zanzibar

  1. Kaka yake shetani

    Ubaguzi uliopo visiwani kwa Wabara inatosha kuwabembeleza, hata wakiwa huku bara ni vilevile

    Hawa ndugu zetu wa visiwani washajua kuwa tunawakumbatia sana ndio maana kujishugulisha hata kielimu washaona tu mtawapa nafasi zao ajira bakini nyie wa bara someni mpaka mkome. Kama tutaendelea kuwabembeleza nao hipo siku watatueleza wazi kwamba tuachane nao. Inanishangaza kwenye nafasi za...
  2. J

    CHADEMA waelewe Katiba Mpya ni ya JMT siyo ya Tanganyika hivyo Zanzibar Wana 50% ya Maamuzi

    Tunakumbushana tu kwa sababu Watanzania Siyo Wajinga. Chadema haina nguvu yoyote Zanzibar na kwa sababu hiyo haina ushawishi. Kura ya maoni kuamua Katiba Mpya Tanzania na Zanzibar zinasimama Kwenye mzani Sawa kwa asilimia za Maamuzi. Mbwembwe zote za Tundu Antipas Lisu mwisho wake Nungwi...
  3. BIG THINKER

    Vuguvugu la Muungano taratibu linaanza kupata joto

    Niliwahi kusema Muungano wa Tanzania una makosa na mapungufu mengi kiutekelezaji tunakoenda tutake tusitake utavunjika kama hautafanyiwa mabadiliko kufatia kero za kimuungano zilizopo. Mfano; 1. Mzazibari anaweza kumiliki ardhi bara lakini mtanganyika Hilo kwa Zanzibar haliwezekani. 2...
  4. Nyendo

    Zanzibar: Midoli ya kutangazia nguo zisizo na stara yapigwa marufuku kuwekwa nje ya maduka

    Mkuu wa Wilaya ya Mjini Magharibi Unguja, Rashid Simai Msaraka amepiga marufuku, Wafanyabiashara wa Wilaya hiyo kuweka midoli yenye nguo zisizo za staha nje ya maduka yao. DC Msaraka ametoa kauli hiyo baada ya kukutana na Mfanyabiashara maeneo ya Kwahani Zanzibar akiwa ameweka midoli hiyo nje...
  5. Ojuolegbha

    Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa

    Mke wa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Bi. Zainab Shomari aliyeambatana na Ujumbe wake waliofika Ofisi za ZMBF Migombani kujitambulisha na kushirikiana katika Masuala ya Wanawake na...
  6. TODAYS

    ZANZIBAR: Hatimaye House of Wonder Imepata mkandarasi, kutoka Oman

    Hili jengo (pichani) Nyumba ya Maajabu (House of Wonder) ni sehemu ya urithi wa visiwa hivi vya Zanzibar, toka mkoloni alipong'olewa kuja mpaka miaka ya hivi karibuni jengo hilo limeingizia Zanzibar mapato mengi yatokanayo na utalii. Miaka ya hivi karibuni jengo hilo lilibomoka na kuanguka hali...
  7. Ojuolegbha

    Rais Mwinyi asisitiza uharaka wa uanzishwaji Mahakama ya Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa Mahkama maalumu ya rushwa na uhujumu uchumi itaisaidia Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umma. Aidha, Rais Dk. Mwinyi alieleza...
  8. USSR

    Rais Mwinyi asisitiza uharaka wa uanzishwaji Mahakama ya Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa Mahkama maalumu ya rushwa na uhujumu uchumi itaisaidia Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umma. Aidha, Rais Dk.Mwinyi alieleza...
  9. Fursakibao

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulikuwa ni shinikizo la Mabeberu na ndio maana Hati za Muungano wanazo wao

    Tunaambiwa kuwa Tanganyika na Zanzibar ziliungana Kwa sababu ya kuwepo Kwa mahusiano ya karibu na ya kihistoria baina ya nchi hizi mbili katika nyanja mbalimbali kama vile undugu wa damu biashara na utamaduni. Ukiangalia uhalisia haya ni matango pori Tunalishwa kwani sababu zote zilizoelezwa...
  10. Ojuolegbha

    Ikulu Zanzibar: Madaktari Bingwa kutoka China Wawasili Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujio wa madaktari bingwa kutoka China ni fursa adhimu kuimarisha sekta ya Afya Zanzibar. Dk. Mwinyi amesema timu ya madaktari bingwa kutoka China imewasili Zanzibar kuongeza nguvu katika sekta ya Afya kwa kutoa...
  11. Analogia Malenga

    Zanzibar yapiga marufuku kuuza (ku-export) mchele na sukari nje ya visiwa hivyo

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa katazo la kusafirisha bidhaa za sukari na mchele nje ya Zanzibar kwenda nchi nyingine yoyote. Taarifa hiyo rasmi ilitolewa na Ofisi ya Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda visiwani humo, Omar Said Shaaban, tarehe 30 Januari, 2023. "Kwa kutekeleza...
Back
Top Bottom