndizi na faini ya shilingi 50,000 kwa kosa la kuingiza ndizi Zanzibar USSR ==== Alichoandika Askofu Mwamakula katika Ukurasa wake wa Facebook MJANE WA DAR ES SALAAM ANYANG'ANYWA TENGA 30 ZA NDIZI ZANZIBAR KWA AMRI YA WAZIRI WA...
Back
Top Bottom