suleiman jafo

Suleiman Masoud Nchambi Suleiman (born 23 April 1979) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kishapu constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Wizara ya TAMISEMI bado inamuhitaji Suleiman Jafo

    Salaam Aleikum, Kiukweli Tamisemi siku hizi haina utendaji kazi mzuri kama enzi za Dada Ummy na Kipindi cha Jaffo. Yaani huyu waziri wa sasa ndo alitakiwa aende mazingira alafu Jaffo aje Tamisemi. Kuna namna hii support na uvumilivu anaopewa huyu wa sasa na matokeo ya ufanyaji kazi wake hayana...
  2. B

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unavyozidi kuwa wa kipekee na wa mfano wa kuigwa duniani kote

    MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UNAVYOZIDI KUWA WA KIPEKEE NA MFANO WA KUIGWA DUNIANI KOTE. Na Bwanku M Bwanku. Kila ifikapo Aprili 26 kila mwaka, Tanzania huadhimisha siku Maalum ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliounganisha Mataifa haya mawili na kuzaa Tanzania hii ya leo. Kwa...
  3. Nawatania

    Ushauri: Waziri Jafo chukua hii kupunguza uharibifu wa mazingira katika majiji yetu

    Kwanza naomba niipongeze Serikali kwa ujenzi wa miundombinu katika majiji yetu ni jambo zuri kuonyesha kodi zetu zinatumika ipasavyo, Dar es Salaam na majiji mengine imekuwepo miradi mikubwa na midogo ya ujenzi wa barabara mfano mwendokasi Dar es Salaam. Lakini miradi hii imekuwa ikiacha...
  4. Analogia Malenga

    Jafo ateua wajumbe saba kuishauri Serikali kuhusu elimu katika Muungano

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (muungano na mazingira), Seleman Jafo amewateua wajumbe saba wa kamati watakaotoa ushauri wa kitaalamu kuhusu uboreshaji wa elimu. Wajumbe hao ni Profesa Alexander Makulilo (Naibu makamu wa mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma) ambaye ni mwenyekiti, mbunge wa...
  5. luangalila

    Kongole sana kwa Waziri Suleiman Jafo (WOMRMM) kwa Kusajili mradi Kigoma

    Kama kichwa cha habari kisemavyo. Binafsi nimevutiwa sana na uchapaji kazi wako baada ya kuhamia katika wizara ya ofisi ya makamu rais muungano na mazingira ndani ya siku takriban 60-70 tangu umetua ktk wizara iyo umefanya mambo ya tofauti sana ambayo awali hayakufanyika na watangulizi wako...
  6. M

    Ushauri wa bure kwa TAMISEMI na Serikali kwa ujumla

    Baada ya Mchakato wa Ajira kukamilika na Majina kutoka Sasa kumekuwa na lawama nyingi Sana kwenda Kwa Tamisemi. Mimi nilikuwa na Ushauri Kama ufuatao.... 1. Kuna ulazima Gani wa watu kwenda Kuripoti ilhali lawama zimekuwa nyingi na Watu wamekosa Imani kabisa na Serikali yetu ya CCM Kupitia...
  7. concrete jungle

    NSSF: Kilio kilichokosa ufumbuzi. Wanyonge hunyongwa kimya kimya nchi ikijifanya haioni, sababu ni jambo linalogusa tabaka la waliotengwa na mfumo

    Habarini wakuu, Ninaandika waraka huu nikiwa na maumivu makuu moyoni juu ya mahangaiko na misukosuko tunayopitia waathirika tuliopoteza ajira zetu katika kipindi hiki kigumu na kuamua kufungua madai ili kupata stahiki zetu NSSF tukiamini ndo hazina yetu iliyosalia itakayotukwamua katika kipindi...
Back
Top Bottom