zanzibar

  1. B

    Soka la Zanzibar lina safari ndefu sana

    Hivi ushawahi kujiuliza ni kwa nini ukifika mwezi mtukufu wa Ramadhan ligi zote za soka Zanzibar zinasimama? Ipo hivi; kila mwaka, kipindi cha mfungo wa Ramadhan, soka visiwani Unguja na Pemba halichezwi. Wenyewe wanasema ipo hivyo kwa sababu ya kutoa fursa kwa wanaofunga kuitumia ibada...
  2. Yesu Anakuja

    Jamaa anasema Zanzibar ilikuwa inamiliki ukanda wa Pwani

    Kuna mbuzi moja inaongea ITV sasa hivi anasema ukanda wa Pwani ilikuwa mali ya Zanzibar, bila kujua kuwa Sulatan aliuza kwa wajerumani, hadi visiwa vya Mafia vikauzwa kwa mjerumani yeye akabaki na visiwa vile wanavyomiliki sasa hivi wazenji tu. Jamaa ana sura ya kiarabu fulani hivi, kama...
  3. R

    Tunaishi kwenye nchi yenye watu 60M+ ambayo wenye uhakika wa ajira ni Rais wa JMT na Zanzibar tu

    Mfumo wetu wa ajira nchini hasa ajira rasmi upo mikononi mwa wanasiasa. Leo wanasiasa wanaweza wakaamua Nani aajiriwe kwenye sekta binafsi au sekta ya umma. Wanasiasa pia wanaweza kuamua Nani afanye business Nani asifanye business. Kwa msingi huu wapo watu wawili Tu wenye uhakika wa ajira...
  4. M

    Juma Masoud Faki nitagonbea Urais Zanzibar 2025

    Watukufu Wazanzibari Wakaazi nawatangazia peupe kuwa ifikapo 2025 insha'Allah nitagombea Urais Visiwani Kwa tiketi ya CUF insha'Allah. #2025JumaFakiAtosha
  5. Emanueli misalaba

    Ombi kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ)

    Ombi kwa serikali iwasaidie wananchi wa Fuoni meli tano sheli, shehia ya Mnarani, kuhusu nyumba namba SH. MNR. 08/101 Ni kero zaidi ya kero kwenye mtaa, wanauza pombe za bia wakiwa hawana leseni pia pombe za kienyeji aina ya gongo na bangi wakati pombe hizi ni haramu kwa mjibu wa sheria...
  6. TODAYS

    Hatimaye kile chombo chenye watalii 800+ waliokimbia kwa hofu Kenya kimewasili Zanzibar, hiki hapa

    Ijue story ilipoanzia 👇🏾. https://www.jamiiforums.com/threads/muombee-adui-yako-njaa-maandamano-yanayoendelea-kenya-yawafurusha-watalii-800-na-kukimbilia-tanzania.2081704/
  7. Logikos

    Maamuzi ya Zanzibar (1991) - Mwinyi Azimio la Arusha Halijageuzwa

    Maamuzi ya Zanzibar Mwaka 1991 Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ilikutana mjini Zanzibar na kufanya mabadiliko ya Azimio hilo. Akizungumza na wazee wa chama, viongozi wa Taifa, mashirika ya umma na watu binafsi Februari 25, 1991 jijini Dar es Salaam, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM...
  8. R

    Viongozi msipoikemea au kuishauri Zanzibar itamomonyoka na kujitangazia Uhuru wake

    Nadhani kuna ukimya umetawala Kwa Sababu Tu wanaoongoza nchi wote wanatoka sehemu moja. Nafurahi kuona upo ufanisi na mabadiliko makubwa yaliyofanywa na Marais wawili waliopo. Changamoto ninayoiona Kwa sasa Zanzibar inajiendesha kama nchi inayojitegemea ; NI Jambo zuri ila liwekwe kwenye...
  9. profesawaaganojipya

    Nikinunua gari Zanzibar

    Msaada wakuu,nataka ninunue gari used iliyosajiliwa zanzibar,ije bara,ya mwaka 2004,cc 1490,bei mil 5,,ushuru tra sh ngapi,na usafirishaji sh ngapi,mpaka naanza kutumia dar baada ya kusajili..
  10. S

    Mwana-CCM mwingine amvaa Rais Mwinyi, amshutumu kukodisha visiwa na kukosa uhalali kwakuwa hakuchaguliwa bali kateuliwa tu

    Si mwengine ni Balozi Ali Karume, mtoto wa Rais wa kwanza wa Zanzibar. Amekosoa vikali mambo yafuatayo: 1. Kukodishwa kiholela kwa visiwa tena kwa bei cheee ambayo ni dola laki moja tu kwa mwaka. 2. Kupinga uvunjwaji wa nyumba za kilimani. 3. Amemshutumu Mwinyi kukosa uzoefu wa mambo ya...
  11. DR HAYA LAND

    Zanzibar ndo Sehemu pekee nzuri hapa Tanzania

    Ukifika Zanzibar huwezi kukutana na Hawa wanawake watembea uchi Pia hata ukipoteza sm Zanzibar unaletewa Nilikaa Zanzibar Mika miwili niseme wale Jamaa wana heshima Sana na maadili Bora Sana . Niseme ntarudi Zanzibar Ramadhan kareem
  12. BigTall

    Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo"

    Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo", asema "Ni maamuzi mabovu kabisa haya" Chanzo: Jambo TV
  13. BigTall

    Wanawake Pemba wakerwa na tabia za madereva Bodaboda kuwashikashika

    Abiria Wanawake Kisiwani Pemba, wamelalamikia tabia ya baadhi ya madereva wa pikipiki ‘boda boda’ kuwaingia mwilini wakati wanapokuwepo kwenye vituo vyao, kutaka usafiri wa aina hiyo. Walisema mara unapofika kwenye eneo lao la vituo na kutaka usafiri, huvamiwa na kuanza kukukopea mizigo na...
  14. S

    Muitalia ana nyumba Zanzibar akifa ndugu zake wanaweza kurithi?

    Hamjambo? Mwanamke fulani kutoka Italy ana nyumba Zanzibar tangu zamani. Huyu mwanamke anazeeka kwa hiyo anataka kuja nyumba yake inaweza kurithiwa na jamaa zake wanaoishi Italy? Pia warithi hawa wanaweza kukataa urithi? Asanteni
  15. BARD AI

    Wafanyakazi Zanzibar waongezewa Tsh. 47,000 kima cha chini cha Mshahara

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetangaza kima cha chini cha mishahara kwa sekta binafsi, kikipanda kutoka Sh300,000 hadi kufika Sh347,000. Akitangaza viwango hivyo jana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Mudrick Ramadhan Soraga alisema viwango hivyo vitaanza kutumika Aprili...
  16. Mhafidhina07

    Zanzibar ni nzuri kwa kuisikia ila ni chafu kwa kuiona

    Kwanza salaam Unguja na Pemba ndiyo zao la nchi ya Zanzibar ila nitoe exclusion kwa Pemba sijawahi kufika ila unguja/Zanzibar imejawa kila aina ya uchafu licha kuwa watu wake asilimia 90 ni waislamu. Mifumo ya maji taka ni mibovu hakuna streets chember au mifereji ya maji taka mfano maji ya...
  17. 5523

    Zanzibar Ligi yasimama kupisha mfungo wa Ramadhan

    Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Kuu Zanzibar (@zffzanzibar), Hashim Salum ametangaza kuwa Ligi Kuu ya Zanzibar itasimama kwa muda wa mwezi mmoja kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kuanzia ulioanza leo. Ligi hiyo inatarajia kurejea Mei 6, 2023. Chanzo: East Africa TV
  18. Analogia Malenga

    Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

    TO ALL TOURISM ESTABLISHMENTS ZANZIBAR RE: THE HOLY MONTH OF RAMADHAN 2022 I have the honor to refer to the above subject. Ramadhan is one of the five pillars of Islam when Muslims are abstaining from eating from sunrise to sunset. During this month you are strongly required to observe the...
  19. BARD AI

    Idadi ya Watalii wanaoingia Zanzibar yaporomoka

    Idadi ya watalii walioingia Zanzibar imeshuka kwa asilimia 4.9 kwa mwezi Februari 2023 kutoka wageni 68,813 mwezi Januari 2023 hadi wageni 65,430 Febuari 2023, huku Bara la Ulaya likiongoza kwa uingizaji wa wageni hao. AZAM TV
  20. G-Mdadisi

    Machache kuhusu Zanzibar na historia ya biashara ya utumwa

    UKITAJA BIASHARA YA UTUMWA Duniani unaitaja Zanzibar #Unguja ambayo ndicho kilikuwa kitovu na soko kuu la Biashara hiyo ambapo watumwa walikusanywa kutoka pande mbalimbali Afrika (Kongo, Burundi, Rwanda, Tabora, nk.) kupitia Bagamoyo na kuletwa hapa kwaajili ya kuuzwa kwenda kutumikishwa. PICHA...
Back
Top Bottom