vyuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ili mtoto aone raha kwenda shule ni lazima aende na hela ya walimu

    Vyuma hivi hata uvipake oil chafu haviwezi legea Chuma cha kwanza Kwa sisi tunaoishi uswahilini ni shule za msingi za serekali, hizi shule sasa wazazi tunawatumikia walimu bila kujua kibri hichi wamekitoa wapi tena Kwa kasi ya ajabu kupitia utafiti niloufanya ndani ya miezi 4 ilopita RAHA YA...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kujenga nyumba ya vyuma kwa kipato Cha 800k?!!

    Habarini wadau. Kutokana na udogo wa kipato na changamoto ya kutopatikana kwa miti ya maana ya kupaulia, napata wazo kichwani la kujenga na kupaua kwa kutumia vyuma. Sijajua gharama yake ila hiyo ndo ndoto niliyonayo......nahisi hilo litakuwa nafuu huko mbele (kwa maana nitatulia muda mrefu...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Naona vyuma vya China tutaanza kuvizoea sio muda. Ona ili Zeekr 9X SUV!

    Kuna hii plugin-hybrid (engine + kuchaji) full sized SUV Zeekr 9X kitu cha 2025. Engine yake ni 2.0L turbo i4, battery la 55 kWh au 70 kWh, kwa pamoja (full tank + full charge) unaenda kilometa 1,200+ Ni full SUV, kwahiyo kubwa karibia urefu wa mita 5.2, seat arrangement 2:2:2 so ni nzuri kwa...
  4. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Eti mtaalamu ila ukienda garage kwake unakutana na vyuma zaidi ya kumi vimelala

    Unakuta fundi anasifika mtaalamu wakutengeneza Range Rover ila shida ukienda garage kwake unakuta na range kibao zipo juu ya mawe kama mteja unapeleka chuma yako hivi upati wasiwasi kuwa unaenda kuongeza idadi ya range za kukaa ya juu mawe Simple explanation hospital inasifika kwa wagonjwa...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hakuna watu wavivu kama wanyanyua vyuma

    Usiwaone wana kifua kipana wamejazia full minyama. Hawa jama nje na kunyanyua vyuma ni wavivu vibaya mno. Mkute gym ananyanyua vyuma hadi kg200-300kg 🏋️‍♀️ lakini huyohuyo mpeleke kazi za shamba ataishia kula chakula chako chote bila kukifanyia kazi yoyote. Na hii imepelekea wengi wao...
  6. Mjusi Sharobalo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vyuma vimeumana kiwandani

    💘 Habari: Simu ya Mapenzi Juma na Asha walipendana sana, lakini walikuwa na tatizo moja — wote walipenda simu zao kuliko kila kitu! Kila wakikutana, badala ya kuangaliana machoni, walikuwa wanaangalia WhatsApp status. Siku moja, Juma akamwandikia Asha meseji ndefu ya mapenzi: “Nakuahidi...
  7. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Guys hapa Arusha kuna vyuma sio poa

    Aisee huu mji ni una warembo vibaya mno. Nipo hapa stendi ndogo jirani na Kimahama yaani shingo inataka kukatika sijui ni wa mkoa gani hawa mabinti wa Tanzania, warefu weupe/maji ya kunde ngozi nzuri,African figure aloo unaweza kuuza ukoo. Jamani wanadaslama huko nitarudi in two weeks, sirudi...
  8. Chibike

    JamiiForums Tanzania Hapa huchomoki hata uwe na misuli minene na kunyanyua vyuma

    Wanaume wenzangu muwe mnaenda kuchunguliamo mara Moja Moja Msije sema sijawaambia. Ukishawekwa hapa..ni mwendo wa sawa waifu wangu..ndio ndio..nakutumia waifu ...Ile nyumba ntaiuza tu hela zote nitakupa wewe waifu...sawa waifu...Kuna kingine waifu...ntazifua tu nguo waifu..wewe relax tu...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nasikia Tajiri Kakasirika na kaachia Mzigo wa maana wa Usajili hivyo kuanzia Wiki hii ni Vyuma tu Vinashuka Lawama Kugombana Sports Club

    Wadanganyeni wengine ila siyo Mimi oky?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye vyuma Vyalegea

    == Rais Samia ameongeza mzunguko wa fedha(M3) mara tatu, kutoka 5.7% mwaka 2020 sawa na TZS 30trilioni mpaka 14.6% sawa na TZS 54trilioni. Hii imesaidia kurudisha pesa mitaani na hivyo Kulegeza vyuma vilivyokaza wakati wa COVID 19. Watanzania OCT Tunatik ✅
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania China wanatoa vyuma vikali aisee: Imezinduliwa Li Auto i6, SUV moja ya kibabe sana!

    Li Auto i6 ni 5 seater SUV iliozinduliwa hivi karibuni, ikija na option mbili za AWD na RWD. Hii AWD ina motor mbili, moja mbele na nyingine axle ya nyuma. Inakuja na battery 102 kWh na inatoa 536 hp, na top speed yake ni 180 km/h. RWD ina motor moja kwenye axle ya nyuma, na ina total 335 hp...
  12. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kuna kampeni ya wizi wa vyuma vya earth (earthroad) na koki za shaba, kuweni makini

    Kwa wenye nyumba ambazo hazina uzio, kuna wahuni wanaiba earthroad na koki za shaba. Ni takriban wiki sasa wamepita mitaa mbalimbali ya Kibaha hasa Mlandizi. Kwakua huna ukuta, basi jitahidi chuma kichimbiwe chini zaidi na pia umwage zege around. Mwisho tunaomba jeshi la polisi kufanya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Missenyi yasema inachunguza madai ya baadhi ya Walimu Wilayani hapo kuwaagiza Wanafunzi vyuma chakavu

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja kuwa Baadhi ya Shule za Msingi Wilaya Missenyi-Kagera, Walimu wanawaagiza Wanafunzi vyuma chakavu kwa manufaa yao binafsi Mamlaka ya Wilaya hiyo imejibu madai hayo kwa kueleza kuwa inatuatilia suala hilo. Taarifa rasmi ya Halmashauri ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watanzania kwaherini, naenda zangu Palestina kufanya biashara ya vyuma chakavu!

    Nimechoshwa na swaga za ccm eti tumeleta maendeleo, maendeleo yepi hayo? ya kukamata wapinzani na kuwasweka lupango na kuwalazimisha watu wote wawe ccm utadhani watu wote wanapenda jehanamu Maana kazi nyingi izifanyazo ccm ni za jehanamu Naenda zangu Palestina (Gaza) kuuza vyuma chakavu...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania BearCat G3: Vyuma vipya vya kibabe wanavyotumia Polisi Tanzania!

    Lenco BearCat wanatengeneza armored vehicles kwaajili ya majeshi mbalimbali Duniani, ikiwemo SWAT. Kwa sasa Jeshi la Polisi wameleta vyuma ivyo kwaajili ya kurahisisha kazi zao. Model ilioletwa ni G3 ambayo imeonekana ikisimamia swala la ulinzi siku hizi mbili. Hii chuma ina engine ya V8...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Huu ni mtindo wa kuunganisha kenchi kutumia vyuma kama hawa mafundi huko Zimbabwe unatumika sana hapa?

    Hawa ni mafundi wanatayarisha kenchi kwa kutumia "truss plates" huko Zimbabwe kijijini.
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Smartphone za Oppo na Vivo zipo underrated sana. Wana vyuma vina camera iPhone yoyote haiweki mguu!

    Tuache Xiaomi na Huawei, hao habari nyingine kabisa. Yaani sio Samsung wala Apple apo atasogeza flagship yake. Tuongelee hawa wawili, Oppo na Vivo. Ukiwachukulia poa utasema ni garbage nyingine kutoka kwa Mchina, ila aisee hawa jamaa wana flagship kali sana. Mfano: Vivo X100 Ultra, na Oppo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wapi wanauza vyuma plate zakutengeneza matank ya mafuta petrol na diesel na vyuma vya canopy

    Msaada waku naulizia wapi au makampuni Gani wanauza vyuma plate zakutengeneza matank ya mafuta petrol na diesel navyuma vya nguzo za conopy na vifaa vyake oringina msaada wenu Dee pond ,agroprodct na wadaut wangine
  19. O

    JamiiForums Tanzania Nanunua vyuma chakavu nipo Dodoma

    Poleni na Majukumu wanajukwaa Nanunua Vyuma chakavu vya aina yoyote Nanunua. Chuma Dongo Bati Aluminum Copper Brass Cast Bettery Mbovu za gari, pikipiki na Bajaji. Nanunua Motor, Friji, AC, Compressor, Magari na pikipiki Mbovu. Napatikana Dodoma Kikuyu
  20. Brojust

    JamiiForums Tanzania VYUMA VIMEKAZA Vs SINA HATA MIA MBOVU

    Salaam wakuu. Waliosoma Cuba level za PHD washanielewa. Upi msemo at least unatia moyo. NB: please usitaje jina lolote, kwenye comment majibu ya jicho la 3D yatapendeza sana Nawasilisha.
Back
Top Bottom