sahihi

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Makonda ni tatizo ila mfumo wake unakubalika na wengi waliochoshwa na ubabaishaji

    Nafikiri wengi tunakubaliana kwamba utoaji wa huduma za umma za watumishi katika sekta na maeneo mbalimbali una urasomu uliopitiliza, changamoto na usumbufu mkubwa sana. Kuna aina fulani ya uvivu, uzembe, wizi wa mali za umma na mazoea ambapo imekuwa kama utamaduni sasa katika watumishi wa...
  2. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Zijue fursa zilizopo kwa Kila mkoa ili uamue vyema sehemu sahihi ya kuishi na kuwekeza kwa muda mrefu

    Hii ni makala maalumu kwa ajili ya kuweka fursa adhimu zilizopo kwenye mikoa yote iliyopo Tanzania. Zipo fursa ambazo zinajulikana na kila mtu, ila hapa napendekeza tuorodheshe fursa mbalimbali ambazo tuna uhakika wageni katika eneo hilo hawazijui. Zipo fursa zilizojificha ndani ya fursa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni wakati muafaka na sahihi kwa David Kafulila kurejea Bungeni mwaka 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa letu,uchapa kazi wake, upendo wake kwa Wananchi. Tunafahamu vyema na kwa undani uwezo wake wa kujenga hoja...
  4. De Rama Msirikale

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii na vyombo vya mawasiliano kuhamasisha kuleta maendeleo nchini kwa miaka 5 hadi 25 ijayo

    **Makala: Matumizi Sahihi ya Mitandao ya Utangulizi Katika dunia ya leo, mitandao ya kijamii na vyombo vya mawasiliano vinachukua nafasi muhimu sana katika kuendesha mabadiliko ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Tanzania, kama sehemu ya jamii ya kimataifa, ina nafasi kubwa ya kutumia vyema...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha: Kuna uchafuzi mkubwa wa mazingira unafanyika maeneo ya Friends Conner na Soko la Samunge

    Habari, wanaouza viungo vya chakula, mboga za majani, matunda na bidhaa nyinginezo maeneo ya barabarani hasa maeneo ya friends Conner Arusha na maeneo ya soko la Samunge upande wa chini mwa soko mbele ya kituo cha kurekebisha tabia za watoto(magereza ya watoto Arusha) wapo watu wanaofanyia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Makonda yupo sahihi kuwahenyesha maboss wilayani

    Kama ulishaenda kuomba huduma yoyote kwenye ofisi za umma hasa ardhi, tanesco, maji nk utamuunga mkono mtumishi wa Mungu Daudi anavyowakerembesha ili watie adabu. Kama wewe ni mtumishi wa umma Ngazi ya chini utamuunga mkono kijana wa Mzee Albert Kwa utume wake huko chugastan. Wakuu wa taasisi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali inapata hasara ya mabilioni kwa watumiaji wa mifumo ya TEHAMA kulipia huduma isiyoendana na kiasi cha fedha kilicholipwa

    Kuna jambo nimelifanyia utafiti nimegundua makampuni na mashirika ya umma yanaiba fedha nyingi sana serikalini. Kuna fundi nilimtuma akalipe huduma ya kuunganisha maji. Nakumbuka jumla ya fedha zilizoletwa kama bill kwenda serikalini ilikuwa zaidi ya laki saba na sabini na nane. Nilimpa moja wa...
  8. Mr Bakari Yusuph

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tokomeza adhabu zinazokabili Mazingira yetu kama Dhamana Sahihi ya Tanzania Safi na Salama 2030

    Utangulizi Tanzania ni nchi iliyo barikiwa ecologia na bainuai nyingi ikiwemo ardhi yenye rutuba,Mito mkubwa kama Rufiji,Maziwa pekee ziwa Victoria ,mabonde misitu ya asili kama msitu wa asili wa Amani Tanga pamoja na bahari ya hindi na mengine mengi.Tunategemea mazingira yetu kwa...
  9. De Rama Msirikale

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi sahihi ya ukuaji wa teknolojia na mawasiliano ili kukuza pato la uchumi kwa wananchi miaka 5 hadi 10 ijayo

    Matumizi Sahihi ya Ukuaji wa Teknolojia Duniani: Njia ya Kuinua Uchumi wa Mtanzania kwa Miaka 5 hadi 10 Ijayo Katika ulimwengu wa leo unaobadilika kwa kasi kutokana na maendeleo ya teknolojia, Tanzania ipo katika nafasi ya kipekee ya kutumia ukuaji huu kuboresha uchumi wake. Hapa chini ni...
  10. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tunaitaka Tanzania ya watanzania shupavu, hodari na imara wenye kufanya maamuzi sahihi na kwa haraka

    UTANGULIZI Dunia iliumbwa kwa misingi ambayo ni sawia kabisa. Nikiwa na maana ya kwamba kila pande ya dunia kuna namna ilipewa rasimali ambazo zitawasaidia wakazi wa eneo hilo, kuweza kuendesha maisha na kuyafanya yawe rahisi. Wenzetu wa bara la ulaya wana ufinyu wa rasilimali na hali ya hewa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Bishop Gwajima alikuwa sahihi kupinga majaribio ya Chanjo za COVID 19, abarikiwe

    Salaam, Shalom! Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania ni majaribio, Kwa kuwa hazijafanyiwa Utafiti wa kutosha,hivyo Si sahihi miili ya Watanzania kugeuzwa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Analipeleka na kuliongoza Taifa katika Njia Sahihi na yenye kuleta Matumaini kwa Mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Ni hatari sana kuwaongoza watu na kuwapeleka katika njia ambayo haiwapi matumaini ya maisha na wala haionyeshi kuleta unafuu wa maisha kwa watu wala uhakika wa kutimiza ndoto zao au kuinuka kiuchumi. Njia ambayo muda wote watu wanaona giza mbele yao,hawaoni wanakokwenda...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Helkopta unaonekana siyo usafiri sahihi kwa viongozi wa kitaifa; nini maoni yako?

    Tumeshuhudia usafiri wa helkopta ukiondoa nafsi za viongozi mbalimbali hasa katika kampeni za kisiasa au operesheni mbalimbali zikiwemo za kijeshi. Ni usafiri ambao unafaha sana kuzunguka eneo kubwa kwa muda mfupi lakini ukumbana na changamoto kubwa ya hali ya hewa au hitilafu. Akili yangu...
  14. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hapa nawaachia wanaoijua vizuri dini mtoe maoni yenu. Rasta Yuko sahihi ?

    Tunaosoma kundalini tunaweza kumuelewa kuwa trik za dunia zipo nyingi kuhusu dini.
  15. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?

    Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?
  16. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

    Kuheshimu imani ya mtu, hasa katika nchi isiyo na dini, ni suala nyeti sana. Ndiyo maana Watanzania wengi wanapotaka kufanya sherehe, kama si Waislamu, huhakikisha kuwa mchinjaji wa nyama itakayotumika ni Muislamu. Lakini itakuwaje ikiwa wewe si Muislamu na ukatembelewa ghafla na rafiki...
  17. KENZY

    JamiiForums Tanzania Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    Mada hii itakuwa ni mada maalum ya kujulishana usahihi wa maneno yakiswahili,sanasana uandishi wa maneno hayo au maana n.k Yapo maneno yanayotutatiza ama katika uandishi au matumizi yake,hapa pawe uwanja wakuchambua,kurekebisha nakuelimishana juu ya maneno hayo. Nikianza namimi binafsi maneno...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hili nimeliona sana tu kwa Walinzi wa Majumbani sehemu mbalimbali je, ni sahihi Kiulinzi au wanahitaji Msasa zaidi?

    Haiingii Akilini Mlinzi unaagana nae Usiku Saa 4 unamuacha kakaa Lindoni huku Taa inammulika, ukiamka Usiku Kimachale ili nawe pia kufanya Lindo lako la Kisirisiri kwani Siku hizi hakuna Kuaminiana bado unamkuta kakaa pale pale Taa inammulika halafu Asubuhi ukiamka na Kukutana nae anakuambia...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kununua shamba ambalo lilikuwa na mgogoro kwa zaidi ya miaka mitano?

    Namshukuru mungu mwingi wa Rehema na muumbambaji wa vitu vyote vilivyopo duniani. Mimi ninampango wa kuanza kufanya shughuli za kilimo ili nifanikiwe, sasa katika kufuatilia utaratibu nitumie kilimo kipi Kwa maana nikodi mashamba au ninunue ndipo nikapewa mchongo na mtu ambaye nafahamiana naye...
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Umri gani sahihi kumjulisha mtoto wa kuasili kuwa ulimuasili?

    Hii inawahusu watoto wanaoasiliwa wakiwa wadogo, kabla ya "kujitambua". Ukiema usubiri mpaka awe mtu mzima ndipo umwambie ukweli, inaweza isiwe sahihi. Kunaweza kumwumiza nafsi kufahamu kuwa kipindi chote alichoishi na wewe hakuwa mwanao wa kumzaa. Ukisema umjulishe angali akiwa mdogo, alu...
Back
Top Bottom