Kwanini tunasoma? Kwanini tunajikweza kwenye madaraka? Ona sasa Ndugai, Bashiru na Kabudi hata sikukuu za mwaka mpya hawaonekani

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Hawa niliowataja ni baadhi ya watanzania waliosoma kwa tabu, wakafanya kazi za umma kwa tabu kisha wakateuliwa kukaa mezani na mfalme

Wakiwa wanahudumu kwa mfalme wakadhani mfalme ndo kila kitu; wakatamka adharani kuwadharau watu kwa umaskini wao wa maarifa au uchumi.

Wanaamini maisha siyo kuishi kama ulivyokuzwa bali nikuishi kama wakubwa wanavyotaka. Bila kushurutishwa wakawa wanatoa kauli za kuumiza na siyo kauli za faraja. Lastly tena wakiwa uzeeni wale wale waliowapa kiburi wakawafedheesha kisiasa. Wakapoteza hadhi zao wakati huo wamepoteza asilimia kubwa ya ndugu na marafiki wa kweli.

Marafiki wao wapya wamewakataa na sasa hata nyumba za ibada hazina muda nao. Wanaweza wakawa binadamu wanaoishi kwa shida sana nchini. Siyo kiuchumi bali kijamii.

Tusipojifunza kwao tunaweza tusipate mifano mizuri yakujigunza. Ninachoweza kusema, upo umuhimu wakuishi maisha yako binafsi na ukatoboa. Mfano mzuri ni Mzee wetu Magufuli, hajawahi kuigiza maisha wala kuwa mnafiki apewe cheo. Hata alipodharaulika akapewa wizara ya vitoweo alipiga kazi hadi waliotaka kummaliza kisiasa wakatambua wamempa mailage zaidi na walianza wenyewe kumsifia.

Tunahitaji taifa lenye viumbe wenye misimamo iwe mizuri au mibaya ila iwe real. Hawa vinyonga wameisha kisiasa lakini wametuachia funzo kwamba hakuna binadamu atadumu na kumaliza salama safari ya UCHAWA.

HERI YA MWAKA MPYA KWA CHAWA WOTE, JITAFAKARINI
 
Kama walivyokuwa wanaonekana kabla ya kupata madaraka na baada ya kupata madaraka.
Kabudi na Ndugai walikuwa wanaonekana Kanisani na Hata leo tumekuwa nao Kanisani

Hawa wazee siyo kama hao Wazee Vijana wa Pwani wasiojua Hekima za Majira ya Magharibi
 
kwa hiyo ulitakaje waonekane milele? kila kitu hapa duniani ni cha kupita, watu wanakuja wanapita au utauliza kwa nini malkia elizabeti wa uingereza haonekani mwaka mpya tena? come on man, besides elimu yao imewasaidia kufikia hapo walipofikia wanatunza familia zao na wana maisha poa kama siyo bora sababu ya elimu yao what more did you want warushe mafataki na kila mwaka mpya na kuita media ku prove kwamba bado wapo relevant?
 
washazikusanya hao, wanalia kivulini.
Unaweza ukawa na kila aina ya chakula na ukashindwa kukila wewe mwenyewe wakawa wanakula wengine wewe unawaangalia tu 😅😅🙏

Unaweza ukaona kama utani lakini inatokea sana !!
Unashauriwa na Daktari ule ugali wa Dona au uwele na mboga za majani zisizowekewa mafuta !
Chumvi na Sukari pia ni marufuku kutumia !!
Nyama ina Cholestro na samaki wana mercury nyingi 😅😅🙏🙏🙏
Masharti juu ya masharti nini ule na nini usile !!
Vile vyote unavyovipenda ndivyo unavyotakiwa na Daktari usivitumie !!

Ni kama utani tu !!
Lakini watu wapo wana pesa mingi sana lakini hawana furaha ya maisha !
Ni ngumu kuamini lakini pesa sio kila kitu katika maisha 🙏🙏
 
Hawa niliowataja ni baadhi ya watanzania waliosoma kwa tabu, wakafanya kazi za umma kwa tabu kisha wakateuliwa kukaa mezani na mfalme

Wakiwa wanahudumu kwa mfalme wakadhani mfalme ndo kila kitu; wakatamka adharani kuwadharau watu kwa umaskini wao wa maarifa au uchumi.

Wanaamini maisha siyo kuishi kama ulivyokuzwa bali nikuishi kama wakubwa wanavyotaka. Bila kushurutishwa wakawa wanatoa kauli za kuumiza na siyo kauli za faraja. Lastly tena wakiwa uzeeni wale wale waliowapa kiburi wakawafedheesha kisiasa. Wakapoteza hadhi zao wakati huo wamepoteza asilimia kubwa ya ndugu na marafiki wa kweli.

Marafiki wao wapya wamewakataa na sasa hata nyumba za ibada hazina muda nao. Wanaweza wakawa binadamu wanaoishi kwa shida sana nchini. Siyo kiuchumi bali kijamii.

Tusipojifunza kwao tunaweza tusipate mifano mizuri yakujigunza. Ninachoweza kusema, upo umuhimu wakuishi maisha yako binafsi na ukatoboa. Mfano mzuri ni Mzee wetu Magufuli, hajawahi kuigiza maisha wala kuwa mnafiki apewe cheo. Hata alipodharaulika akapewa wizara ya vitoweo alipiga kazi hadi waliotaka kummaliza kisiasa wakatambua wamempa mailage zaidi na walianza wenyewe kumsifia.

Tunahitaji taifa lenye viumbe wenye misimamo iwe mizuri au mibaya ila iwe real. Hawa vinyonga wameisha kisiasa lakini wametuachia funzo kwamba hakuna binadamu atadumu na kumaliza salama safari ya UCHAWA.

HERI YA MWAKA MPYA KWA CHAWA WOTE, JITAFAKARINI
Yaani hawaonekani majumbani mwao au mlimani city?
 
Professor Kabudi....wewe elimu yako imeishia wapi mpaka unatoa kejeli kwa pro?
 
Uliwakaribisha chai hawakuja?
 
Kwani pamoja na kuto onekana,umewazidi nini kimaisha!!!
Pambania familia yako Mkuu,ata Makonda alinangwa leo anakula maisha kapewa na Land cruiser LC mbichi kabisa!
Huyo Ndugai anatunzwa na serikali mpaka kifo na Professor Kabudi ata akiwa nje ya siasa atapiga dili za legal consultancy na kulamba midola.
Sasa wewe Kajamba nani una nini!!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Maisha yanaweza kubadilika wakati wowote na tukabaki tunashangaa, ni vizuri zaidi kuchunga majivuno yetu wakati tunapoona mambo yetu yanapanda.

Kuna wakati ulifika Dr. Bashiru aliona kabisa anaweza kuja kiwa Rais wa Tanzania, na pengine aliamini kama JPM 'angekubali' kung'atuka basi yeye ndiye angekuwa chaguo lake. Fikiria aliaminika hadi akapewa Ubalozi na ukatibu mkuu kiongozi ndani ya siku chache tu.

Yaliyotokea yakatokea na sasa imebaki simulizi.
 
Hawa niliowataja ni baadhi ya watanzania waliosoma kwa tabu, wakafanya kazi za umma kwa tabu kisha wakateuliwa kukaa mezani na mfalme

Wakiwa wanahudumu kwa mfalme wakadhani mfalme ndo kila kitu; wakatamka adharani kuwadharau watu kwa umaskini wao wa maarifa au uchumi.

Wanaamini maisha siyo kuishi kama ulivyokuzwa bali nikuishi kama wakubwa wanavyotaka. Bila kushurutishwa wakawa wanatoa kauli za kuumiza na siyo kauli za faraja. Lastly tena wakiwa uzeeni wale wale waliowapa kiburi wakawafedheesha kisiasa. Wakapoteza hadhi zao wakati huo wamepoteza asilimia kubwa ya ndugu na marafiki wa kweli.

Marafiki wao wapya wamewakataa na sasa hata nyumba za ibada hazina muda nao. Wanaweza wakawa binadamu wanaoishi kwa shida sana nchini. Siyo kiuchumi bali kijamii.

Tusipojifunza kwao tunaweza tusipate mifano mizuri yakujigunza. Ninachoweza kusema, upo umuhimu wakuishi maisha yako binafsi na ukatoboa. Mfano mzuri ni Mzee wetu Magufuli, hajawahi kuigiza maisha wala kuwa mnafiki apewe cheo. Hata alipodharaulika akapewa wizara ya vitoweo alipiga kazi hadi waliotaka kummaliza kisiasa wakatambua wamempa mailage zaidi na walianza wenyewe kumsifia.

Tunahitaji taifa lenye viumbe wenye misimamo iwe mizuri au mibaya ila iwe real. Hawa vinyonga wameisha kisiasa lakini wametuachia funzo kwamba hakuna binadamu atadumu na kumaliza salama safari ya UCHAWA.

HERI YA MWAKA MPYA KWA CHAWA WOTE, JITAFAKARINI
Ulitaka waonekane wap,kariakoo au magomeni?
 
Maisha yanaweza kubadilika wakati wowote na tukabaki tunashangaa, ni vizuri zaidi kuchunga majivuno yetu wakati tunapoona mambo yetu yanapanda.

Kuna wakati ulifika Dr. Bashiru aliona kabisa anaweza kuja kiwa Rais wa Tanzania, na pengine aliamini kama JPM 'angekubali' kung'atuka basi yeye ndiye angekuwa chaguo lake. Fikiria aliaminika hadi akapewa Ubalozi na ukatibu mkuu kiongozi ndani ya siku chache tu.

Yaliyotokea yakatokea na sasa imebaki simulizi.
In politics anything can happen anytime.Usishangae siku Bashiru akateuliwa kuwa Waziri,hao Wanasiasa wanajuana,nani alijua Makonda atarudi kilingeni?
Weka akiba ya maneno!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
In politics anything can happen anytime.Usishangae siku Bashiru akateuliwa kuwa Waziri,hao Wanasiasa wanajuana,nani alijua Makonda atarudi kilingeni?
Weka akiba ya maneno!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Hata akirudi atakuwa amepata somo vizuri sana. Huyo Makonda amerudi ila Kabaki kulazimisha watu wajitokeze kushindana naye ili apate credit.
 
Back
Top Bottom