Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
asilimia
hata
hizi
huzuni
ila
katika
kushiriki
kuvumilia
kwenda
marekebisho
maswali
mpya
mwelekeo
nchi
shaka
sifa
suala
teuzi
udini
upendo
usawa
uwakilishi
uwiano
waislam
waislamu
wakristo
wananchi
wengi
wote
zaidi ya
Mahakamani ulikuwa uwanja wa hudhuni sana watu wamelia kwa uchungu sana hata Katibu mkuu John Mnyika ametokwa na machozi hasa pale Tundu Lissu aliposema kama mnanifanyia hivi Mimi mjuzi wa Sheria mmeniweka Gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo.
Vipi kuhusu watanzania wasiojua Sheria 😭
Vipi...
Kila mmoja wetu hupitia nyakati ngumu. Wapo wanaopoteza wapendwa wao, hukatishwa tamaa, husalitiwa, hukosa kazi, hupitia matatizo ya kifamilia au ya kifedha. Wakati huo, kila mtu hutafuta njia yake ya kupata utulivu.
Wengine husali na kumtegemea Mungu. Wengine husoma vitabu, husikiliza muziki...
MAANDIKO YANASEMA...TUTAWAGUNDUA KWA VINYWA NA MATENDO YAO.
Natamani iwe kama Usajili ili tusajili Wabunge hawa wawe ndani ya Bunge letu na taasisi zenye dhamana ya kulinda Utu na Uhai wetu. Taifa letu lilisifika kama nchi ya Mstari wa Mbele katika ukombozi wa Afrika tukihubiri haki na uhuru wa...
Binti mrembo nchini mwenye uzuri wa aina yake wa sura na umbo which make heads turn and pulses racing Valentina Gabriel almaarufu Vale Nafaka kaumia mguu wa kushoto na anatembea kwa kuchechemea.
Alionekana kwenye Video kwenye ukurasa wake wa Instagram mguu wake wa kushoto umefungwa bendej na...
Nimelazimika kuandika hapa huku nikiwa na huzuni sana kwa kuwa tumevumilia lakini tunaona uvumilivu unaelekea ukingoni.
Ni Miezi mitano sasa toka Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Afanye uteuzi wa Naibu Gavana Anayeshughulikia Utawala, Dkt. Rahma Salim Mahfoudh.
Dkt. Rahma, sisi tuna madeni...
Anonymous
Thread
akaunti
b.o.t
bot
file
gavana
huzuni
kuandika
miezi
sana
siku
utawala
Huyu ni mama huko mkoani Kagera, anaeleza kwa huzuni mauaji aliyoshuhudia huko mtaani kwao. Anasema kuwa mtaani kwao pekee alishuhudia watu watano wakiuawa, tena watu wasio na hatia. Je hali ilikuwaje nchi nzima?.
Msikilize wewe mwenyewe.
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
Pole kwa watanzania wenzangu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki katika kipindi hiki kigumu.
Ni huzuni, huzuni, huzuni ilioje vilio na simanzi. Mambo hayaendi sawa hata mbususu haziliki na zikilika, zinalika kinyonge. Kwanza nguvu ya kula chakula cha usiku...
Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira, huzuni na mshangao kwa madai ya kuwa Ibada ile ilijaa mahubiri yanayokinzana na kanuni za Kiislamu ikiwemo Haki pamoja na kuingiza Siasa na Maslahi ndani ya...
Watanzania, na hasa Wataganyika, wanapitia kipindi kigumu sana, kipindi cha huzuni na mateso, kuliko wakati wowote wa uhai wa Taifa lao.
1. Mtanzania mwenzao anayeaminika sana kwa ukweli, utetezi wa haki, na uzalendo usio na shaka kwa Taifa lake, amewekwa gerezani kwa uonevu mkubwa, na kisha...
Mara nyingi huwa naishia tu kuziangalia karibia lisaa tu nikitafakari sana 😢. Zinanipa hali fulani ya huzuni sio huzuni na sijawahi elewa ni kwa nini. Hata movies za Charlie chaplin hususani ile amecheza na kijana mdogo hivi ya black and white zinanipa huzuni sana.
Ndugu zangu watanzania
Nabubujikwa na machozi ya huzuni Leo hii ndugu yenu ukweli nimepambania saccos yetu kwa nguvu kubwa kuipamba kuwa saccos yetu ni nzuri na Haina ubadhirifu wala wizi wa Amana za wanachama.
Ndugu zangu saccos yetu imekuwa ikipata fedha ya ufadhiri kwa ajili ya kujiendesha...
Kuna dogo wa mtaani hapa alienda south Africa kutafuta maisha mwezi wa 1 mwaka huu Kwa jinsi navyomjua dogo hakusoma na Wala Hana kipaji ila ni msela tu mtaani alikua na miaka 27 kapigwa risasi jioni ya Leo tumepata taarifa sijui tatizo ni Nini huko south Africa maana matukio yamezidi sana...
Hivi ndio vililuwa vichwa vya habari kila kukicha kulipotokea tofauti CHADEMA, yaani cha kushagaza mpaka magezeti yakawa ya kishabiki maandazi, kuchochea makaa.
Sasa mpira umegeuka bana🤣🤣🤣 mpasuko umehamia sebuleni kwa baba aaah nimesahau kwa mama😆😆😆.
Ukitaka kujua unafiki ni mwingi mashabiki...
Inasikitisha sana wakuu.
Yaan pale unaona mwanaume amekua zoba kwa dem ambae ni malaya grade A. Dem ameshaliwa mikao na matundu yote kisha anatokea boya mmoja mwenye ushamba wa madem eti anaweka ndani.
Kwanza unatuchukulia malaya wetu tulozoea kumpiga mitungo na kujilia tunavyotaka.
Hii tabia...
Katika utulivu wa usiku, peke yako, kabla hujalala, kuna sauti ile ya ndani inayokuuliza:
“Ningekuwa nani kama singezaliwa hivi nilivyo?”
Sauti hii haijibu kwa haraka, haipigi kelele, lakini huacha mdundo fulani moyoni—wa tafakuri, wa uchungu, wa kukiri kimya kuwa maisha hayakuwahi kuwa meza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.