zawadi

  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Aise ; zawadi kwa ajili ya waumini na mashahidi peponi.

    Mabinti au maswahaba safi waliolindwa ndani ya mahema au mboga wenye umri sawa na walioumbwa upya na bikra zao. Patamu hapo kila shahidi atajinyakulia mabinti vigori bila kujali idadi Vinywaji vya peponi mvinyo isiyolewesha na kukufanya upoteze fahamu. Hakika waisalamu mtainjoi sana huko akhera😁
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Zawadi kwa Diamond na Zuchu ni utakatishaji fedha. Serikali ipo kimya

    Tungekuwa na Taasisi imara za kupambana na Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha, basi Diamond na Mke wake wangekuwa washahojiwa. Japo waelezee waloleta hela wana uhusiano gani. Wasanii wa bongo wanashiriki kutakatisha fedha.. Kwenye Kitchen party, Harusi(zinazovunjika baada miezi kadhaa)...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto Wa Zushu Na Diamond Anakaribia Kufikisha Billion Moja Alizopewa Kama Zawadi Ndani ya Wiki Moja Wakati CHADEMA Wanaelekea Kukata Tamaa Kukimbia

    Ndugu zangu Watanzania, Dunia Ina vituko kwelikweli, watu wakikuchoka wanakuchoka kwelikweli. Watu wakikukataa wanakukataa kwelikweli. CHADEMA Imechokwaa ni haija pata kutokea kwa chama cha siasa kuchokwa namna hiyo. Yaani Ni aibu aibu aibu na Fedheha kubwa sana . CHADEMA Wameomba Michango na...
  4. prida

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA AJIRA; zawadi na baraka imng'arishayo mwanamke

    Wasukuma tunasema; MWAMPA(mwamba) huyu hapa.!!! Maashiiine!!!😅 Kwa vile mwanangu anarusha sana mateke leo huko tumboni hence moyo kunienda mbio nitaandika kwa kifupi sana ujumbe huu ambao roho wa bwana AMENIHUIA kuufikisha kwenu wanawake wenzangu wa jamii forums. Ladies and gentlewomen, I...
  5. Eunice selin

    JamiiForums Tanzania Heshima ni bora kuliko zawadi. Mtu anaweza kukununulia kila kitu, lakini akikudhalilisha hadharani, amekupokonya thamani yako.

    Heshima ni zawadi kubwa kuliko vitu vyote vya thamani. Mtu anaweza kukununulia kila unachotamani, lakini akakudhalilisha mbele za watu, amepunguza thamani ya zawadi zake. Zawadi huisha, lakini heshima ndiyo msingi wa upendo wa kweli.
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Wadada leo ni Girlfriends Day. Umeletewa zawadi?

    Ndo nimetoka kumtuma boda ampelekee shangazi yenu vizawadi vidogo muda huu kuadhimisha siku hii Wadada wa humu mshapokea zawadi? 👀 Au ndo kila kitu kheri? Natamani nione mchango wa Binti wa zamani hapa 😁
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto Wa GSM Wa Katoro Alipata Zaidi Ya Billion 1.4 Ndani ya Muda Mfupi Kama Zawadi kwenye Send off Yake Lakini CHADEMA wanahenyeka hadi leo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika CHADEMA Imechokwa na watanzania,Imekatalika kwa watu,Imepuuzwa na wananchi ,Imesuswa na wote wenye akili Timamu na wenye kujitambua . CHADEMA Imepoteza Ushawishi kwa Makundi yote . Hakuna kundi wala rika wala Eneo utasema ndiko CHADEMA inakubalika ama ngome...
  8. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Chenchi tu iliyobaki kwenye kamati ni thamani ya gorofa la mwijaku analosumbua nalo watu umejifunza nini

    Tulieni watu watu wana pesa acheni na wapo maporini uko wametulia Tanzania ya leo siyo ile ya kuamini wenye nacho wapo mjini tu vijana kaeni mashambani kwenu uko mtengeneze pesa si kukimbilia mjini kuzunguka na reso na visu ukiamini utatoboa
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ukipokea zawadi unatakiwa kuilipia kodi?

    Hivi unakatwa kodi kwenye zawadi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zawadi Kombe la Dunia la 2026 ni dola milioni 871 za Marekani, ambayo ni kubwa zaidi katika historia ya soka

  11. M

    JamiiForums Tanzania Mshindi anapata zawadi ya milioni 500

    Ndugu zangu wa jamiiforum nimeona nisiwaache bila kuwapatia zawadi nzuri member wa jamiiforum na Leo nahitaji mwenye wazo zuri la biashara atoe hapa jukwaani atumbie nikimpa milioni 500 atafanya uwekezaji gani na kwa muda gani ataweza ku double mtaji. Mshindi atakayekuja na wazo zuri...
  12. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Umekuja na zawadi ya kipekee Duniani itoe acha kufuata mtiririko; Hauwezi kumfurahisha kila mtu

    Uwepo wa mtu yeyote Duniani ni uwepo wa zawadi awe anajua au hajui. Uumbaji umeweka zawadi ndani ya kila kitu kwa ajili ya kila kitu. Zawadi uliyokuja nayo siyo kwa ajili yako ila ni kwa ajili ya Jamii. Mti wa muembe zawadi unayoitoa ni maembe ila wenyewe hauli maembe. Zawadi uliyokuja nayo ni...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nacheka ninapofuatilia ziara za Mwigulu Nchemba (PM), suala la mbuzi wa zawadi kupotea nalo litampa kick?

    Madelu hana ujanja wa kutengeneza mazingira au maigizo ili aonekane kama anakubalika. Kwa mantiki hii nakubaliana nae kuwa ukiacha mechi ya dabi ya simba na Yanga kinachofuata kufatiliwa ni ziara zake hii ni kwa sababu ni Comedy mwanzao mwisho.
  14. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Magaidi Jama’at Nusrat al-Islam wal Muslimin wenye uhusiano na Al- Qaeda, wametangaza zawadi ya mabilioni kwa atakae toa taarifa ya alipo rais wa Mali

    Taarifa ya kundi hilo la kigaidi la JNIM limekuja siku moja tu, baada ya serikali ya Mali, kutangaza zawadi ya mamilioni ya pesa kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu watu walioishambulia serikali, miundombinu na raia. Kobaz once again...
  15. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea huyu kijana ataitwa bungeni kupewa zawadi, ila wachezaji wa mpira wanapishana huko bungeni

    Kijana Wa Kitanzania Aibuka Mshindi Mashindano Ya Nyuklia Kimataifa Kijana mtaalamu kutoka Tanzania, Japhet Matekere, amechaguliwa kuwa mmoja wa washindi wa mashindano ya video ya kimataifa ya “Atoms Empowering Africa 2026”. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya nishati ya nyuklia ya...
  16. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Naomba nikupe zawadi

    Dada mmoja,nilimsaidia shida yake kubwa sana,ambayo hata hapa natetemeka kuiweka,ndipo aliponitizama usoni na kuniambia,naomba nikupe zawadi Nilimtizama usoni,nikamjibu asante. Nikasimama nikaondoka.Hiyo ni miaka 30 iliyopita.Leo nikiwa rockcity nimepumzika baada ya kufanya manunuzi,nasubiri...
  17. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Unaikumbuka zawadi ya kwanza uliowahi kumpa/kupewa na mpenzi wako wa kwanza?

  18. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Kumshukuru Mungu kwa zawadi ya "Uhai" Hakuzuii kifo. Ushukuru, Usishukuru, kufa kupo palepale

    Hakuna Mungu wa kuzuia wewe usife kwa kuwa unamshukuru kwa uhai! Hakuna Mungu wa kukulinda, kwa vile eti unamshukuru kwa uhai! Utakuta watu wanajipa matumaini uchwara ya kijinga, Eti..... "Ukiamka salama asubuhi, shukuru Mungu" "Ukienda kazini na kurudi nyumbani salama, Shukuru Mungu"...
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Zawadi Tatu (3) za Muhimu kumpatia Mama aliyetoka kujifungua!

    Kwa wale wanaoenda kumuona mama wa mtoto (especially mtoto wake wa kwanza), kama utahitaji idea ya zawadi me nnazo tatu hapa, za muhimu sana. 1. Nursing Pillow: Huu ni mto wa kunyonyeshea, anaanza kuutumia tokea day 1, aisee utamsaidia sana. 2. Kagodoro kenye neti yake, haina hajanya maelezo...
  20. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Iko wapi zawadi kutoka mwezini tulipewa na rais Richard Nixon

    Baada ya misheni ya kwanza ya Apollo 11 kufanikiwa, Rais Richard Nixon alituma zawadi kwa mataifa 135 duniani, ikiwemo Tanzania. Zawadi hii ilijumuisha: Chembe nne ndogo za mchanga wa mwezi (zenye ukubwa wa punje za mchele) zilizowekwa ndani ya tufe la plastiki, Bendera ndogo ya Tanzania ambayo...
Back
Top Bottom