dkt. samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Nukuu: Hotuba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa kuhusu Miaka 60 ya Muungano

    Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano Hotuba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa kuhusu Miaka 60 ya Muungano. 25 Aprili, 2024. Dar es Salaam.
  2. Roving Journalist

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awapongeza Mabalozi wanaowakilisha Tanzania Nchi mbalimbali

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali Duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa kuongezeka kwa masoko ya bidhaa za Tanzania, biashara, uwekezaji, utalii na tekbolojia nchini. Rais Samia ametoa pongezi...
  3. Hamduni

    Jokate: Rais Samia kamaliza yote, deni lipo kwetu sisi kuhakikisha tunamtendea haki

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Jokate Mwegelo amesema kuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wake kwakuwa amefanya makubwa katika sekta mbalimbali za Afya, Elimu, Miundombinu, Maji...
  4. Ojuolegbha

    Waziri Mavunde aelezea mafanikio ya sekta ya madini katika miaka mitatu ya Rais Samia

    -Ukusanyaji wa Maduhuli ya Serikali Katika kipindi cha kuanzia Machi 2021 hadi Februari 2024, Wizara kupitia Tume ya Madini imeendelea kutekeleza jukumu la ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali yatokanayo ada za mwaka za leseni, ada za ukaguzi, ada za kijiolojia, mrabaha, fines, penalties and...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Norah Mzeru awataka wanawake kumuunga mkono Rais Samia

    MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Mzeru, amewataka wanawake katika maeneo mbalimbali hapa nchini kuwa mstari wa mbele kumuunga Mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Serikali yake kwa kazi kubwa anayoifanya kuleta maendeleo kwenye jamii na...
  6. Roving Journalist

    Dkt. Biteko: Dkt. Samia anakerwa na kukatika kwa Umeme, ni lazima tuzalishe umeme zaidi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali imeamua kwa dhati kuendeleza vyanzo vya umeme wa Jotoardhi ili kuhakikisha nchi inazalisha umeme wa kutosheleza mahitaji ya wananchi wake. Amesema chanzo hicho cha umeme kitaongeza nguvu katika vyanzo vilivyopo vya Maji...
  7. Stephano Mgendanyi

    Wanawake UWT tunajivunia Rais wetu Samia

    TAFAKURI KWA WANAWAKE WOTE JESHI LA DR SAMIA 📌 Dar es salaam, 📝 29/01/2024 Wanawake wa mkoa wa Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan, Mwanamama shupavu, jasiri, mstahamivu, mwenye subira, Maono na mwenye khofu ya mungu, anahakikisha haki ya mtu...
  8. Venus Star

    Muktadha wa jinsi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alivyoweza kuimarisha ustahimilivu katika demokrasia ya Tanzania hadi wakati huu

    Kulingana na hali ya kisiasa na matukio ya awali, Huu ni muktadha wa jinsi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alivyoweza kuimarisha ustahimilivu katika demokrasia ya Tanzania hadi wakati huu. 1. Mwelekeo wa Kusikiliza na Kujenga Ushirikiano • Rais Samia ameonyesha mwelekeo wa kusikiliza...
  9. Venus Star

    Tunakwenda na mtazamo na msimamo wa rais dkt. Samia suluhu hassan, katika kanuni yake ya 4R ya kuendesha mambo katika uongozi

    Nimekuwa nikitafakari sana kwa kina kuhusu 4R za Rais Dkt. Samia. Leo nimeona niwezekutoa ufafanuzi. Hebu ungana nami katika kuelewa jambao hili. Reconciliation (Maridhiano) Rais Dkt. Samia anaamini katika kujenga jamii yenye maridhiano na maelewano. Amesisitiza umuhimu wa kuwa na msimamo...
  10. Stephano Mgendanyi

    Ludewa tunasema asante Rais Samia Suluhu Hassan

    LUDEWA TUNASEMA ASANTE MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN Wilaya ya Ludewa tunamshukuru Rais wa Jamhuri wa Muugano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hasani kwa kuipatia fedha Wilaya ya Ludewa Milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa BOOST. Nimefanikiwa kukagua miradi yote ya BOOST Wilayani...
  11. Stephano Mgendanyi

    Wananchi Kata ya Makame (Jimbo la Kiteto) Wamshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Miradi Mingi ikiwemo ya Umeme

    Wananchi wa Kata ya Makame Wamemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mbalimbali mingi ya Maendeleo huku wakimuomba Mbunge wao, Mhe. Edward Ole Lekaita kumfikishia Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Salamu za Pongezi na shukurani nyingi kutoka kwa Wananchi. Mhe. Edward Ole Lekaita...
  12. H

    Rais Samia Suluhu Hassan avunja ukimya kuhusu yanayo endelea mtandaoni

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ahutubia Kamati ya Vyama vya Siasa Jijini Dar es Salaam Dar es Salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alitoa hotuba muhimu leo katika mkutano wa Kamati ya Vyama vya Siasa uliofanyika jijini Dar es Salaam. Hotuba...
  13. Meneja Wa Makampuni

    DED na DC wa Wilaya ya Mtwara Waliohamisha Mradi Hawafai Kukaa Ofisini: Rais Dkt. Samia Amechukua Hatua Sahihi kwa muda sahihi

    Nakupongeza sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanya uamuzi wa kuwatimua kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya (DED) na Mkuu wa Wilaya (DC) wa Wilaya ya Mtwara, kufuatia maamuzi yao ya kuhamisha mradi kutoka kata moja kwenda kata nyingine kutokana na...
  14. Stephano Mgendanyi

    Mhandisi Fatma Rembo - "2025 Tuna Jambo Letu Ambaye ni Dkt. Samia Suluhu Hassan na Hatuna Mwingine"

    Mjumbe wa Baraza la Jumuiya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa, Mhandisi Fatma Rembo akizungumza na Wanawake wa Mafinga Mji, Iringa amewaomba waendelee kushikamana kwani tunaelekea kwenye Uchuguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na Uchaguzi...
  15. Stephano Mgendanyi

    Wilaya ya Ludewa Tunasema Asante Sana Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    LUDEWA TUNASEMA ASANTE MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Wilaya ya Ludewa tunamshukuru Rais wa Jamhuri wa Muugano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hasani kwa kuipatia fedha Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa Boost katika kipindi cha mwaka wa fedha...
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Dkt. Samia: Kinachotokea bandarini nitakisomea Ikulu

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo June 09,2023 amefungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Biashara (TNBC), Ikulu Dar es salaam ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba kazi kubwa inaendelea kufanyika ya kuboresha mifumo ya TEHAMA kwenye Sekta za Umma ili...
  17. K

    Shule ya Dkt. Samia Suluhu Hassan visiwani Zanzibar

    Ikiwa leo ni maadhimisho ya miaka 59 muungano wa Tanganyika na Zanzibar, tunatambua kazi kubwa inayofanywa na viongozi wetu Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu na Rais Dkt. Hussein Mwinyi katika kuleta maendeleo ya Tanzania. Tanzania ilipata mkopo wa ahueni ya UVIKO-19 na maelekezo ya Rais Samia ni...
  18. N

    Rais Samia tafadhali soma hapa na ujumbe ukufikie

    Mh. Rais Dkt. Samia, Kwanza naomba unisamehe kwa lugha ngumu nitakayoitumia hapa ili kukufikishia ujumbe huu kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania. Nikurejeshe siku uliokula kiapo pale Ikulu ya Dar es Salaam, ukiwa kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania uliapa kuilinda nchi hii...
Back
Top Bottom