imeisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Trump kabwaga manyanga baada ya kutangaza vita na Iran imeisha

    Kwa kweli Iran ni wakuotea mbali, leo hii Lame Duck Donald ametoa boko ambalo walokole mavi wa JF hawakuwa wanalitegemea Hii inadhihirisha kabisa kuwa Trump amefanywa kitu mbaya sana na Iran na inaonekana bado yuko Kwneye ndoto. Inasemekana hata wakati wa uchaguzi wa Israel, mchepuko wake Nyau...
  2. S

    JamiiForums Bongo fleva ya sasa imeisha nimemis ile ya 2008-2013

    Katika kukua kwangu, siwezi kusahau jinsi nyimbo za Bongo fleva zilivyokuwa na hisia zile za ndani kabisa. Nyimbo kama NYOTA YANGU ya TID, USIENDE MBALI NAMI ya BUSHOKE, KWAAJILI YAKO ya HUSSEIN MACHOZI, WEWE NI WANGU ya BELLE 9, MASOGANGE ya BELLE 9, Z ANTO na BINTI KIZIWI, KASSIM MGANGA-...
  3. Manyanza

    JamiiForums Yanga na Manqoba imeisha hiyooo

    TAARIFA KWA UMMA OKTOBA 24, 2026 Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu umma kuwa umefikia uamuzi wa kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya kwanza, Mangoba Mngqithi. Vile vile, Uongozi wa Young Africans Sports Club umesitisha mkataba na Kocha wa Viungo wa timu ya kwanza...
  4. Alexido jz instagram

    JamiiForums Studio session rasmi imeisha leo kwa mara ya kwanza napost picha zangu, bado videos

    Asante mungu atimae nimemaliza recording bado video production tu naachia ngoma zangu mbili, nadhani KAZI itabaii kwenu kusambaza mziki yangu Kuna wamiliki wa online media hapa pliz tushikane wakuu, page za insta fb nk
  5. Echolima1

    JamiiForums Tarehe ya Mwisho ya MOU ya Iran/Marekani ya Siku 60 Imeisha. Nini Sasa kitafuata?

    Tarehe ya Mwisho ya Iran ya Siku 60 Imeisha. Nini Sasa? Tarehe ya mwisho ya Iran iliisha na Iran haikujisalimisha, haikufungua Mlango-Bahari wa Hormuz, na kulingana na ripoti ya Wall Street Journal ilitumia dirisha lote la mazungumzo kufanya jambo moja ambalo hakuna mtu huko Washington alitaka...
  6. 100 others

    JamiiForums Marco Rubio : Operation Epiq Fury Imefika Tamati , Trump : Project Freedom Inasimama Kwa Muda.

    Donald Trump kupitia mtandao wake wa truth social amesema kuwa Marekani itasitisha kwa muda operesheni yake ya kuziongoza meli kupitia Mlango bahari wa Hormuz huku (blockade) kizuizi kikiendelea katika eneo hilo. Trump anasema Uvushaji wa Meli kupitia Mlango bahari wa Hormuz utasitishwa kwa...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Iran Wakianza Kushambuliwa Vituo na Maghala ya Mafuta, Hapo Vita Itakuwa Imeisha

    Iran Wakianza Kushambuliwa Vituo na Maghala ya Mafuta, Hapo Vita Itakuwa Imeisha Sidhani kama kwa sasa Iran wanategemea sana vifaa vya kijeshi vinavyotumia umeme. Kwa kiasi kikubwa, mifumo mingi ya kijeshi duniani ikiwemo ya Iran bado inategemea mafuta kama dizeli, petroli, na jet fuel...
  8. The Father of All

    JamiiForums Nywi nywi nywinywinywi imeisha wapi hadi tunaongea maridhiano na maridhishano? Alisema kusingekuwa na tishio akatishwa hadi akaua

    https://www.youtube.com/watch?v=JhNOoI2tIKw Jikumbushi nywinywi nywinywinywi. Yako wapi. Kumbe rais alituongopea? Je, hapa si muongo kama waongo wengine? Je, haya maridhiano siyo uongo? Je, nani aweza kumuamini muongo?
  9. M

    JamiiForums Nguvu ya maandamano imeisha, Serikali tafadhalini sana msituzuie kutoka nje Christmas 25D kama mlichofanya D9.

    Katika sikukuu ya Krismasi, familia nyingi hupata fursa ya kipekee, mara moja tu kwa mwaka, kutoka nje na kukutana na ndugu pamoja na marafiki katika mikusanyiko ya kusherehekea na kufurahia sikukuu hiyo. Litakuwa jambo la kusikitisha sana iwapo tutasikia serikali ikisalimu amri kwa vitisho...
  10. heartbeats

    JamiiForums Askari Posho posho za Oct 29 nafikiri zimeisha?

    Manchekesha sana mapot Mnadharaulikia. Mnalipwa ili mtupe watu mnalipwa ili muue watu ,muwabambikizie kesi n.k Adi sasa nafikiri posho zishaisha zile za oct 29 mmerudi apeche alolo mnakula dei waka za kuteka teka watu ovyo. Mpo salama maana watu wengi hawana access ya silaha ,kwa sisi...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Imeisha hiyo: Kakiri mwenyewe mbele ya vyombo vya habari kuwa ameua Watanganyika kwa kudhamiria

    Wale wa ICC Kazi imeshaisha. Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria. Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuawa. Tukamalize kazi ICC...
  12. tucker carlson

    JamiiForums Kinachonisikitisha hotuba Imeisha lakini hajazungumzia UTEKAJI. Tujiandae kunyakuliwa kama kuku

    Wakuu, Nilitegemea angekemea utekaji na kusema kwamba kwenye awamu yake ya pili hategemei kusikia wala kuona Watanzania wanatekwa. Lakini hola! Maana yake ni kwamba tutaendelea kutekwa na kile kikundi cha Watu Wasiojulikana wataendelea kutunyakua Watanzania. Hii nchi imeoza to the core!
  13. Mwanamwana

    JamiiForums PostGE2025 Jeshi la Polisi laondoa amri ya Lockdown kuanzia saa 12 jioni kwa wakazi wa Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Tanzania limetoa Taarifa kwa Umma likisema kuwa, Kufuatia maelekezo yaliyotolewa jaan tarehe 3.11.2025 na Mhe. Rais na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, Amri iliyokuwa imetolewa na Jeshi la Polisi kwa wakazi wa Jiji la Dar es salaam ya kuwa majumbani kuanzia saa 12 jioni...
  14. K

    JamiiForums Jeshi ni: Radio ya Taifa na Viwanja vya ndege - kazi imeisha

    Jeshi ni : Radio TZ, na viwanja vya ndege kazi imeisha.
  15. Hance Mtanashati

    JamiiForums Hivi biashara ya dawa za kulevya imeisha nchini?

    Nauliza si kwa ubaya. Sijasikia suala la kuwashughulikia wale wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya kama kipindi kile cha awamu iliyopita namna walivyokuwa wanapambana nao na kuwataja kwa majina wazi wazi. Ila tangu afariki sijasikia tena zile harakati zikiendelea. Nini kipo nyuma...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Game imeisha. Simba watakachoweza ni kupunguza idadi ya Magoli

    Watake wanafungwa, wasitake wanafungwa. HAMNA NAMNA WATAEPUKA KIKOMBE HIKI. YANGA TUMEKWEPA MITEGO YAO YOTE.
  17. othuman dan fodio

    JamiiForums Wakionekana wanakuteka wanajitokeza na kusema tunamshikilia wasipoonekana ndio imeisha hiyo

    Wakioneka wanakuteka wanajitokeza na kusema tunamshikilia wasipoonekana ndio imeisha hiyo Refer. Bavicha Arusha.
  18. October 2pm

    JamiiForums Mwajipa moyo eeh. Shughuli imeisha. Soon itajulikana Nani kashika mpini

    Kazi iendelee... Naona mnajitia vikumbo kujipa moyo wa kiberiti. Mipango yenu ishaporomoka kama bati ya mwezi wa kusi. Mama tunaye vilivyo, si wa kuchovya, ni wa kumeza na mfupa! Karibuni mtajua nani ndiye Boss wa meza, si wa kugongea bakuli kama huyo Babu yenu. Wakati ule mlidhani mgeni hajui...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Pamoja na Clatous Chama juzi tu 'Kuinanga' na 'Kuikoga' Simba SC baada ya Yanga SC kubeba Vikombe lukuki, ila Ndoa yake na Yanga SC imeisha rasmi

    Ila ninavyokujua unavyopapenda Dar es Salaam hasa lile Chimbo lako la Mbezi Beach (BK) ninajua tu utabakia Tanzania.
  20. I

    JamiiForums PSRS: Nitajuaje zoezi la kupangia Watu kazi limefungwa au kufaulu?

    Habari wanabodi. Mimi ni mmoja wa watu waliofanya saili wa kuhojiwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Sina hakika kama nilifikisha maksi za kufaulu au la. Nimekuwa nikitembelea ajira portal ,status bado ni ileile ya kuitwa kwenye usaili wa mahojiano(SIJUI KAMA HUWA INABADILIKA)...
Back
Top Bottom