Heri ya sikukuu ya mwakampya kwa wakristo wote
Waislamu wengi husherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Kidunia (Januari 1), ingawa sherehe hii si ya kidini kwao. Kwa Waislamu, mwaka mpya huadhimishwa kulingana na kalenda ya Kiislamu (Hijria), ambapo mwaka mpya wa Kiislamu huangukia katika mwezi wa...
HESHIMA kwako RTO wangu
Nianze kukutakia hero ya MWAKA mpya na kikosi kizima cha barabaran
Nisichukue mdawako sana naomba mh traffick wasilale mpaka saa saba wawe barabaran
KUNA matukio siku ya leoo MKIWEZA kuthibiti HATA ajali zitapungua keshoooo
Mungu awabariki
Magonjwa Yasiyoambukiza (NCDs) na Msimu wa Sikukuu
Vidokezo vya Ulaji Bora.
Utangulizi
Tunaelewa kuwa msimu wa sikukuu unaweza kuwa changamoto kwa wale wanaoshughulikia magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama vile kisukari, magonjwa ya moyo, au shinikizo la damu. Vyakula vya sherehe mara nyingi...
Wadau mitandao ya Airtel na Voda ina sumbua wateja sababu haiwezi kupokea pesa kutika Bank nk au kutuma pesa
Matokeo yake wananchi wanakula sikukuu kwa shida. TCRA piga fain au fungueni Hawa jamaa kwa siku tatu Hadi waingeze ubora na umakini.
Vitendo wanavyofanya wanmzarau Rais Samia?.Mbona...
Heri ya Christmas na Mwaka Mpya.
Wataalamu, naombeni ushauri namna ya kujaza njia ya malipo kwa ajili ya wateja Fiverr kwa Tanzania.
Maana kuna gig nilipost juzi na nikaanza kupata maoni ya wateja wakitaka kuweka oda, sasa mmoja alisema njia ya malipo sijaweka, na mwingine alisema alihitajika...
Maandalizi ya kuufanya mwezi January kuwa mwezi dume, yanafanyika msimu huu wa sikukuu. Watu wanaponda mali kana kwamba wanakufa kesho ama wameagana kabisa na shida za dunia.
January inapofika inawakuta watu hao wako hoi bin taabani kiuchumi. Wataanza kuhaha kuuza hata kile kidogo...
Niko hapa nina mialiko minne ya sikukuu na bado sijarudi mkoani kwa mama yoyoo. Sitaki kuwakera maboss zangu walionialika kwa hio nimejigawa, jana usiku nimekesha kwa mmojawapo. Leo saa nne nmeenda kula supu ya jogoo shababi kwenye mwaliko wa pili, hapa naelekea kwenye mualiko wa tatu nikaguse...
Ilikuwa ni kama utamaduni wa jumba jeupe kufanya hivyo kwa mahospitali, vituo via yatima au wazee.
Labda mnikulu yuko bize, amesahau kufanya hivyo krismas hii
Hii sasa ni balaa!
Mkate umekuwa dili huko Kilimanjaro
=================
Kufuatia wingi wa watu waliokuja kusherehekea sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya mkoani Kilimanjaro, bidhaa aina ya mkate imeadimika katika maduka makubwa (supermarkets) mjini Moshi na kusababisha adha kwa watumiaji wa...
Sikukuu hii imekuwepo kabla ya kuhusishwa na Ukristo. Inasemekana ili ukristo ujivunie waumini ilibidi waiingize kwenye dini na kuihusisha na Yesu. Matokeo yake wazungu wengi wasio na dini walivutwa.
Mimi ni mkristo, ila siichukulii siriasi licha ya huhusiswa na Yesu. Naichukulia kama Zile...
Wakuu,
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limepiga marufuku wananchi kulipua vilipuzi (fataki) bila kuwa na kibali cha Jeshi la Polisi katika Sikukuu Za Krismasi na Mwaka Mpya.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe Kamshina Mwandamizi Msaidizi wa Polisi Augustino Senga amesema Jeshi la...
Serikali mpya ya Syria imetangaza Krismasi kuwa sikukuu ya umma.
Ofisi za Serikali zitafungwa tarehe 25 na 26 Desemba ya kila mwaka.
Cc. Ritz
Cc. FaizaFoxy
https://x.com/visegrad24/status/1871516597107736691?t=-uBxA8srUJ7bZ61coYFMSg&s=08
Welcome On board...
Nawatakia wadau wote wa JamiiForum, wakiwemo members na non members na Uongozi mzima Wa JF, ukiongozwa na Director Maxence Melo, heri ya sikukuu ya Christmas 2024 na mwaka mpya 2025. Bwana Yesu amezaliwa kwa ajili yetu, basi tuende tukahubiri upendo na amani, kwetu na kwa...
Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah.
Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
Katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kama ilivyokuwa desturi ya Watanzania wengi kwenda kusalimia ndugu na jamaa mikoani. Inawapasa kufahamu mambo gani ya kuzingatia zaidi katika safari zako za kwenda kusalimia.
1. Tengeneza bajeti ya safari ikijumuisha gharama za usafiri, chakula, zawadi...
Ewe kijana jitathimini sasa.
Mpaka sasa umeshamtumia pesa ya kusuka, pesa ya viatu na mmeshapanga sehemunya kukutana kula bata.
Mpak muda huu Atm ishaumia mara kadhaa kqa ajili ya kumnunulia pamba za sikukuu.
Je umejiuliza mpaka muda huu umemtumia Baba yako na Mama yako kiasi gani?
Panga...
Ntashangaa kusikia tkt za kulanguliwa hazipo Dec
Hii n miradi mirefu sana KUNA jamaa huwa ananunua HATA tkt 30 Dec analangua na ana madalali kabisa ukienda kwenye basi wanakwambia limejaa
Basii halijajaaaa kinachofanyika Wana mtu special ana tkt zao ndio maana wakikwambia tkt zimeisha ama...
Salaam, Shalom!
Msingi wa SWALI LANGU upo katika Sala Aliyotufumdisha Yesu sisi wanafunzi wake kusali Kwa hiyo, kwamba;
(Mathayo 6:10)
"Mapenzi Yako yatimizwe, hapa duniani kama ilivyo Mbinguni "
Swali no 1.
Kusherehekea Christmas tarehe 25 December ni mapenzi ya Mungu aliye Mbinguni?
Swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.