unampenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Unampenda kweli, au unamuonea huruma?

    Karibuni tena kwenye kiota cha Malavidavi hapa JF, leo Mjanja M1 nina swali kwako Mdau. Ni kweli unampenda mpenzi wako au unamuonea huruma tu? TIRIRIKA MKUU HAKUNA ANAEKUJUA HUMU.....!
  2. M

    Je unampenda mwenza wako kuliko Ex wako?

    Leo Mjanja_M1 nimeamua kuuliza swali chonganishi ambalo naamini mtalijibu kwasababu mnatumia Fake ID's. Unampenda mwenza wako wasasa kuliko Ex wako? Tiririka Mkuu......
  3. Uwesutanzania

    Binadamu hanaga shukrani hivyo kama unampenda we mpende tu

    Binadamu siku zote hanaga shukran hivyo kama unampenda wee mpende tu tena mpe kila kitu ila hatutaki kelele baadae. Wengi wamelizwa kwa kusubiri kutegemea SHUKRANI kutoka kwa wapenzi wao kutoka kwa WATOTO wao kutoka kwa MARAFIKI zao. Hivyo basi kama unampenda wee mpende tu tena mpe kila...
  4. H

    Hivi dada ukiwa unampenda mwanaume halafu yeye hakutongozi, huwa mnafanya nini?

    Hivi dada ukiwa unampenda mwanaume alafu yeye hakutongozi, hua mnafanya nini?
  5. Mayor Quimby

    Mwanamke anatangaza mapenzi yake hadharani; wewe nani kusema hadharani unampenda zaidi?

    It’s a culture issue (watanzania tuna matatizo), kusema unampenda mwanamke wa mwenzako nchi za wenzetu it’s a very disrespectful situation. Ni kwa sababu tunaishi Tanzania tu; nchi nyingine utaumizwa. Halafu kuna watu wanasifia ujinga wa Harmonize; huwezi kumuimbia mapenzi mchumba wa mtu...
  6. Mr Lukwaro

    Je, utajuaje kama unapendwa au unampenda mtu?

    Hili ni jambo nyeti sana, sometimes ni ngumu kujua je umempenda mtu au umemtamani mtu, au mtu anakupenda kweli au amekutamani tu. Can I have your attention, kwa wale ambao wanashindwa kujua kuwa wamempenda mtu kweli au wamemtamani tu? 1. Kumpenda jinsi alivyo, no matter anamiliki nini, je ni...
  7. M

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa kuishi pamoja, kwani kuishi peke yako Kwa vijana kuna changamoto nyingi na wengi wetu hatupendi Ila...
  8. R

    Kwa wanaume, piga simu kwa baba yako umwambie unampenda kisha uturudishie majibu hapa

    Hili zoezi lilifanywa siku ya baba duniani Kenya, ambapo wanaume waliambiwa wawapigie simu baba zao na kuwaambia wanawapenda. Wengine walikuwa hawajawahi hata siku moja kuwaambia baba zao wanawapenda. Uko tayari kujaribu zoezi hili? Tuambie baba yako alijibu nini ulipomwambia unampenda...
  9. Etugrul Bey

    Unapomkosea mwanamke, Usimwambie Unampenda, badala yake muombe Msamaha!

    Ikiwa Leo ni siku ya wanawake duniani ningependa nichangie mawili matatu. Wanawake kama walivyo wanaume nao huwa Wana hisia za furaha na huzuni pia, kutofautiana katika ndoa ni Jambo la kawaida Sana kwasababu binadamu hatuja kamilika hivyo huwa tuna fanya makosa ima Kwa kujua au kutokujua au...
  10. Pascal Mayalla

    Amri Kuu Kuliko Zote ni Upendo! Mpende Mungu, Ipende Nchi, Wapende Viongozi, Mpende Jirani Yako Kama Nafsi Yako!. Jirani yako ni Nani?, Unampenda?

    Heri ya Krisimasi, Merry Christmas Sikukuu ya Krisimasi kwa mwaka huu imedondokea siku nzuri ya Jumapili! Hii ni Makala ya Jumapili ya Krismasi. Kwa mafundisho ya dini ya Kikristu, tuliyopewa na huyu Masiya aliyezaliwa leo, Bwana wetu Yesu Kristu, aliulizwa amri kuu kuliko zote ni amri gani...
  11. Sky Eclat

    Mzazi wako anapokuwa kwenye mahusiano rasmi yaheshimu kama kweli unampenda

    Wengi tungependa kuishi na kulelewa na wazazi wetu waliotuzaa lakini maisha yana changamoto nyingi. Kuna wanaozaliwa na wazazi wanapoteza maisha, wengine ni matokeo ya kubakwa, wengine ni mimba za ujanani wakati wazazi wote hawana dira za maisha. Wengi wetu pale unapomuelewa mtu na kuanza...
  12. financial services

    Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

    Habari wakuu. Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo...
  13. Mboka man

    Mpe mimba mpenzi wako iwe kama kishika uchumba, kama kweli unampenda

    Kwa wale wanaume wenzangu mliopo katika mahusiano ya muda mrefu na mnawapenda sana wapenzi wenu na hamtaki kuwapoteza basi tieni mimba hao wachumba zenu kama vishika uchumba mtoto akizaliwa mtajua mtaleaje. Haya mambo ya kupeleka barua sijui posa sijui nyumbani kwao wanaitambua kwetu wanamjua...
Back
Top Bottom