TANESCO na umeme wenye kujua sikukuu

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,882
35,899
Huu umeme wa TANESCO kumbe unazitambua sikukuu?

Kwamba huwepo kwenye sikukuu na kuwa zikiisha tu, ile kazi pendwa ya awamu #6 inaendelea!

Bila shaka hapa tulipo sasa itakuwa bila bila, hadi mwaka mpya.

Ipo haja ya kuingia chimboni kutafuta namna ya kutunza umeme kwa matumizi ya baadaye pindi unapo katika kama hivi.

Ingekuwapo namna nani asinge hifadhi japi kwenye ndoo moja ya akiba?
 
Wapuuzi TANESCO wanakata makusudi, wakati wa sikukuu umeme upo, zikiisha wanaturudisha kukata


Kwamba una macho siyo? Kama hamna wengine kipara na maharage wajaribiwe nao kwenye kipindi hiki cha mvua.
 
Ingekuwa Yuko Makanba kelele zake zisingetosha. Mbona Sasa hamlaumu waziri wa nishati tena kama muda ule wa makamba. Nyie na ukabila wenu utawaua
 
Back
Top Bottom