matumizi sahihi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Kutumia condom ambayo ilikuwa expired mwezi huohuo, unaweza ambukizwa?

    Kuna mtu anauliza, Kama alishiiriki sex mwezi December , na mtu kwakutumia condom ambayo ilikuwa expired mwezi huohuo yaan mwezi December Je Kama huyo MTU Ana maambukizi anaweza kuambukizwa??
  2. X

    Nimechoka kujifanya najua, hebu tusaidiane hapa

    Naombeni matumizi sahihi ya iko na ipo au tuko na tupo. Ukitoa maelezo na mfano wa sentensi itakuwa vizuri zaidi
  3. JanguKamaJangu

    Mbeya: Watoto zaidi ya 3,000 wapewa Elimu ya Ukatili wa Kijinsia, utoaji wa taarifa za uhalifu na matumizi ya barabara

    Askofu Mkuu Jimbo Kuu la Mbeya Mhashamu Gervas Nyaisonga ambaye pia ni Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania akiwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi, Benjamin Kuzaga katika kilele cha Kongamano la Utoto Mtakatifu Jimbo la Mbeya lililofanyika Kanisa la Hija...
  4. S

    Matumizi sanifu na fasaha ya mofimu "kwa"

    Nimekuwa nikishuhudia baadhi ya ndugu zetu wa nchi jirani wakitumia mofimu "kwa" katika namna ambayo siyo sahihi kwa mjibu wa Kiswahili sanifu na fasaha. Ninaelewa kuwa kuna utofauti wa kilahaja na matumizi ya Kishengi lakini napenda kukumbusha juu ya matumizi sanifu na fasaha ya mofimu hiyo...
  5. Transistor

    Matumizi sahihi ya JF yanaweza kukufanya uishi maisha swadakta!

    JF nimejiunga miaka 12 ilopita. Japo sionekani sana kwa sasa ila ni sababu ya JF yenyewe imesababisha haya. Kupitia jukwaa hili nimevuna nilicho panda kwa wanajamii wenzangu. Kupitia JF mimi nipo kama nilivyo sasa. Napenda kusema Chochote nacho miliki,chochote nacho fanya na ajira yangu ya...
  6. G-Mdadisi

    Matumizi sahihi ya kiteknolojia yalete uwiano wa kijinsia

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kitaadhimisha siku ya wanawake dunia tarehe 15/3/2023 kwa kuandaa kongamano litakalojadili masuala ya matumizi sahihi ya teknolojia, changamoto na faida zake kwa wanawake na jamii kwa ujumla...
  7. Suley2019

    Zawadi Mkweru: Elimu ya matumizi sahihi ya mitandao ianzie shuleni

    Zawadi Mkweru, mtumishi wa Jamiiforums, leo ikiwa siku ya wanawake Duniani yupo Mbashara EATV akizungumzia masuala mbalimbali kuhusu matumizi sahihi na salama ya mitandao ya jamii. Katika mjadala huo Zawadi anafafanua umuhimu wa Elimu ya matumizi sahihi na salama ya mitandao kuanza kutolewa kwa...
  8. Candid Scope

    Matumizi sahihi ya neno mheshimiwa

    MATUMIZI YA NENO MHESHIMIWA (HONORABLE) Yahusu kuheshimisha nyadhifa na majukumu kwa majina ya nyadhifa na kazi zao. Waliosoma vyuo vikuu na kuchukia kozi ya rhetorical language watakuwa wamejifunza pia kipengere hiki na tungetazamia watumie jina mheshimiwa kwa usahihi na mahali pake. Pia...
  9. Sildenafil Citrate

    Ushauri: Matumizi sahihi ya Mswaki

    Kuna baadhi ya tabia hupaswa kufuatwa ili afya ya kinywa na meno iweze kubaki imara siku zote. Kwa mujibu wa Kituo Cha Udhibiti na Kinga ya Magonjwa cha Marekani (CDC), haya ndiyo mambo ya msingi kuzingatia unapokuwa unatumia mswaki wako. Unashauriwa kubadili mswaki wako kila baada ya miezi...
Back
Top Bottom