Hawa magwiji wawili wa siasa na jopo lao la viongozi ndani ya CDM wamefanya CCM wote kuchanganyikiwa na kupoteza legitimacy mbele ya wananchi kwa zaidi ya asilimia 80. Ni ukweli usiopingika kwamba Chadema kwa sasa ndio chama kikuu cha siasa Tanzania na raia wanashauku na matumaini makubwa kwa...
Toyota Rush ni gari aina ya SUV ndogo (compact SUV) inayotengenezwa na kampuni ya Toyota Rush. Inajulikana kwa kuwa ya familia, yenye nafasi na uwezo wa kuhimili barabara mbaya.
Sifa kuu za Toyota Rush
Injini ya petroli ya 1.5L
Ina uwezo wa kubeba abiria 7
Ground clearance kubwa (huisaidia...
Leo Tar 29 May, officially Mitsubishi wametangaza ujio wa SUV yao pendwa Pajero, baada ya kuisitisha mwaka 2021 ilipokua 5th generation.
Kwahiyo Pajero 6th Gen inakuja mwaka huu 2026, na wamefanya teaser kidogo sana bila kusema sifa za gari.
Ikumbukwe Pajero ilianza mwaka 1982 na zimeuzwa...
Ina vitamthilia vya ajabu ajabu, unakuta mara simba mweupe anapaa angani hukuu amseshikilia mkuki na miguu yake,
kama sio utakuta zile za kihindi jamaa wanangaaliana kwa ukali karibia nusu saa , basi wadada unakuta wanafurahi sana.
Kwangu mimi ni chapati sizichoki asee af za mama ntilie hapana nimekuwa affected siwez kula chakula ame pika mwingine na simuamin mtu kwenye swala la kupika ata kama nimechoka kuliko kununua bora nipike
Huo unga wa ppf ni mzuri mnoo
Jiona una kula nini show us
Kama benk zetu mbili zinazofanya vizuri sokoni zimepata faida maradufu kwa mara ya kwanza na haijawahi tokea..
Je hawaoni sasa ili kuonesha ukubwa na kurudisha gawio kwa wananchi kutoka mikopo kwa riba ndogo hata 10% kwa wafanyakazi??
Faida yao means RIBA ni kubwa pia asilimia 17% ...
Aisee pamejaa jamaa zetu kama wote(kuanzia ukaguzi, tiketi na wahudumu) kasoro zile kazi za kutumia akili na Nguvu ndo huwakuti. Eeh Mola tunusuru waja wasitudhuru
Mfano sasa ivi kwenye tamthlia/filamu mmeziondoa au kushindwa kuzibakisha chaneli za muvi za Kinaijeria za AMC chanel na AMC series, Wakati wenzenu DStv wanazo mpaka chanel za tamthlia/muvi za Wasauzi,Ghana na Kenya na za Lugha zao za makabila...
Hivyo kwenye muvi machaguo ni machache, mteja...
Uchumi wa Argentina umezidi kufanya vibaya chini ya utawala wa Rais Javier na kuwa katika hatihati ya kuanguka kutokana na utawala mbovu wa Rais huyo hali inayopelekea Marekani kuandaa kitita cha dola billion 20 kuukomboa.
Javier ni swahiba mkubwa wa Trump na mtindo wao wa uongozi na siasa...
1)Zab 68:20
Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa; Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana.
2)Yohane 14:13
Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana.
3)Zab 46:1
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso...
Hadi wengine mnaweza kudhani mlikanyaga chura au mlirukwa mkiwa wachanga na watu wenye mikosi 😂
Ni zaidi ya kismati waweza dhani kuna mitishamba
Mtu yupo kawaida tu lakini hata azingue kazini bosi anaona kawaida, Iga wewe sasa !, mtu akifikia sehemu tayari kiwingu kimemzunguka cha watu, awe...
Ni ngumu sana tena sana kukutana na bikra Leo hii hili jambo kiukweli linanichefua sana tena sana na hii ni ngumu kukutana na bikra kwa upande wa hii dini yetu pendwa ya kikristo ni ngumu asilani abadani yaani umkute mwanamke bikra wa kikristo hilo ni mwiko kabisa tofauti na kukutana na bikra...
Viongozi wenye mamlaka serikalini eleweni si wote tunafata maudhui ya ngono huko X,bali huko tunapata kuhabarika,kujifunza mambo mbalimbahi muhimu kama makala za afya,elimu,tarifa nk.Kwa upande wangu mi sijawahi kuona hayo mnayosema maudhui ya ngono msemayo.Sasa kuufunga ni kututendea kwa chuki...
Wakati Barani Ulaya inajulikana wazi kuwa mchezo wa soka (Football) ndio namba moja kwa kupendwa na kufuatiliwa zaidi na Watu, Nchini Finland hali ni tofauti, wao mchezo wao namba moja ni ice hockey.
Mchezo huo unaongoza kwa umaarufu na kwa kufatiliwa na watu wengi Finland, hii inajumlisha...
Kupitia post na mazungumzo na Mr IQ intelligence mshana Jr The platinum nimejifunza haya hapa.
01.Waganga wanafanya KAZI kwa kumuomba Mungu, na wewe usimuombe Mungu kupitia mganga(Muombe Mungu moja kwa moja utafamikiwa)
02.Sema sana ongea sana ila Usiombe yakukute.
03.kwenye maisha Kuna...
CHADEMA mbinu za kuwaleta au kuwatumia makasisi na maustaaz baada ya kuzimwa wamejaribu kumreta Kirua, hivi hawa waliopo Tanzania akina hawatoshi kumtetea mkubwa wa kudharau wenzake?
Mimi nawaambia Lissu ni mtu mwenye dharau ya juu sana, ile sura yake ukimuangalia kwa makini utaiona dharau yake...
Salamu wakuu kwenye jukwaa la burudani.
Maisha ya mwanadamu ni mafupi, hivyo hata kama hatuna kipato kikubwa hatuna budi kujitafutia furaha sisi wenyewe maana muda hausimami na umri unaenda. Si bora kukosa vyote mafanikio na furaha. Moja ya vitu vinavyonipa raha ni filamu, najua kila mtu ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.