Fuatana nami kwa makini kwenye hii mada hii..!
Katika ndoto, udongo unawakilisha misingi ya maisha yako, uwezo wako wa kukua kiroho, na utayari wa kupokea mambo mapya..
Kwa kuwa udongo ndio mfumo mkuu unaotegemeza uhai duniani, kuuota kawaida huakisi hali ya akili yako, afya yako ya kiroho...