Wapi utaenda kufurahia sikukuu?

greater than

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
807
1,260
Wengi wetu tunakaribia kusherekea sikukuu za Pasaka na Eid el Fitr.

Mimi binafsi nitaenda kufurahia sikuukuu yangu katika hiyo Coco Beach

Je, nawe utaenda wapi?

images-72.jpeg
images-73.jpeg
 
Attachments

  • images-74.jpeg
    images-74.jpeg
    70.7 KB · Views: 3
Watu wapo busy na sikukuu mimi sina hata habari

Watu vitu wanavyovichulia kwa umaana mkubwa mimi huwa nachukulia simple sana

Sijui hata kwa nini lakini huwa nahisi kuwa na amani nikiwa peke yangu sehemu tulivu(ghetto)

Nikijichanganya na watu huwa sina amani na furaha
 
Wengi wetu tunakaribia kusherekea sikukuu za Pasaka na Eid el Fitr.

Mimi binafsi nitaenda kufurahia sikuukuu yangu katika hiyo Coco Beach

Je, nawe utaenda wapi?

Baada ya kutoka ibadani,
nitakua apo nyumbani pamoja na familia, tukila na kunywa pamoja na ndugu, jamaa na marafiki watakao wiwa na kupata nafasi ya kuungana nami nyumbani pangu🐒

aidha,
nawatakia sherehe njema ya amani, utulivu na furaha tele, ndugu, jamaa na marafiki wote mnaosherehekea siku kuu hii muhimu sana, kwa namna na mitindo mbalimbali 🐒

Mungu wa Neema na Baraka awasimamie.
Aimen.

Nawatakia nyote sherehe njema sana ya pasaka 2024🌹
 
Una Sadness Ni Mbaya ila ni Nzuri kiasi chake
nahisi hasara zake ni nyingi sana kuliko faida zake

Maana mtu akinitembelea naona kama ananinyima amani

Watu wanapendelea kutembelewa na wageni mimi sitaki

Naweza nikamtongoza msichana leo baada ya siku mbili nikajikuta namchukia tu baada ya hapo nafuta namba na mazoea nae nakuwa sitaki kabisa

NI MATESO
 
Watu wapo busy na sikukuu mimi sina hata habari

Watu vitu wanavyovichulia kwa umaana mkubwa mimi huwa nachukulia simple sana

Sijui hata kwa nini lakini huwa nahisi kuwa na amani nikiwa peke yangu sehemu tulivu(ghetto)

Nikijichanganya na watu huwa sina amani na furaha
Wewe Sasa ni Msela Wa ghetto na Wala si Kitaa and vice versa
 
Back
Top Bottom