Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,005
- 4,664
Kuna msuguano wa fikra mitandaoni kuhusu Katazo la kula mchana adharani huko Zanzibar kipindi hiki cha Mfungo.
Lakini kwa wenzetu wakristo jumapili ni Sikukuu ya Pasaka na naamini Zanzibar kuna wakristo wengi ambao wanajiandaa kusherekea Sikukuu hiyo. Je, Katazo la kula adharani linawahusu?
Kama linawahusu je ni marufuku kufunga kwaresma Zanzibar na kusherekea Pasaka?