kuchanganya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ubuntuX

    JamiiForums Tanzania Mashine ya Kuchanganya Unga (Dough Mixer) 12KG – Mpya 🔥

    Unatafuta mashine imara na yenye nguvu kwa ajili ya biashara ya bakery au mgahawa? Hii ni mixer ya unga ya kilo 12 (DAFF type) inayofaa kwa matumizi ya kibiashara. ✅ Specifications: Uwezo: Kilo 12 za unga Aina: Spiral dough mixer Material: Stainless Steel Umeme: 220V / 50Hz Nguvu: Motor yenye...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nilipoona Mwigulu Nchemba ameanza kuongea kisukuma nikajua ni zile zile janja za Kamala Harris katika kutafuta urais

    Mwigulu alisema akipendwa na wanasingida imetosha na kwa muda mrefu amejitambulisha kama Mnyiramba. Sina tatizo na kuongea kisukuma ila yasije kuwa ya Kamala Harris kabla ya kugombea urais alijitambulisha mhindi kwenye mbio za urais ghafla akaanza kujitambulisha kama mweusi. Sitashaangaa huko...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuongea kwa kuchanganya lugha kiswahili na Kiingereza, ni usomi au ujanja?

    Eti wakuu kuongea kwa kuchanganya Lugha 2 kwa pamoja, Kiswahili na kiingereza, hiyo huwa inaonesha usomi wa mtu, ujanja au mtu anakuwa hajui lugha zote 2 hivyo anachanganya kupata misamiati ili kukamilisha sentensi zake? Siyo kitu cha ajabu kusikia I garantee you utakuwa salama we nenda tu, au...
  4. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kuchanganya vihusishi 'na' na 'Kwa' katika matumizi ni kosa kubwa na ni tabia mbaya sana

    Vihusishi 'na' na 'kwa' vinakosewa sana katika matumizi kiasi cha kuleta mkanganyiko katika mawasiliano ya kila siku. Kwa mfano, mtu anasema "Nilisafiri na gari", badala ya "Nilisafiri kwa gari". Ukisema nisafiri na gari unamaanisha wewe unatembea mwenyewe na gari linatembea mwenyewe, Wala...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM acheni kuchanganya dini na siasa

    Mara Samia Suluhu Hassan aende kuombewa na Boniphase Mwamposa ambaye baadae anasema eti anamuona Samia kwenye Urais mwaka 2031! Hatujakaa sawa Emmanuel Nchimbi yupo kwenye vikao vya wapentekoste akiwaomba wamuombee Rais Samia Suluhu Hassan. CCM acheni kuchanganya siasa kwenye dini.
  6. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

    Kuna hii tabia ambayo imeshakuwa mazoea kwa wengi wa masheikh wa kitanzania na Afrika kwa ujumla kuchanganya dini na uganga au uchawi. Utakuta mtu kasoma dini vizuri na ana elimu kubwa lakini badala ya kuitumia elimu hiyo katika kufanya mema na kuitafuta pepo ya Allah (S. W) huitumia kama...
  7. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Je, kuchanganya asali na limao kuna madhara?

    Habari, Nimeleta huu mjadala kwa kuwa hofu imejengeka miongoni mwetu hasa linapokuja suala la kunywa mchanganyiko wa asali na limao. Wakati nina kua nilipata kusikia haya na ilifika wakati nikila asali basi hata ikipita masaa naogopa kutumia limao kabisa hata likiwa kwenye mboga au kachumbari...
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kuchanganya dini na siasa ni pale viongozi wa dini wanapokosoa waovu ila waovu wanapofanya siasa madhabahuni si kuchanganya dini na siasa

    Ukiona namna wanasiasa wanavyoingia makanisani kuhubiri siasa na namna hao hao wanavyowazuia viongozi wa dini wawe wa kweli au feki kama Gwajima, unashangaa kama wanajua dhuluma wanayofanya. Je kuchanganya siasa na dini ni kwa viongozi wa dini tu au inawahusu wanasiasa wanaofanya hivyo tena bila...
  9. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Lema asema Gwajima alitakiwa kupewa kesi ya uhaini, asema amefanya kitu kibaya hauwezi kuchanganya siasa na dini

  10. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Tuwanyanyapae wenye kuchanganya dini na siasa

  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Steve Nyerere: Kufanya siasa kwenye nyumba za Ibada si sawa kabisa

    Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  12. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Hivi wakihubiri kwa kuchanganya Kiswahili na Kingereza ndio neno linaingia zaidi?

    Imezuka tabia ya wahubiri vijana kuhubiri kwa kuchanganya kiswahili na kingereza (broken English) na tabia hii mimi binafsi inanifikirisha sana. Kiufupi nikishajua muhubiri huyu ni mchanganyaji wa lugha huwa siwezi kumsikiliza hata nusu dakika. Sijui ndio ujanja au ndio waumini wanaelewa zaidi...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila, kuchanganya dini na siasa haikubaliki, ni kufilisika kisiasa

    Nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo. Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.
  14. City Owl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchanganya ma-file ya wanawake

    Wakuu, Jana usiku kuna namba ngeni ilinicheki. Sikupokea. Leo asubuhi naitext 'Hello', ikafuata 'Hi City Owl, I miss you' Akili ikanipeleka moja kwa moja kwa dem mmoja nilipita naye mwezi uliopita, kisha, pamoja na uzuri na utamu wake, nikampotezea baada ya kujua kaolewa. Mimi hukwepa wake...
  15. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo aache kuchanganya dini na siasa, anatukera

    Kadinali Pengo huyu Novemba mwaka 2019 akiwa kwenye kongamano la kumsifia Magufuli alisema kauli hii ifuatayo “Tunajiuliza baada ya Magufuli atakuwa nani ila mkiwepo wa aina yako (Makonda) wengi nisingekuwa na shaka ya kuwaza nani atafiata baada yake Magufuli” na akamalizia kwa kusema anatamani...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive. Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema. Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Athari za kuchanganya Siasa na Dini

    Uhusiano kati ya dini na siasa ni suala ambalo limekuwa na athari kubwa katika historia ya binadamu. Dini na siasa zinaweza kuwa na uhusiano wa karibu au wa mbali, na athari za uhusiano huu zinaweza kutofautiana kulingana na muktadha wa kihistoria, kitamaduni, na kijamii. Hapa kuna baadhi ya...
  18. Exile

    JamiiForums Tanzania Hii ya kuchanganya hela na simu mfuko mmoja, inatugharimu sana

    Hapa nilipo nimepoteza hela wakati natoa simu, kawaidi ukishapoteza hela huna haja ya kurudi kutafuta tena.
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyeshiriki kuchanganya udongo wa Tanganyika, Zanzibar afariki

    Khadija Abbas Rashid (74) miongoni mwa walioshiriki kuchanganya udongo wa iliyokuwa Tanganyika na Zanzibar amefariki dunia jana Jumanne Agosti 23, 2023 nyumbani kwake Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano ambapo wametoa...
  20. Dickson Ng'hily

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani unaweza au kutoweza kuchanganya dini na siasa?

    Nimekuwa nikiwaza, kimyakimya.... Hivi siasa ni nini na dini ni nini? Hivi ni wapi dini inachanganywa na siasa na ni wapi siasa inachanganywa na dini? Hivi majukumu ya dini ni yapi na majukumu ya siasa ni yapi? Hivi dini inafanyikia wapi na mipaka yake ni gani? Na siasa je, inafanyikia wapi...
Back
Top Bottom