kujifunza lugha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania App gani ambayo mswahili naweza kujifunza lugha za kigeni?

    Nataka kujifunza lugha za kigeni. Kiingereza na Kichina. Kuna app ambayo inafundisha lugha za kigeni kwa waliozaliwa wakiongea kiswahili? Naona watu wengi wanajifunza lugha kupitia hizi app.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike nchini Tanzania wafuata ndoto zao kwa kujifunza lugha ya Kichina

    Shule ya Sekondari Zanaki jijini Dar es Salaam, shule ya wasichana inayomilikiwa na serikali ya Tanzania, mwanafunzi wa kike anayeitwa Rosemary Thadei Mushi anasimama mbele ya wanafunzi wenzake, akiwaongoza kwa umakini jinsi ya kutamka maneno ya Kichina kwa kufuata lafudhi sahihi. Katika...
  3. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Ni wapi kwa Arusha ninaweza kujifunza lugha ya kichina?

    Habari za jioni wapendwa.ninatumaini nyote mpo salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.naombeni msaada wenu tafadhali.Mahali pawe ni Arusha. Ninatanguliza shukrani za dhati🥂.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Safari ya binti wa Kenya kujifunza lugha ya Kichina yavutia wengi

    Lugha ya Kichina inaendelea kupata umaarufu katika nchi na sehemu mbalimbali duniani, na vijana wengi wanapenda kujifunza lugha hii kwani imekuwa ni daraja la kuunganisha tamaduni za nchi mbalimbali. Miriam Wambui, binti wa miaka 13, anazungumza lugha hii ya Kichina kwa kujiamini sana kama...
  5. Sina Million 30

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa Kujifunza Lugha za Makabila ya Tanzania: Comment Jinsi mnavyosalimia na chochote tafsiri kwa kiswahili

    Kiswahili kikikuzidi sana unaweza ukawa "Kiongozi wa Kitaifa" ila lugha ya Asili ni muhimu sana.. Kama mgeni ukisafiri utahitaji mahitaji mbalimbali ikiwamo Lodge, Manunuzi ya Vitus, na Kujitambulisha kwa wenyeji ikiwamo Mwenyekiti wa KIJIJI, Balozi wa Nyumba Kumi ili ufahamike,, Sasa pitia...
  6. Nipher_21st

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujifunza lugha ya kifaransa online na kupata cheti, sehemu gani sahihi ya kujifunzia?

    Sehemu gani sahihi ya kujifunza Kifaransa na kupata CHETI?
  7. Nipher_21st

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kujifunga lugha ya kifaransa Online?

    Ni sehemu gani online naweza kusoma French na kupata cheti cha utambulisho kuwa nimesoma lugha hiyo?
Back
Top Bottom