wafungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Wafungwa Wamlilia Na Kumpigia Magoti Rais Samia Ili Awaonee Huruma

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ndio Tumaini la Wanyonge ,ndiye Kimbilio la waliokata Tamaa ,ndio nuru ya Wanyonge,ndiye kiongozi aliyebeba Matumaini ya watu na ndiye Moyo Wa Taifa hili. Kila apitapo na kutua watu humkimbilia na kumlilia . Kwa sababu kila mmoja mwenye shida ,taabu ,mateso...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 AZAKI: Wafungwa wote wa kisiasa wanaoshikiliwa kuhusiana na Matukio Oktoba 29 akiwemo Tundu Lissu waachiwe huru

    Asasi za Kiraia (AZAKI) zimetoa uchambuzi wa awali wa ripoti ya Tume ya Jaji Chande iliyochunguza matukio ya ghasia yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Wametaka wafungwa wote wa kisiasa wanaoendelea kushikiliwa gerezani kuhusiana na matukio ya Oktoba 29, 2025...
  3. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Wafungwa 436 Waachiwa Huru Baada ya Msamaha wa Rais Samia

    Mwandishi Wetu, DODOMA, Aprili 26, 2026 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametumia mamlaka yake ya kikatiba kutoa msamaha wa kupunguza adhabu kwa wafungwa 1,369 nchini, ambapo wafungwa 436 wameachiwa huru mara moja huku wengine 933 wakipunguziwa vifungo vyao...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Moja ya mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande itakuwa ni kuachiliwa kwa wafungwa wote wa kisiasa mlengwa mkuu akiwa Tundu Lissu

    Huu ndio utabiri wangu huku Tundu Lissu akiwa ndio mlengwa mkuu ili tu isionekane ameshinda kesi ya uhaini bali ametoka kutokana na mapendekezo ya Tume. Pia, mtarajie habari ya maridhiano kupitiia hii tume. All in all, wajue hatudanganyiki.
  5. C-C Daily Stories

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Wafungwa wa kisiasa na wale wa kawaida

    https://youtu.be/_11lEn0CQlQ?si=t7780QzdGXjNWO44
  6. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa PSO Mahabusu na Wafungwa watakula Chakula Gerezani

    Wadau naona wengi mna hamaki kusiana na suala la mtu kunyimwa chakula, Utaratibu wa Prison Service Order (PSO) ni kwamba mfungwa au mahabusu atakula chakula gerezani. Gerezani kwa mujibu wa sheria za kimataifa panajulikana kama sehemu salama. Akipewa chakula popote wapo wanaompenda na...
  7. onemediaonline

    JamiiForums Tanzania Wafungwa 142 kujadiliwa na Bodi ya Taifa ya Parole mkoani Kilimanjaro

    Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole, Mhe. Balozi Khamis Kagasheki, leo Februari 12, 2026, amefungua rasmi kikao cha bodi hiyo kitakachofanyika kwa siku mbili, kuanzia Februari 12 hadi 13, 2026, katika ukumbi wa Panama Garden Resort, mkoani Kilimanjaro. Katika kikao hicho, jumla ya majalada...
  8. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa

    Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia njema. Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania ilisema raia wake watano, akiwemo raia mmoja aliye na...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima alikuwa wapi? Hao watu anaosema ameaacha kama wafungwa wapo wapi?

    Anasikika juzi kwenye ibada ya mwaka mpya akisema kuwa kuna watu ameaacha mahala wamewekwa kizuizini Amesema atataja aseme mapema ili tujue kama watu bado wapo hai ambao tunadhania walishauwwawa. Please Askofu sema ukweli ulikuwa wapi?
  10. Troll JF

    JamiiForums Tanzania FAHAMU: Jela Hakuna Pesa Taslimu wala Simu

    Nafuatilia kwa umakini utapeli ambao unaendeshwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa kiongozi wao ambaye Yuko Gerezani Tundu Antipas Lissu Kwa kuwafungua masikio na macho watanzania nawaambia gerezani pesa taslim, Simu haziruhusiwi lakini pia kama mtu anaumwa serious uko utaratibu...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,036

    Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036) Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi 16 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa

    Tunarejea tamko la Mwakilishi Mkuu kwa niaba ya Umoja wa Ulaya la tarehe 2 Novemba 2025, na tamko la pamoja la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Norway na Uingereza la tarehe 31 Oktoba 2025, kuhusu uchaguzi nchini Tanzania. Tumehuzunishwa sana kwa vifo na majeruhi wengi waliotokana na matukio...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya ndani wa Israel Itamar Ben-Gvir awatembelea wafungwa wa flotilla of Gaza:!!

    Waziri wa Mambo ya ndani wa Israel Itamar Ben-Gvir awatembelea wafungwa wa flotilla wa Gaza: Msafara amabao walikuwa wanajidai eti wanapeleka misaada Gaza waziri Itamar Ben-Gvir amesema watu hao wanapaswa kufa maana wanashirikiana na magaidi wa awasaidie ili waendeleze UGAIDI wao. “Hao Wote ni...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wafungwa kwanye simu zao utawawatambuaje?

    Unapoamka na kushika simu kabla ya kufanya ibada. Hii ni dalili mbaya kuwa simu imekua kipaumbele kwako kabla ya muumba wako. Hii ni ishara ya uraibu na hatari kwa afya yako ya akili.
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa atunuku Vyeti Wafungwa 170 waliohitimu Mafunzo ya ujasiriamali na stadi za biashara

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amewatunuku vyeti Wafungwa 170 waliomaliza mafunzo ya ujasiriamali na stadi za biashara yaliyotolewa na Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) katika Gereza kuu Arusha. Hafla ya kutunuku vyeti hivyo ilifanyika...
  16. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Wagombea CCM Wafungwa Midomo: "Tunazuiwa Kukosoa, Huu Sio Uhuru Wala Demokrasia"

    Wimbi la ukimya linatawala mchakato wa kuchukua fomu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku wagombea na watia nia wakizuiwa kuzungumza hadharani kuhusu matarajio yao, hoja zao za msingi, au mapungufu ya wabunge na madiwani waliomaliza muda wao. Tangu kufunguliwa kwa dirisha la uchukuaji wa...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haiwajali wanafunzi Kama inavyowajali wafungwa?

    Ni jambo la kushangaza na kuumiza moyo kuona kuwa wafungwa walioko magerezani wanahakikishiwa huduma zote muhimu kama vile chakula, mavazi (mavazi ya gereza), malazi, huduma za afya na hata baadhi yao kupata fursa ya elimu. Hili ni jambo jema kwa kuwa hata mfungwa anastahili haki zake za...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas Kuwaachilia Mateka 9 kwa Mabadilishano ya wafungwa 300 wa Palestina kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60

    Wanaukumbi. Afisa mkuu wa Hamas aliiambia CNN Jumapili kwamba kundi hilo liko tayari kuwaachilia mateka saba hadi tisa wa Israeli ili kubadilishana na usitishaji mapigano wa miezi miwili huko Gaza na kuachiliwa kwa wafungwa 300 wa Kipalestina. Mkataba uliopendekezwa pia utahitaji Vikosi vya...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Badala ya kuwapiga Houth,Marekani yauwa mahabusu wengi wa kiafrika huko mpakani na Saudia

    Houth wametangaza kuwa shambulio la leo kutoka jeshi la Marekani limelenga gereza ambalo wahamiaji haramu kutoka nchi za kiafrika huwa wanazuiliwa. Jumla ya mahabusu wapatao 68 wameshathibitishwa kufa ambapo gereza hilo lilikuwa likiwashikilia wahamiaja hao zaidi ya mia moja. Dozens killed in US...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 4,887

    Katika kuadhimisha Miaka 61 ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu ametoa msamaha kwa wafungwa 4,887, ambapo wafungwa 42 kati yao wanaachiliwa huru leo, na wafungwa 4,845 wanabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobakia baada ya kupewa msamaha. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya...
Back
Top Bottom