kunyonyesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. huskryderz

    JamiiForums Tanzania RITA, Huduma Zafungwa Kisa "Kunyonyesha"

    Hello Wadau, Naomba tusaidiane kupaza sauti kuhusu suala hili. Leo nimefika Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) kwa ajili ya kupata huduma. Nilifika ghorofa ya tatu, nikakutana na afisa mmoja wa RITA ambaye sikufanikiwa kupata jina lake. Nilimuuliza kuhusu huduma...
  2. upupu255

    JamiiForums Tanzania KWELI Mama aliyegundulika kuwa saratani wakati wa matibabu hushauriwa kuacha kunyonyesha mtoto

    Wakuu kuna hoja huwa nakutana nayo mtandaoni kuwa kunyonyesha humsaidia mama kujikinga dhidi ya saratani ya matiti. Je, vipi kwa ambaye tayari amebainika kuwa na Saratani ya matiti kunyonyesha ni salama na kunaweza kusaidia kuondoa saratani?
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Elimu Omari Kipanga: Wanafunzi wenye watoto wanapewa nafasi ya kunyonyesha

    Serikali imeweka mazingira rafiki kwa wanafunzi wenye watoto wachanga kupitia elimu nje ya mfumo rasmi, ili kuwawezesha kunyonyesha watoto wao kwa wakati wanapoendelea na masomo. Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Najma Giga bungeni leo, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari...
  4. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa mwanamke kunyonyesha hadharani?

    Katika mwili wa mwananke kifua ni sehemu nyeti na haipaswi kuonwa na watu wengine zaidi ya mwenye mamlaka tu, yaani Mume. Lakini tunaona baadhi ya wanawake wakinyonyesha watoto wao hadharani bila kuficha au kusitiri vifua vyao, mfano katika vyombo vya usafiri au sehemu zenye mikusanyiko ya...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkufunzi atoa hadhari kwa wamama wanaonyonyesha wale waliozidi uzito

    Mkufunzi wa Mazoezi kutoka Shirika la Vyama vya Magonjwa Yasiyoambukiza (NCD), Dk. Waziri Ndonde amesema katika kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza kwa mwanamke anayenyonyesha mwenye uzito kupita kiasi, anatakiwa kutumia dakika 150 kwa wiki kufanya mazoezi. Dkt. Ndonde alitoa angalizo hilo...
Back
Top Bottom