Jeshi la polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi ulinzi na usalama katika sherehe za Krisimasi na Mwakampya..
Akizungumza na Waandishi wa habari leo Disemba 24, 2025 Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa polisi, Richard Abwao amesema jeshi la polisi litaendesha...
Mkurugenzi wa shirika la afya duniani ( WHO) ukanda wa Africa, Professor Janabi
Amesisitiza wananchi kuepuka pilau na nyama Kwakuwa ni Milo yenye madhara kiafya
Pia ameshauri watu kuacha kutumia soda na beer 🍺 siku hiyo
Badala yake ameshauri watu wale matunda, mboga za Majani na maji mengi
Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro ameeleza kuwa wameanza ukaguzi wa kushtukiza kwa madereva wa magari wenye dalili za kutaka kusababisha ajali.
Pia ameeleza kuwa wamejipanga kushirikiana na nyumba za ibada ibada ili kutanzua uhalifu...
Mbunge wa Jimbo la Uyole na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amegawa chakula na msaada wa fedha kwa kaya zisizo na uwezo zipatazo 130 kutoka kata 13 za Jimbo la Uyole, ikiwa ni sehemu ya kuwawezesha wananchi hao kusherehekea Sikukuu ya Krismasi kwa furaha na heshima...
Tarehe 14 Desemba 2025, inaripotiwa kutokea shambulio la kigaidi katika jiji la Sydney, Australia.
Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa, washambuliaji waliwasili katika fukwe za Bondi Beach na kufyatua risasi kwa watu wa jamii ya Kiyahudi waliokuwa wakisherehekea Hanukkah, sikukuu ya kidini ya...
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua Kampeni Kabambe ya Msimu wa Sikukuu kwa ajili ya kuwazawadia wateja wake wanaofanya malipo kwa kutumia kadi ya Popote Visa, ambapo watapata rejesho la 10% kwa kila muamala unaokidhi vigezo vilivyowekwa na benki.
Akizungumza jijini Dar es Salaam katika...
Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa watu wanaosafiri kwenda mikoani ni jambo la kawaida linalotokea kila mwaka, na si kitu cha kushangaza au kuhusishwa na sababu nyingine.
“Naomba niwaambie kitu kimoja: kama kweli kuna adui, atakuwa amefanikiwa endapo atagundua kuwa...
Serikali ya Kenya imetangaza Ijumaa, Oktoba 17, 2025 kuwa sikukuu ya umma kwa heshima ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, aliyefariki dunia Oktoba 15, 2025 akipatiwa matibabu nchini India. Katika tangazo maalumu la gazeti la Serikali Na. 15007 iliyochapishwa mapema Oktoba 16, 2025, Katibu wa...
Jengo la ghorofa ambalo linaendelea kujengwa limeshika moto majira ya Saa Sita Mchana wa leo Agosti 31, 2025 katika Mitaa ya Aggrey na Sikukuu, Kariakoo, ambapo Jeshi la Polisi limefika na linaendelea na jitihada za kuuzima moto huo.
Rais Samia Akishiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, leo tarehe 8 Agosti, 2025.
https://www.youtube.com/live/jQHC1KDAtsY?si=wJAJj3luERusy52n
=============
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, akiwahutubia wakazi wakati wa kilele...
Leo, tunasherehekea na kuwaheshimu wakulima wote wanaofanya kazi kwa bidii ambao huamka kila siku kulisha taifa letu na kulinda mustakabali wetu.
Ninyi ndio msingi wa usalama wa chakula, mashujaa wa ustahimilivu, na sababu ya kuweza kuota kesho iliyojaa chakula. Ninyi ndio bora zaidi!
Katika...
Leo, tunasherehekea na kuwaheshimu wakulima wote wanaofanya kazi kwa bidii ambao huamka kila siku kulisha taifa letu na kulinda mustakabali wetu.
Ninyi ndio msingi wa usalama wa chakula, mashujaa wa ustahimilivu, na sababu ya kuweza kuota kesho iliyojaa chakula. Ninyi ndio bora zaidi!
Katika...
Nane Nane au Sikukuu ya Wakulima huadhimishwa Nchini Tanzania Agosti 8 kila Mwaka ikilenga kutambua Mchango wa Wakulima na Sekta ya Kilimo kwa Taifa.
Sherehe za Nane Nane huratibiwa na Wizara ya Kilimo, Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi pamoja na Mtu mmoja mmoja kutoka katika shughuli za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.