mwaka mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoyo Zhou

    Tamasha la Mwaka Mpya wa jadi wa China linalorushwa na CMG lazidi kujibebea umaarufu duniani

    Tamasha la Mwaka Mpya wa jadi wa China (CCTV Gala) ama kwa jina jingine linajulikana kama Chunwan, ni tamasha maalum la Mwaka Mpya wa jadi wa China linalotayarishwa na Shirika Kuu la Utangazaji la China, (CMG). Tamasha hili ambalo hutangazwa kila mwaka katika mkesha wa Mwaka Mpya wa China sio tu...
  2. Execute

    Maazimio mangapi ya mwaka mpya umeshayavunja?

    Kuna maazimio mazito niliyaweka lakini wapi nishapoteza mengi tu. Nilisema sitakunywa soda na nimeshakunywa tano, nilisema sitatumia sukari na nishainywa. Nilisema sigusi nje tayari kuna mmoja alijileta. Yaani tafrani tupu.
  3. Yoyo Zhou

    Maonesho ya Miaohui ya kuadhimisha Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina yafanyika nchini Uganda

    Maonesho ya Miaohui ya kuadhimisha Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina yaliyoandaliwa na Ubalozi wa China nchini Uganda pamoja na idara ya utamaduni ya Uganda yamefanyika hivi karibuni mjini Kampala, na kuwavutia maelfu ya watu waliotaka kushuhudia utamaduni maalumu wa Kichina. Maelfu ya Waganda na...
  4. Webabu

    Hamas walivyozivuruga sherehe za mwaka mpya Israel. Mvua ya makombora kutoka Gaza yawatoa mbio na kuwanyamazisha washerehekeaji

    Wakati saa ikisoma sifuri baina ya 2023 na 2024 mara Hamas wakaanza kurusha makombora kwa mtindo wao ule wa kama mvua ambapo Iron Dome huwa zinashindwa kujua ianze na lipi kati ya mengi yanayokuja. Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu...
  5. Mama Amon

    Alichosahau kuongelea Rais Samia siku ya mwaka mpya 2024: Fedha za kuendesha Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote zitatoka wapi?

    I. Utangulizi Tayari Muswada wa Bima ya afya kwa wote uliopitishwa bungeni mwezi Novemba umetiwa saini na Rais na kuwa sheria rasmi (imeambatanishwa). Bado tunasubiri kkwa hamu kanuni na taratibu za kuongoza utekelezwaji wake. Sheria hii ni mkakati wa kuipunguzia serikali mzigo wa kugharimia...
  6. Black Opal

    Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

    Wazee wa maakuli, leo tunauanza mwaka mwaka mpya, naamini uko mzima wa afya. Tumeuanza mwaka na msosi gani leo? Mimi nimepiga ndizi bukoba na dagaahapa safii, utamu unafika hadi kisogoni.
  7. Mr Dudumizi

    Unafurahia mwaka mpya ukiwa wapi ndugu mwana JamiiForums?

    Wengine mwaka mpya umetukuta hapa small New York, ni mwendo wa kujipongeza kwenda mbele. Nawatakia mwaka mpy wenye mafanikio, baraka na maendeleo ya kweli ndugu mwanaJF mwenzangu.
  8. Erythrocyte

    Temeke umeme umekatwa nusu saa kabla ya mwaka mpya

    Hili ni jambo jipya kuwahi kuliona tangu nipate akili. Na kwa kweli ni aibu kubwa kwa Nchi. Nakulilia Tanzania.
  9. Roving Journalist

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha apiga marufu upigaji wa fataki kusherekea Mwaka Mpya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kama ilivyo desturi tunapoelekea kufunga mwaka, kunakuwa na shamrashamra za Wananchi kufurahia kumaliza mwaka wakiwa salama na kuingia mwaka mpya. Jeshi hilo limewataka Wananchi washerehekee kwa amani na utulivu sikukuu hiyo. Akitoa taarifa hiyo Kamanda...
  10. UMUGHAKA

    Niwatakie Mwaka Mpya Members wote hapa JF

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Napenda kutoa shukurani za dhati kwa mkurugenzi wa JF Ndugu Maxence Melo kwa mwaka huu wa 2023 ambao tumeumaliza salama!,Kiukweli nimeanza na Mkurugenzi kwasababu kwa Mwaka huu wa 2023 huyu jamaa kwangu ndiye mtu bora kwangu,kitendo cha kuanzisha...
  11. Half american

    Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake.

    Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka. Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka mpya wa 2024. Kama ilivyo kawaida kwa miaka mingine iliyopita, baadhi yetu huweka maazimio ya...
  12. Half american

    Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake.

    Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka. Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka mpya wa 2024. Kama ilivyo kawaida kwa miaka mingine iliyopita, baadhi yetu huweka maazimio ya...
  13. L

    Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za mwaka mpya wa 2024

    Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba ya salamu za mwaka mpya wa 2024 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni hotuba hiyo: Hamjambo! Ukali wa baridi umeanza kupungua na mwaka mpya kukaribia. Wakati mwaka 2024 umewadia...
  14. M

    Naukaribisha Mwaka mpya na zana hii

    Nimesha andaa kitendea kazi changu, nasubiria mida mida nikiamshe. HAPPY NEW YEAR WANAJF
  15. Pdidy

    Nawatakia heri ya mwaka mpya 2024 mwaka wa maongezeko usikate tamaaa

    Tukielekea siku ya mwisho ya 2023 nipende kuwaomba radhi wote niliowakosea humu kwa kujibu vibaya ama kuwaumiza machoo kwa mwandiko mahiriiwakithailogia ulitupa na kama...... bila kuwasahau wale tuliojibishana vibaya tukapatana nanyi nimewasamehe pia aisha kama binadamu nami nimewasamehe...
  16. Roving Journalist

    Mbeya: Mtuhumiwa mmoja ashikiliwa na Dawa za Kulevya, Polisi yasema imeimarisha ulinzi kuelekea Mwaka mpya 2024

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Kelvin Amanyisye [19] Mkazi wa Lubele- boda ya Kasumulu kwa tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya aina ya Bhangi kilogramu 13. Akizungumza na waandishi wa habari Desemba 30, 2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi wa Polisi...
  17. P

    Umepanga kuupokea mwaka mpya 2024 kwa style gani?

    Wakuu kwema? Mwaka mpya huo unajongea, umepanga kuupokeaje? Baadhi huwa kwenye viwanja wakiupokea mwaka kwa shangwe, kwengine wakiukaribisha mwaka kwa maombi kwenye mikesha ya dini, wengine wakiwa nyumbani tu wenyewe kwenye utulivu na kutafakari wanayoyaacha na watakayoyaribisha, nk. Wewe...
  18. M

    Umepanga kuwapa zawadi gani Wazazi/Walezi wako msimu huu wa sikukuu?

    Habari zenu Wakuu, Wakati wengine wakijiandaa kuwapa zawadi Wapenzi wao sio vibaya nasisi tukawakumbuka waliotulea Wazazi/Walezi kwenye msimu huu wa SIKUKUU. Mimi Mjanja M1 nimechagua kuwapa Wazazi/Walezi wangu zawadi ya kukaa nao SIKUKUU nzima pamoja na kuwapa zawadi nyengine nyingi...
Back
Top Bottom