Usafi wa mazingira ni ustaarabu, usafi binafsi ni utu. Tusiwe chanzo cha kero kwa wadau wengine mtaani kwetu kwa matumizi yasiyosahihi ya miundombinu ya maji au matumizi ya makusudi kwa kuharibu.
Serikali inajenga miundombinu hii kwa matumizi ya wananchi wote na kuimarisha afya ya jamii yetu...
Kwa niliyo ya fanya JamiiForums nidhahiri mimi ni mtu maarufu na ninastahili platinum badge.
Enyi mods nahisi mnatambua makubwa niliyo ya fanya, humu
1: Kuanzisha nyuzi ngumu Kumeza na kubaki katika majibizano bila kukimbia
2: kuonesha kuwa ukweli ambao wengi wanadhani ni sahihi unaweza kuwa...
Kosa kubwa zaidi ambalo mwanaume anaweza kufanya katika ulimwengu wa leo siyo kufeli kibiashara, bali ni kumkaribisha mwanamke anayekuja kuharibu amani yake ya ndani. Maisha ya mwanaume ni uwanja wa vita wa kila siku; anapambana na uchumi, ushindani wa mtaani, na presha za jamii. Nyumba na...
Hiyo post ya Lema ya kuahirisha press inaonesha ni kweli anatishiaga kufanya press na hiyo post yake anamaanisha Heche kambembeleza kwa hotuba ndo mana akaahirisha na hiyo kusema ameahirisha ni KITISHO kuwa wakimzingua anaita press anamwaga uharo wa Heche sababu Lema inaonesha kabisa hampendi...
Ndani ya hii miaka sita 6 tokea niamue kuachana rasmi na ajira, kuna kitu nimejifunza kuhusu ujasiriamali ambacho ningependa vijana wengi wakijue mapema na I hope wengine wengi wamekifahamu pia. So ni suala labda niseme la kubadilishana uzoefu tu, kasoro kwa wale ambao hawajajitosa kikamilifu...
Kwa wanaoamini mungu huu ni muongozo wa kuwafanya wasioamini mungu(atheists) waweze kumuamini mungu
1. Thibitisha kuna supernatural (nguvu kuu iliyo zaidi ya nguvu za asili)
2. Thibitisha hiyo nguvu kuu ni mungu tena mwenye nafsi na utashi (personal god)
3. Thibitisha huyo mungu anataka...
My Take
Nilitoa ombi Kwa mamlaka la kumteua Makonda Wizara ya Kilimo lakini halijafanikiwa.
Narudia tena kuwaombea wahusika watubadilishie Uongozi wpale Wizara ya Kilimo Kwa sababu walioko wameshindwa kuwalinda Wakulima na hatusikii tena ajenda za kuwalinda Wakulima Wadogo hususani kwenye...
Wote tunajua Dudu baya anapinga ushoga kwa kauli mbiu ya You better watch your back
Afande amekosea kitendo cha Waziri wa mambo ya ndani, kuwaita mashoga kwamba ni Wasanii na akawaita wakutane naye. Humo humo kwenye mashoga akaita na wasanii ambao ni kioo cha jamii. Pia kuna watu si wasanii...
Ukiwa sehemu ambayo sio sahihi, hata utoe kilicho bora zaidi kwako, wala hakitatosha.
Lakini ukiwa sehemu sahihi, uwepo wako tu unatosha kuwa sababu ya kusherehekewa na kuthaminiwa.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) akizungumza wakati wa kikao kilichokutanisha viongozi kutoka matifa mbalimbali katika Ubalozi wa Uingereza nchini Mongolia. Kulia ni Mwakilishi Maalumu wa Uingereza nchini Mongolia Bi...
N:B: inawezekana kwa mara ya kwanza Rais na Makamu wake wakawa wote wanawake kama Namibia.
Kwavile Rais ni Mkristo, kuna uwezekano mkubwa ataweka balance kumteua Makamu wake Mksristo
MWIGULU
GWAJIMA
PAUL MAKONDA
RHIMO NYANSAHO
Tanzania tuna vyama vya upinzani ambavyo viongozi wake wanaweza kuhamia CCM wakati wowote kama "mazingira " yataruhusu wao kuhamia. Mfano ya viongozi waliohamia CCM ni mingi sana tukianzia na Prof. Kitila. Wananchi wamekosa imani na vyama
Tanzania tuna vyama vya upinzani ambavyo viongozi wake...
Japo mimi sio nwanasheria, ila najiuliza kama ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani kutoa ushahidi kwani alishawataja katika hatua za awali na mawakili wa Serikali hawakupinga.
Sasa swali: Kama hawakupinga mashahidi aliowataja Lissu katika mahakama ya...
Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja.
Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani...
Kaniuliza kwamba.....
Kati ya sim na biblia, ilitokea vimeanguka kwa pamoja... nitawahi kudaka nini??
Mie nimemjibu, nitaiwahi sim na kuacha biblia ianguke.
Yeye akaniuliza.... kwanini sio niwahi kwanza biblia?
Nikamjibu tena kwamba..... biblia hata ikianguka, neno la Mungu haliwezi vunjika....🤭...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema uamuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ndio utaratibu wa Sheria za Kikanda na Kimataifa ambapo ametoa mifano ya nchi mbalimbali zilivyounda tume za kuchunguza masuala yaliyotokea katika nchi zao.
Ameyasema hayo alipokuwa...
Swali la kama mume ana haki ya kumpiga mke wake linazua mjadala mkubwa katika jamii.
Baadhi ya watu bado huamini kuwa mwanaume anaweza kumchapa mke wake kama njia ya kumwadhibu anapokosea au kutokubaliana naye, lakini wengine wanapinga vikali mtazamo huo na kusema migogoro ya ndoa inapaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.