LEO SIKUKUU YA MASHUJAA: MTWA ABDALLAH MKWAWA WA KALENGA (1855 - 1898)
Makala hiyo hapo chini ni nyongeza ya makala fupi ilyoandikwa na kijana mmoja kumuadhimisha Mtwa Mkwawa.
Makala hii ndiyo iliyonishawishi kunyanyua kalamu:
Bismillah...
Naomba niongeze taarifa kidogo katika historia ya...
Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Shaaban Ali Othman kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Taufiq Turky pamoja na Madiwani wametoa sadaka ya sikukuu kwa wazee, watu wenye ulemavu na wanaoishi katika mazingira magumu ikiwa na lengo la kuwasaidia kipindi hiki cha sikukuu...
Kazi hata kama unalipwa kidogo, ndio inayokuingizia kipato. Sikukuu ya meimosi ulipaswa kutumia kama fursa ya kumshukuru Mungu KWA kukupatia Kazi ambazo wenzako wanazutafuta Hadi damu.
Sikukuu za Dini ilitakiwa watu wale kidogo tu na watumie muda mwingi kutubu na kitafakari. Ila hii ni...
Kweli CCM Wamechanganyikiwa.
1. Tundu.Lissu yuko Mahubusu.kqa kesi za uongo aliteswa kwa kupigwa risasi 16
2.Charles Kitima Kashambuliwa hali ni mbaya.
Wote hawa ni watoto Wa singida halafu CCM inapeleka sherehe huko ama kweli ujinga ni kipaji.
Mpaka.Uchaguzi mkuu ufike Tutashuhudia Mengi.
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo ambayo ni Sikukuu ya Pasaka.
Pasaka ni sikukuu ya ukombozi na ushindi dhidi ya dhambi zozote ikiwemo dhambi ya dhulma ya uchaguzi, Je tuitumie Pasaka hii kuombea uchaguzi wetu uwe uchaguzi huru kweli na wa haki kweli, au...
Misimamo wa Wasabato imekuwa ya utofauti kwa kiasi kikubwa kulingana na Wakristo wengine.
Vp kuhusu hizi siku kuu mbili wanaendana nazo? Na kama haziko katika mifumo yao, je kwao tarehe sahihi za Yesu kuzaliwa na Yeu kufufuka?
Mandhari ya kidini Nchini Tanzania inatawaliwa na Ukristo (takriban 55-63% ya idadi ya watu) na Uislamu (31-34%), huku vikundi vidogo vikifuata Dini za jadi za Kiafrika (1-11%), na dini nyingine kama Uhindu, Ubuddha, Usikh, na Baha’i (chini ya 1% kila moja). Zanzibar ni tofauti, ambapo 99% ya...
Mwaka 2023 uko Zanzibar Mh Rais alitoa agizo mishahara ilipwe kuanzia April 14 Ili sikuu ya Eid watu wawe na pesa na kuweza furahia sikuu kwani sikuu ilikuwa April 21, 2023 na ikawezekana wakalipwa
Je mwaka huu pasaka inadondokea tarehe 20 je wamelipwa
China ni nchi yenye historia ndefu sana pia ikiwa imesheheni utamaduni wa aina mbalimbali. Sikukuu zote za jadi zinazofanyika huwa zinaakisi mila na desturi zake nyingi. Kwa wageni wanaoishi China kama mimi ama hata watalii wanaokuja kutoka nje, kusherehekea sikukuu hizi za jadi za China huwa ni...
Kwa unyenyekevu na matumaini wanazuoni wenzangu, heshima sana kwenu...............
Sherehe za Pasaka zinatufundisha kila mwaka kuhusu maadili ya kujitolea, ukweli, na dhamira. Pasaka ilitokea baada ya Yuda kumsaliti Yesu kwa fedha za dhihaka, lakini pasaka sio tu kumbukumbu ya tukio la...
Wiki hii kote ulimwenguni Wakristo watasherehekea Pasaka. Pasaka ni sikukuu kubwa kwa Wakristo kwa sababu ni siku ya kuadhimisha tukio muhimu sana katika imani ya Kikristo — kufufuka kwa Yesu Kristo kutoka kwa wafu. Bila Pasaka, hakuna Ukristo. Ndiyo sababu Wakristo huiona Pasaka kuwa ni siku...
China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua hilo la bandia huchomoza wakati wa machweo na kuzama wakati wa mapambazuko.
Kupitia jua hili bandia...
Kutokana na kwamba sasa hivi tunaendelea kuwa na wingi wa Marais waliotumikia nchi yetu na wengine kufariki wakiwa madarakani, nadhani imefika wakati sasa tuwe na siku maalumu ya President's Day.
Siku hiyo tutaitumia kuwaenzi na kuyatafakari yale mazuri na yale tuliyojifunza kutoka kwa kila...
Heri ya sikukuu ya Idd, ila kuna vimbwanga mitaani hasa tunaishi wilaya ya Temeke. Watu wanazulula mtaani na watoto Hadi usiku kupiga picha na Bar zimejaa watu wakorofi kidogo Tu wanarusha chupa.
Sare za vijora vimejaa mtaani. Magari yamejaa kelele tupu wanaenda beach. Nashangaa Sana.
Wakina Baba na mama ,kaka na dada pamoja na watoto wakiwepo ndugu na jamaa hujumuika katika sikukuu mbalimbali za kidini ( ukristo na uislamu) kama desturi zao za kusherekea kila mwaka.
Chakusikitisha 😮💨 hizi sikuu zimekuwa ni chanzo cha maovu meeeengii........ngingingi
Yaani chukulia mtu...
Mdhamini na Mfadhili wa Yanga SC Ghalib Said Mohamed leo amekutana na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Salim Abdallah Muhene Try Again katika Ibada ya Sikukuu ya Eid Fitr.
GSM na Try wamekutana katika Msikiti wa Oysterbay na kusalimiana kwa kukumbatiana licha ya kuwa kuna mvutano...
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuandama kwa mwezi leo Jumapili Machi 30, 2025 hivyo swala ya Idd El Fitri itafanyika kesho Machi 31, 2025.
Taarifa iliyotolewa na Bakwata katika mitandao ya kijamii leo Machi 31, 2025
imeeleza:
"Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.