wasomi

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. L

  Wasomi wa Chuo kikuu cha Dar Es Salaam Kupitia Mkwawa Kitu Gani Mmeandika Hapa?.

  Ninavyojua Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar Es Salaam na matawi yote ya chuo hicho kikiwepo chuo kikuu cha Mkwawa pale Iringa ni Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete. Kunapokuwa na dhifa ya chuo inayofanya kuwepo kwa mkuu huyo kuwepo hatuwezi kusema mgeni rasmi ni Mkuu wa Chuo bali huyo...
 2. KEROZENE

  Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa

  Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa (Mkuu wa Jopo la Mawakili) wa hovyo hovyo waliojitutumua Kupambana na Wakili Msomi Mmoja tu Raia wa Ghana huko CAS Bernard Morrison na leo Kawaumbua. Kuna Wakili Msomi Mmoja (tena Mwandamizi tu) aliwahi kunipa Takwimu za Kesi...
 3. Mparee2

  Tafiti za wasomi zisaidie Taifa

  Tumekuwa na wasomi wangazi za juu (Masters na phd) wengi sana wana maliza kila mwaka; Ila inavyo onekana kuna baadhi ya tafiti hazina umuhimu wowote wa maana kwa maisha ya watanzania Natamani: 1. Vyuo viwe na maono ya kufanya tafiti nyingi za kutatua changamoto za watanzania kwa sasa tuachane...
 4. B

  Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Bure kwa Mawakili Wasomi - Utetezi

  Awali ya yote pokeeni pongezi za dhati kwa kazi takatifu mnayoifanya ya kuisaka haki katika mazingira magumu. Kazi yenu ni ngumu zaidi hasa ikizingatiwa kuwa mafanikio yoyote yanayopatikana yanahatarisha matumbo ya watu yenye uchu uliopitiliza. Jambo moja la hakika lenye kutia moyo ni kuwa...
 5. Replica

  Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

  Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana kesi iliahirishwa kutokana shahidi kupata dharura ya kiafya na upande wa utetezi haukutoa kikwazo chochote kwenye sababu hiyo. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami. ==============...
 6. K

  Wale madada zangu Wasomi wanaharakati

  Huku bongo mnasema wanaume waoga,hawajiamini sijui mfumo dume. Haya utafiti wa huko ulaya.
 7. covid 19

  Mchango na nafasi ya vijana wasomi kwenye maendeleo nchini

  Habari ndugu, wana jf katika kuadhimisha kumbukumbu ya mwalimu. Nyerere baba wa taifa nimeona nilete mada hapa ili tuijadili kwa pamoja kuhusu "mchango na nafasi ya vijana wasomi kwenye maendeleo nchini". Kwanza ifahamike kwamba kwa tanzania kijana msomi ni yule aliyepata cheti cha elimu...
 8. GENTAMYCINE

  Waziri Simbachawene, kama umekiri Wasomi hawawezi na hawapendi kushika Silaha, kwanini huwa mnawalazimisha waende Mafunzo ya JKT?

  Wakati GENTAMYCINE nikisubiri Jibu lako Waziri Simbachawene nitoe tu Ushauri wa bure kwa Viongozi na Watu maarufu nchini hebu ajirini Wasemaji wenu ili wawe wanawafichia Mapungufu yenu ya Kiuwasilishaji kwa kuna Kauli zingine huwa mnazitoa na kutupa hata Mashaka kama kweli mlipita Shuleni na...
 9. Meneja Wa Makampuni

  Wasomi ndio wanaiongoza hii dunia, wasomi waheshimiwe

  Jana kuna mtaalam mmoja wa coding amehack mitandao ya Facebook, WhatsApp, na instagram dunia nzima ilisimama, viongozi wote walisimama, wasanii wote walisimama. Mpaka wengine walitaka kupasua simu zao. Na wengine Kutaka kushika watu uchawi. Jana hata mawaziri walikua wanahaha mitandao...
 10. Mtumaini Mungu

  Wasomi Mbona Mnalia Sana Ajira Za Majeshi?

  Ee Bwana, Mtakatifu Mungu wetu sifa na utukufu ni Mali Yako nami kwa unyenyekevu mkubwa navirejesha kwako Sasa na hata Milele. Ndugu watanzania wenzangu, hapa karibuni zimetolewa nafasi nyingi za ajira katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, kuanzia Jeshi la Polisi Tanzania chini ya Afande...
 11. Gnyaisa

  Story of Change Wasomi wetu wamekosa mvuto, nini kafanyike?

  Zaidi ya miaka 15 iliyopita wakati nikiwa ningali mwanafunzi wa shule ya msingi, ndoto yangu kubwa ilikuwa kufikia elimu ya Chuo Kikuu. Wakati huo sikuwa na matamanio ya kuwa daktari bingwa, mwandishi nguli au mwanasheria aliyebobea kwa sababu niliamini nikifika Chuo Kikuu nitayafikia matamanio...
 12. Gnyaisa

  Story of Change Vyuo Vikuu, tuzalishieni wasomi na siyo wasomaji

  Tofauti kubwa iliyopo kati ya “MSOMAJI” na ‘MSOMI” ni kwamba mmoja husoma au kutamka kile kilichoandikwa “mbele” yake na mwingine husoma au kutamka kile kilichoandikwa “ndani” yake. Kwa lugha nyepesi tunaweza kusema mmoja huamini sana katika kile anachokiona kwa muonekano wa nje na kisha...
 13. comte

  Ningejua mapema ningesoma sosiolojia ili kusaidia jamii kuliko kusaidia wahalifu kama wale mawakili wasomi wanavyojinadi

  “I am a sociologist because. . . .” I am curious about the world in which I live I am fascinated by all things social I am intrigued about why people do the things they do I am interested in how people interact with each other I believe that society is a human invention and I want to know how...
 14. Gnyaisa

  Story of Change Vijana tukijitambua jamii itatuheshimu na kutuwezesha

  Katika kitabu kitakatifu cha Biblia kuna simulizi maarufu ya safari ya wana wa Israeli kutoka uhamishoni Misri kuelekea katika nchi waliyoahidiwa na Mwenyezi Mungu. Nchi iliyokuwa na kila aina ya neema na furaha, yenye kutirirsha maziwa na asali masaa yote! Simulizi ile inaelezea jinsi wana wale...
 15. Btitle

  Story of Change Chanzo cha umaskini kwa wasomi wa Afrika

  Habari zenu wapendwa karibuni katika makala ii ambayo tunaangazia nini chanzo cha umaskini kwa wasomi wa afrika Kabla sijaanza kuzizungumzia sababu ningependa kuwafamisha wasomaji kua napozungumzia wasomi najumuisha waitimu wa vyuo na waajiriwa wa serikalini ata walojiajili 1...
 16. M

  Madhara yawapatayo namba kubwa ya wasomi mitaani

  Asilimia kubwa ya familia zilizopo Tanzania wazazi na walezi wameweka imani yao katika Elimu na hata kuwaza kwamba pasipo elimu hakuna mafanikio hali hii imeathiri hadi watoto wa wazazi hao na kusababisha wanafunzi kuweka imani yao katika masomo pekee, na kwamba bila kusoma kwa bidii hakuna...
 17. Pdidy

  MmMEANZA KUJADILI MA CPA MAWAKILI WASOMI SASA MA ENGN NA MAPROF MJIANDAE

  Nikiwa kama msomi nimeshtuka kuona watu wakijadili wakili msomi sijui wakina macpa. Kiukweli tunapoelekea mtaanza kutugusa wakina ma engn wakina maprof na sihaba mbeleni mkaanza kugusa mahsgal wasomi. Tubadilike kidogo tuheshimu elimu za watu wewe kama hukufikia eneo hilo kuwa mpole tu...
 18. Erythrocyte

  Ndugai anawaonea wivu Wanasheria kujiita ‘wasomi’? Bila shaka atawaandalia Muswada

  Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania, sasa sijui shida iko wapi, yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani! Tutarajie muswada wa kufuta huo...
 19. mshale21

  Spika Ndugai awashukia wasomi nchini, asema anajua watamshambulia katika mitandao

  Spika wa Bunge Job Ndugai amesema anakerwa na kada nne ambazo zinatukuza usomi wao mbele ya Watanzania wasiopenda kujikweza. Amezitaja kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati si lazima iwe hivyo...
 20. Mindi

  Ndugai Aanze na "Waheshimiwa" Wabunge kabla ya "Wasomi" Mawakili

  Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameeleza "kukerwa" kwake na kada nne kwamba wanajiona ni bora kuliko wengine. Kwa mfano Mawakili, ambao wana utaratibu wa kuitwa "Wakili Msomi" kabla ya kutaja jina. Hoja ya Ndugai ni kwamba iweje Mawakili waitane "Msomi" ambapo wasomi wako wengi tu, siyo Mawakili...
Top Bottom