sikukuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyani Ngabu

    Ni lini sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa maonyesho ya kijeshi?

    Wajuzi na wajuvi, ni lini hizi sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa fursa ya wanajeshi kufanya maonyesho ya kazi zao? Maana sikumbuki kabisa kuona mambo kama haya miaka ya nyuma enzi za Mkapa, Mwinyi, na kwa kiasi hata Nyerere. Pengine labda nimesahau. Kama ni...
  2. mraniwene

    KERO Website ya ORS BRELA kila siku nikiingia haifanyi kazi

    Habari wadau, naona website ya ORS BRELA, kila siku nikiingia haifanyi kazi, mara inachelewa kufunguka. Je, inazidiwa matumizi au wadau wanafaidika kwa kufanya hivi? bado sijaelewa kabisa.
  3. M

    Bajeti yako ya sikukuu jana ilikuaje, umetumia kiasi gani kusherehekea ?

    Mm Mjanja M1 bajeti yangu ilikuwa ni nauli tu za kunifikisha kwenye majumba ya watu kuupiga Ubweche, maana nimezipitia nyumba kama 5 ivi kwa haraka haraka kuupiga kwenye sikukuu ya jana. Nilitumia Buku tu, 1000/= Vipi wewe bajeti yako ilikuwaje.?
  4. Erythrocyte

    Freeman Mbowe awatakia Waislam wote Heri ya Sikukuu ya Eid el Fitri

    Mwenyekiti wa Chadema Mwamba kabisa , Freeman Mbowe , ambaye huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu za heri ya Eid El Fitri kwa Waislam wote Nchini na kote Duniani . Hii hapa ndio Taarifa yake
  5. Niache Nteseke

    Nigeria leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr?

    Salaam wakuu. Nimeshangaa leo kuna mtu amewasiliana na jamaa yake aliyeko Nigeria na kumwambia kuwa The Federal Government imetangaza rasmi kuwa leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr. Tunajua kuwa kwa kawaida hapa nchini kuna watu huwa wanaswali Eid pindi tu mwezi utakapoandama popote pale...
  6. Tlaatlaah

    Heri ya Sikukuu ya Pasaka mwanafamilia wa JF

    licha ya kuchelewa kutoa salamu zangu za pasaka kwako na kwa familia yako, nadhani bado ni muhimu sana walau kusema tu heri ya sikukuu ya pasaka mwanafamilia wa JF🌹 ukiachana huzuni na majonzi kwa matokeo ya vitu vingine tangu Ijumaa pale lupaso, nimewiwa kutoa rai binafsi kwako, ya kuwa...
  7. P

    Waziri Silaa awaomba Walutheri kutumia Sikukuu ya Pasaka kumwombea Rais Samia

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewataka waumini wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT) kuhakikisha wanamuombea Rais Samia katika kazi yake ya kuliongoza taifa. Silaa ameyasema hayo leo Jumapili, Machi 31, 2024 alipofungua harambee ya kuchangia upanuzi...
  8. Pascal Mayalla

    Je Wajua, Japo Christmas Ina Sheherekewa kwa Sharmashamra Sana, Pasaka Ndio Sikukuu Kuu ya Wakristu Kwasababu ya Fumbo la Paska. Happy Easter!.

    Wanabodi Japo Sikukuu ya Christmas inasherekewa kwa shamra shamra sana, wengi wakidhani ndio sikukuu kubwa ya Wakristo, ukweli ni kuwa Pasaka ndio sikukuu kubwa ya Wakristo kutokana na fumbo la Paska, hakuna mtu yoyote aliyemshuhudia Yesu Kristo akifufuka, na baada ya kufufuka alikaa duniani...
  9. R

    Je, Wakristo wataruhusiwa kusherekea Sikukuu ya Pasaka Jumapili huko Zanzibar? Je, endapo watasherehekea watakamatwa kwa kula mchana?

    Kuna msuguano wa fikra mitandaoni kuhusu Katazo la kula mchana adharani huko Zanzibar kipindi hiki cha Mfungo. Lakini kwa wenzetu wakristo jumapili ni Sikukuu ya Pasaka na naamini Zanzibar kuna wakristo wengi ambao wanajiandaa kusherekea Sikukuu hiyo. Je, Katazo la kula adharani linawahusu...
  10. Toto mol

    Kula vyuma hivyo usherekee sikukuu vizuri

    Ukipata ukifanikiwa usisite kunibless ata ya soda basi dah! Wana mna roho ngumu haki ya nani! 😂👇👇
  11. greater than

    Wapi utaenda kufurahia sikukuu?

    Wengi wetu tunakaribia kusherekea sikukuu za Pasaka na Eid el Fitr. Mimi binafsi nitaenda kufurahia sikuukuu yangu katika hiyo Coco Beach Je, nawe utaenda wapi?
  12. MIXOLOGIST

    Umejipangaje kuisherekea sikukuu pendwa ya valentine's day 2024

    Waslaam wana JF Kwa wale wazeee wa ma-lovey dovey dovey hii ni sikukuu pendwa sana kwenu Binafsi, ninafikiria kwenda kusherekea na watoto yatima, nataka nitoe sadaka ya vitu mbali mbali kwa watoto yatima ili upendo wa Mungu uendelee kuwa nao Asanteni
  13. R

    Kwanini tunasoma? Kwanini tunajikweza kwenye madaraka? Ona sasa Ndugai, Bashiru na Kabudi hata sikukuu za mwaka mpya hawaonekani

    Hawa niliowataja ni baadhi ya watanzania waliosoma kwa tabu, wakafanya kazi za umma kwa tabu kisha wakateuliwa kukaa mezani na mfalme Wakiwa wanahudumu kwa mfalme wakadhani mfalme ndo kila kitu; wakatamka adharani kuwadharau watu kwa umaskini wao wa maarifa au uchumi. Wanaamini maisha siyo...
  14. M

    Krismasi na mwaka mpya ndio kipindi cha wake za watu kwenda kunyanduliwa na ma ex zao kwa kisingizio cha kula sikukuu

    Utasikia goma langu lililoolewa Dar, Mza au Dom limekuja kula sikukuu. Lilivyoniona tu likatabasamu na kug'ata kidole. Mara jamaa yangu nae kalipanga goma lake. Mara kuna goma langu nimeliinamisha fasta jana. Limekuja kula sikukuu ila limeolewa mjini. Ndo ilishabaki ishara ya heshima tu.
  15. B

    TANESCO na umeme wenye kujua sikukuu

    Huu umeme wa TANESCO kumbe unazitambua sikukuu? Kwamba huwepo kwenye sikukuu na kuwa zikiisha tu, ile kazi pendwa ya awamu #6 inaendelea! Bila shaka hapa tulipo sasa itakuwa bila bila, hadi mwaka mpya. Ipo haja ya kuingia chimboni kutafuta namna ya kutunza umeme kwa matumizi ya baadaye pindi...
  16. M

    Umepanga kuwapa zawadi gani Wazazi/Walezi wako msimu huu wa sikukuu?

    Habari zenu Wakuu, Wakati wengine wakijiandaa kuwapa zawadi Wapenzi wao sio vibaya nasisi tukawakumbuka waliotulea Wazazi/Walezi kwenye msimu huu wa SIKUKUU. Mimi Mjanja M1 nimechagua kuwapa Wazazi/Walezi wangu zawadi ya kukaa nao SIKUKUU nzima pamoja na kuwapa zawadi nyengine nyingi...
  17. Minjingu Jingu

    Hotel/Lodge Bagamoyo msimu huu wa Sikukuu chini ya 100,000 kwa siku

    Nahitaji iwe na options ya vitanda double, iwe ufukweni au isiwe mbali na ufukwe. Iwe sehemu tulivu ya kuvutia. Gharama yake isizidi tsh 100,000. Maana sisi wengine si matajiri, ninataka kukaa hapo siku 7 tu nipumzike na mke na watoto wa 4. Naombeni msaada wenu.
  18. Yoyo Zhou

    Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina kuwa sikukuu ya kimataifa

    Mkutano wa 78 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hivi karibuni umepitisha kwa kauli moja azimio la kuweka Mwaka Mpya wa Jadi wa China kuwa sikukuu ya Umoja huo. Kwa miaka mingi, Katibu Mkuu wa Umoja huo ametoa salamu za pongezi kila Wachina wanaposherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China, na...
  19. K

    Wafungwa wa Gereza la Kyela washerekea Sikukuu kwa kupewa msaada na Wadau

    Taasisi ya Vanessa Foundation imetoa msaada wa hali na mali kwa wafungwa wa Gereza la Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya, wakati wa Sikukuu ya Krismasi ikiwa ni sehemu ya kusherehekea nao pamoja na kuisaidia Serikali jukumu la kuhudumia wafungwa hao. Akizungumza wakati akikabidhi msaada huo...
Back
Top Bottom