brela

Brela (pronounced [brě̞la]) is a municipality in the Split-Dalmatia County of Croatia, population 1,771 (2001). The municipality consists of two villages: Brela and Gornja Brela. Village Brela is located on the Adriatic coastline of Dalmatia, about 15 km northwest of Makarska.
Brela is a tourist town located between the Biokovo mountain and the Adriatic Sea. It is known as the pearl of Makarska riviera. The pearl of Adriatic or the pearl of Mediterranean is the name given to the city of Dubrovnik. In 1968 Brela was crowned as "Champion of Adriatic" for high achievements in tourist activity.

The symbol of Brela is "Kamen Brela" (Brela Stone), a small rock island just off the main beach in Brela, the Punta Rata beach. In 2004, American magazine Forbes put the Punta Rata beach on the list of 10 world's most beautiful beaches, where it is ranked 6th in the world and 1st in Europe.

View More On Wikipedia.org
  1. chrisman49

    Msaada ison bpo ltd registration number toka Brela

    Habari ndugu zangu, Nina shida na namba ya ison bpo ltd toka BRELA, ISON ilikuwa inafanya kazi na Tigo miaka ya nyuma, ni kwa ajili ya madai ya PSSSF. Nawasilisha wakuu.
  2. mraniwene

    KERO Website ya ORS BRELA kila siku nikiingia haifanyi kazi

    Habari wadau, naona website ya ORS BRELA, kila siku nikiingia haifanyi kazi, mara inachelewa kufunguka. Je, inazidiwa matumizi au wadau wanafaidika kwa kufanya hivi? bado sijaelewa kabisa.
  3. daydreamerTZ

    Timiza malengo yako ya kibiashara 2024

    Nina imani nitakuwa mkombozii Kwako kwa sababu nina uzoefu wa masuala yote ya kusajili biashara (kama kampuni au jina la biashara) kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako. Huduma zitolewazo; 1. Kusajili Kampuni 2. Kusajili jina la biashara 3. Kuandaa memorandum and article of...
  4. Pascal Ndege

    BRELA ni kero kuanzia kufungua kampuni mpaka kwenye jina la biashara

    Kufungua kampuni ilikuwa kero miaka ya nyuma lakini naona kero imerudi licha ya kuwa kuna mfumo rahisi kabisa wa kusajili kampuni. Yaani business name inachukua hadi mwezi mmoja kama umejaza kila kitu sawa. Kuna Tabia ukikosea tu review inakuwa haraka kabisa na unaambiwa kurekebisha, lakini...
  5. T

    Usajili wa Kampuni Brela

    Kuna tatizo la usajili "ONLINE" wa kampuni BRELA. Baada ya kutimiza masharti yote ya ONLINE REGISTRATION ikiwa ni pamoja na kuingia gharama za usajili unaambiwa eti jina linafanana na kampuni iliyopo. Hii si sawa kabisa kwa sababu unakuwa tayari umeishafanya name clearance online. Kwa hiyo jina...
  6. F

    DOKEZO Rais Samia tafadhali chunguza BRELA kwani ni kikwazo kwa wafanyabiashara, bila hongo hufungui kampuni

    BRELA wamekuwa sababu ya wafanyabiashara wengi kushindwa kurasimisha biashara zao kwani ukitaka kufungua kampuni utapitia machungu na mwisho utaacha kabisa. Brela wamekuwa wanafanya masahihisho ya maombi kwa mtindo wa kuchelewesha ili mwombaji atoe rushwa. Brela wanasahihisha neno moja moja na...
  7. N

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Ndugu zangu watanzania, sisi wajasiriamali tunaojaribu kufuata sheria na kuwa complied na sheria za Nchi tunapitia mengi sana. Wakati wa JPM ulikuwa ukifanya returns BRELA au mabadiliko yoyote kwenye kampuni yako ulikuwa unapata huduma kwa haraka sana. Nina miezi mitatu nimefile BRELA returns...
  8. daydreamerTZ

    Kodi ya mapato ya makampuni | corporate income tax (statement of estimated tax payable na final return of income)

    Statement of Estimated Tax Payable na Final Return of Income ni nyaraka mbili tofauti zinazohusiana na kodi ya mapato nchini Tanzania. Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili: Statement of Estimated Tax Payable (Taarifa ya Kodi Inayotarajiwa Kulipwa): Hii ni taarifa inayojazwa na mlipa kodi...
  9. S

    BRELAHivi BRELA walishaita watu kazini kwa wale waliofanya usaili mwezi wa 7?

    Habari wakuu, Hivi BRELA walishaita watu kazini kwa wale waliofanya usaili mwezi wa 7?
  10. F

    Utendaji mbovu wa BRELA unaathiri uchumi wa nchi. Rais Samia tafadhali shughulika na taasisi hii

    Taasisi ya kusajili makampuni ya BRELA inafanya kazi bila weledi. Rushwa, uzembe na dharau kwa wateja vimetawala. Tafadhali mheshimiwa rais shughulika na watendaji wabovu BRELA.
  11. karv

    Msaada wa haraka kuhusu brela

    Habari za wakati huu wapendwa Naomba msaada wa haraka kuhusu usajili wa jina la biashara BRELA Nilifanya usajilin wa jina la biashara lakini kuna baadhi ya taarifa zilipelea hivyo kutakiwa kurekebishwa na nyingine kuongezwa lakini nilipoingia kwenye akaunti yangu napata ugumu wa kuendelea...
  12. X

    SoC03 Mapinduzi ya kiteknolojia katika kutatua changamoto za BRELA (Baraza la Usajili wa Makampuni nchini Tanzania)

    BRELA ni kifupisho cha Baraza la Usajili wa Makampuni nchini Tanzania (Business Registration and Licensing Agency). Ni taasisi ya umma iliyo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara na inahusika na usajili, usimamizi na udhibiti wa kampuni na biashara zingine zinazofanya kazi nchini Tanzania...
  13. daydreamerTZ

    Pita hapa, tupate elimu ndogo kuhusu kampuni

    Kuna sababu kadhaa kwa nini unaweza kuamua kusajili kampuni. Hapa kuna baadhi ya faida za usajili wa kampuni: 1. Utambulisho rasmi: Usajili wa kampuni hutoa kitambulisho rasmi cha biashara yako. Hii inamaanisha kuwa unapata utambulisho tofauti na wewe kama mtu binafsi. Hii inaweza kusaidia...
  14. daydreamerTZ

    Usipate changamoto kusajili kampuni au jina la Biashara BRELA tena

    Nina imani nitakuwa mkombozii Kwako kwa sababu nina uzoefu wa masuala yote ya kusajili biashara (kama kampuni au jina la biashara) kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako. Huduma zitolewazo; 1. Kusajili Kampuni 2. Kusajili jina la biashara 3. Kuandaa memorandum and article of...
  15. Y

    Njia zipi nifuate ili kupata Zabuni ikiwa nina usajili wa BRELA?

    Nina kampuni yangu(Co ownership) ambayo officially imesajiliwa BRELA, kwakuwa kampuni bado changa nami pia bado ni underdog ktk mifumo ya uendeshaji wa kampuni na namna bora ya kufuata ili kupata tenda ktk taasisi binafsi hata zile za serikali, Naomba walau npate elimu kutoka kwa wajuvi wa mambo.
  16. Smart Technician

    Kwa mliowahi kusajili kampuni brela online

    Habari. Kwa wale mliofanikiwa fungua kampuni brela mlifanyaje kwenye hii form 14b brela wamenipa maelekezo niitoe hio form. Lakini kila nkiitoa system inagoma kuendelea mbele. Inasema form 14b is required. Na namna ya kuwapata imekua ngumu. Comment walionipa hii hapa Remove for 14b for...
  17. R

    Transfer vacancies at Brela Tanzania

    Wadau wenye sifa tajwa na wanaohitaji kuhamia ktk taasisi hyo. THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF INDUSTRY AND TRADE BUSINESS REGISTRATIONS AND LICENSING AGENCY Ref. No JA.9/259/01/A/271 06th April, 2023 PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT TRANSFER VACANCIES On behalf of the...
  18. daydreamerTZ

    Fahamu kuhusu hisa za kampuni binafsi (shares of private company)

    HISA ZA KAMPUNI BINAFSI Hisa za kampuni binafsi ni hisa zinazomilikiwa na watu wachache ambao wamealikwa na kampuni kushiriki katika umiliki wake. Kampuni binafsi mara nyingi hazina nia ya kuorodheshwa kwenye soko la hisa na kuuza hisa zao kwa umma. Kwa kawaida, hisa za kampuni binafsi...
  19. Heart Wood.

    BRELA ni Taasisi ya kuigwa nchini kwa huduma bora, kwakweli wanastahili pongezi!

    Wakuu moja kwa moja kwenye mada bila kuwachosha. Mimi siyo Chawa wala mtumishi wa BRELA. Mimi ni mdau tu mnufaika wa huduma za BRELA. Kwa wasiojua, BRELA ni Taasisi inayoshughulika na masuala ya usajili wa biashara /kampuni na kutoa leseni za biashara/kampuni nchini. Mie nimekuwa mnufaika wa...
  20. King snr

    Msaada usajili wa Trademark Brela kipengele cha Nice description

    Naomba msaada kwenye hii sehemu baada ya kujaza nice class ambayo service yangu imo natakiwa kuweka nice class description Ni zipi hizo? Mfano nice class yangu Ni 42 Kwenye nice description naandika nini?
Back
Top Bottom