zanzibar

  1. M

    Kero Kituko Uwanja wa Ndege Zanzibar

    Naipongeza serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kufanya ukarabati mkubwa wa uwanja wa ndege wa Zanzibar, ambapo ni wazi umebadilisha taswira ya uwanja kuwa bora kuliko ilivyokuwa awali. Cha ajabu ni kwamba pamoja na ukarabati huo kuna kero mpya imejitokeza hasa kwa abiria wanaondoka/wanaotoka...
  2. C

    Kuna uwezekano wa kuhoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mahakamani?

    Narudi nyumbani baada ya Hustles za hapa na pale. Naombeni wenye uelewa kuhusu Hili jambo mnifahamishe. Je, Kuna uwezekano wa KUHOJI uhalali wa MUUNGANO WA TANGANYIKA na ZANZIBAR MAHAKAMANI?
  3. R

    Ni sahihi wabunge kutoka Zanzibar kushiriki kuamua hatma ya bandari za bara katika Azimio linaloendelea?

    Makamu wa Rais Zanzibar ameeleza vyema kwamba mkataba huu haifiki Zanzibar, means unaishia Tanganyika. Bunge la Muungano lina wabunge wa majimbo kutoka Zanzibar pamoja na baadhi wa kuteuliwa jambo ambalo linaleta mkanganyiko unapotaka kutoa maamuzi kuhusu Tanganyika. Leo mjadala hafifu...
  4. N

    Zanzibar kuendelea kunufaika na karafuu ya Morogoro, wakatazwa isiuzwe kwa ushindani, Waziri wa Kilimo, viwanda SMZ yuko Morogoro leo

    Juhudi za Mkoa wa Morogoro kuwakwamua wakulima wa karafuu kupata mnunuzi mwenye bei nzuri zimegonga mwamba baada ya kulazimishwa kuwa lazima karafuu inayozalishwa Morogoro basi iuzwe kwa SMZ ili wao wauze nje kwa bei kubwa zaidi. Kwa wasiojua, Morogoro vijijini wanazalisha karafuu nyingi kuliko...
  5. KILIO KIKUU

    Barua ya wazi kwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Rais Hussein Mwinyi

    MH. RAIS, POLE KWA MAJUKUMU MAZITO UNAYOKABILIANA NAYO TANGU UTWISHWE JUKUMU HILI ZITO LA KUONGOZA VISIWA HIVI VYA ZANZIBAR pale wakazi wa visiwa vya Unguja na Pemba walipokuchagua kuwa kiongozi wa visiwa hivi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Hadi sasa sisi wakazi wa visiwa hivi tunaziona...
  6. USSR

    Mohammed Raza tajiri mkubwa Zanzibar anazikwaje bara?

    Dar es salaam na Zanzibar ni kilometers chache Sana, kwa tajiri Kama Mohammed Raza angesafirishwa kwa ndege dk chache Sana na kuzikwa kwao Zanzibar aliko kuwa mbunge mtu maarufu Ila Cha ajabu wamemzika Kisutu kwa nini? Je Zanzibar hakuna maeneo ya kuzika maana sio yeye tu wapo watu wengi wenye...
  7. Erythrocyte

    Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar

    Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika. Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida...
  8. O

    Zanzibar kazi ipo: CAG awajibu wawakilishi waliomtaka aombe radhi

    Unguja. Sakata la Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar la kumtaka Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Dk Othman Abbas Ali kuwaomba radhi limeibuka kivingine, baada ya Dk Ali kuibuka akisema “hao wanajifurahisha.” Wakati CAG akieleza hayo, Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la...
  9. Ngongo

    Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

    Heshima kwenu wanajamvi, Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika. Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE. Rais Samia...
  10. Wadiz

    Hili la bandari kuuzwa likipita utumwa unarudi na Zanzibar inaweza peperuka

    Wasalaam, 👇👇👇 Habari ndiyo hio, bandari ikiuzwa kama msemavyo wabongo tetesi basi jiandaeni kwa utumwa usiomithirika, sioni Tanzania iliyosalama, sioni muungano ukiendelea. Mkimuangalia mtavuna mabua alianza ngorongoro, sasa kalekea chumbani kwenye roho ya nchi. Endeleeni kumchekea Hali si...
  11. Mmawia

    CCM huko Zanzibar kimeumana haswa!

    Hali inazidi kuonesha kuwa visiwani kimeumana. Tazameni na sikilizeni kinachozungumzwa na mwana wa mfalme. Nauona mwisho wa CCM baada ya kutawala kwa 60yrs+. Kwa misuguano hii kamwe haijengi bali ni kuongeza nyufa ndani ya nyumba husika. Nafikiri hiki ni kipindi bora kwa wapinzani wazidi...
  12. R

    Kwanini Zanzibar imeanza kufuatilia eneo la Fukayose kipindi hiki cha ukodishaji WA bandari zetu

    Bandari inakodishwa, Zanzibar wanakuja na hoja eneo la Fukayose ni Mali Yao. Maana yake nini Kwa waliosoma Afghanistan
  13. benzemah

    CCM yampinga Balozi Karume/ACT-Wazalendo. Yasema Upinzani haujawahi kushinda Zanzibar

    Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema madai ya Balozi Ali Karume kuhusu uchaguzi mkuu akisema CCM haikushinda si mageni kwani aliyekuwa Makamo Mwenyekiti CUF Mussa Haji Kombo amewahi kutamka mgombea urais wa CUF hayati Maalim Seif Sharif Hamad hakuwahi kushinda urais . Hadi leo hakuna...
  14. BigBro

    Baba wa mke wa Rais Zanzibar

    Kuna anayemjua Baba wa Mariam Mwinyi ambaye ni mkatoliki mke wa Rais wa Zanzibar, Hussen Mwinyi?
  15. Pascal Mayalla

    Wabara ondoeni shaka, ardhi ya SMZ Bagamoyo si sehemu ya Zanzibar. SMZ haina hati; limetelekezwa miaka 45 ila Zanzibar inamiliki kihalali

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na kwa maslahi ya taifa. Maslahi ya leo ni hii issue ya SMZ kumiliki eneo la ekari 6000 Bagamoyo. Tangazo la SMZ Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu limeleta taharuki na sintofahamu kubwa kwenye mitandao ya kijamii hadi...
  16. aleesha

    Tetesi: Zanzibar mbioni na mchezo wa formula 1

    Zanzibar imeibuka kuwa mshindani jasiri wa hafla ya Kiafrika kwenye kalenda ya mchezo wa magari ya Formula 1. Kwa kuungwa mkono na serikali, washindani wanaoheshimika, na wasimamizi wa michezo, kuna makubaliano ya pamoja juu ya umuhimu wa kuleta tukio hili la kusisimua katika bara. Dhana hadi...
  17. Mr Dudumizi

    Swala la ardhi ya Bagamoyo ni strategy ya kisiasa tu, lakini kiuhalisia serikali ya Zanzibar haimaanishi kile ilichoongea

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kuna mshituko mkubwa umetukumba watanganyika, hasa kuhusu hili swala la serikali ya Zanzibar kudai kuwa ina eneo lake la ardhi huko wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Kama ilivyo kawaida ya baadhi yetu, huwa hatukurupuki kulalamika bila kufuatilia kwa makini kina cha...
  18. P

    Rais wa Zanzibar tafuta washauri wazuri suala la ardhi ya Bagamoyo

    Hili sakata la ardhi ya Bagamoyo ya hekari elfu sita kuwa ni mali ya Zanzibar lina ukakasi na halifai kupita bila ya kupata mawazo mbalimbali yenye lengo la kuboresha uelewa mpana wa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli Mwalimu Nyerere aliwapa Zanzibar ardhi ya Bagamoyo ili waweze...
  19. K

    Yuko wapi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman?

    Ni kitambo kidogo tangu kiongozi huyu aonekane hadharani. Ni zaidi ya miezi karibu 7 Mhe. Othman hajaonekana kwenye tukio lolote la Kitaifa. Mfano ni hivi karibuni Masoud hakuwepo Dodoma katika Hafla ya Uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino. Si hivyo tu, hata kwenye matukio makubwa ya Kisiasa visiwani...
  20. Magufuli 05

    Waziri Mabula toa ufafanuzi wa Ekari 6000 za Zanzibar zilizopo Bagamoyo

    Mhe. Waziri wa ardhi Angela Mabula nakusalimu. Watanzania bara tumechanganyikiwa kusikia Wenzetu Zanzibar wana Ekari 6000 Bagamoyo na wametoa onyo kwa mtu yeyote kutojaribu kusogelea pale. Kinachotuumiza zaidi ni kuona sisi watanganyika kwenye ardhi yetu tukipigwa beat namna hiyo ili hali...
Back
Top Bottom