sahihi

  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kazi zipo ila wafanyakazi wenye sifa sahihi za uzalishaji kwa vitendo ndio hakuna

    Wapo watakao kuja na vyeti vingi na ufaulu wa A+ na kusema wana sifa sahihi za kupata kazi, lakini ukiwapa kazi wafanye kwa vitendo wanashindwa na kupelekea kupata hasara au kushuka kwa mauzo/faida. Mfano: Kiwanda X kinazalisha baiskeli 1000 kwa siku, na ili kiwanda X kiendelee kuzalisha na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Morocco walikuwa sahihi kutukana, ona tulivyoihaibisha Afrika

    Pole Afrika yangu,Yaani timu tisa zimeingia LAKINI zilizio fanya vizuri zile za waarabu tu Kila kitu kwetu kibaya 1. Magonjwa ya kuambukiza HIV Aids Ebora 2. Vita na ufisadi DRC, sudan,Central africa n.k 3. Udikteta ubinafsi, kungangania madaraka 3. Makanisa ya kitapeli na mashekh matapeli...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumlipia nauli mfanyakazi wako mpya?

    Katika pita pita zangu mtandaoni, nikakutana na kijana anatafuta kazi. Nikamfanyia usaili kwa njia ya mawasiliano, ikaonekana nikimpachika sehemu fulani itakuwa si mbaya, ili yeye apate nami pia nipate. Baada ya maongezi mengi, nikamshauri aende akaripoti kituo cha kazi ambacho kipo mkoa...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Rose Shaboka yupo sahihi, Mwanamke hapaswi kuishia kazi za nyumbani. Hayo ni mawazo finyu

    Hamjambo! Binti zetu wa Tibeli mwanamke mwenye mawazo ya kinyumbani nyumbani Anakosa video vya kuwa Mke. Mke mwema haishii tuu kuwaza kufua Boxers, sijui kupika, na kuosha vyombo. Mwanamke ambaye ni mtu na sio binadamu huwezi mtazama kwa angle Moja au nafasi Mojave. Mwanamke nje ya kuwa mke...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Tafsiri yake sahihi ni ipi? TLS inasimamia lipi?

    Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimetoa shukrani zake za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia magari mawili (Toyota Land Cruiser Hardtop) yatakayorahisisha utekelezaji wa majukumu ya Chama hicho. Makabidhiano hayo yamefanyika leo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je ufafanuzi huu wa Msigwa ni sahihi?

    Anasema Bajeti ni sh trilioni 62.3, na bajeti inajitegemea kwa mapato yote ya ndani kwa 74.2% sawa na sh trilioni 46.24, utata ni pale anaposisitiza kuwa tutakopa sh bilioni 500 tu. Je sh trilioni 15 zitapatikana wapi? Wataalam wa bajeti tafadhali mtueleweshe hapa.
  7. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Wauguzi chumba cha upasuaji MOI wakumbushwa misingi na kanuni za matumizi sahihi ya vipandikizi katika matibabu ya mivunjiko ya mifupa

    Wauguzi wa Chumba cha Upasuaji kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameendelea kupatiwa mafunzo ya kuwakumbusha misingi na kanuni za matumizi sahihi ya vipandikizi vinavyotumika katika matibabu ya mivunjiko ya mifupa, ikiwa ni sehemu ya programu endelevu inayodhaminiwa na...
  8. Toredo0

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua hii hali kunyamaziana kujifanya tunalinda 'brand' tunapoteza watu sahihi sema tu hatujui?

    Mimi na demu wangu wote tunalinda brand hakuna anayemtafuta mwenzie tunaishi kuangalia status😂😂🙌 dah kweli hapa za kichwa tu vp wewe ndugu yangu hali yako uko…
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi mataifa 10 yenye amani zaidi barani Afrika

    Kuna taarifa imetoka kuhusu orodha ya mataifa 10 yenye amani zaidi Afrika. Tanzania haimo, je ni sahihi kuwa Tanzania haimo hata kwenye kumi bora yenye amani barani afrika. Toa maoni yako. Nafasi ya amani Afrika
  10. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Naomba majibu sahihi kutoka kwa wataalamu wa Uchumi

    Pendekezo jipya la Serikali ya Tanzania kuruhusu kukopa moja kwa moja kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limezua mjadala mkali. Serikali inasema hatua hiyo itasaidia kukabiliana haraka na upungufu wa mapato unaotokana na matukio yasiyotegemewa. Hata hivyo, wakosoaji wanaibua maswali muhimu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local?

    Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local? Tunaomba mamlaka ziingilie kati sisi wamiliki wa malori ya local tunapitia wakati mgumu wa biashara kwani gari za transit zimekuwa zikitoka mfano DR Congo zinarudi bila mzigo zikifika Tanzania zikiwa zinarudi Dar zinapakia mzigo wa...
  12. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kudhibiti matumizi sahihi ya barabara za mwendokasi, iundwe BRT Enforcement Agency

    Malengo makuu ya miundombinu ya mabasi ya mwendokasi (BRT) ni kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri wa haraka na salama jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, lengo hili linahujumiwa vikali na ukiukwaji mkubwa wa sheria za usalama barabarani. Waendesha bodaboda na bajaj wamekuwa...
  13. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wapi ni sehemu sahihi pa kuyapata mafuta ya black seed (BLACK SEED OIL).?

    Karibuni wakuu
  14. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuhukumu wanawake kutanguliza kigezo cha pesa na status zaidi katika kutafuta mahusiano mapya?

  15. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Vinywaji: Fursa Kubwa Kama Utaanza Kwa Njia Sahihi

    Biashara ya kuuza vinywaji ni moja ya biashara zinazoweza kuwa na mzunguko mzuri wa fedha, hasa ukiifanya katika eneo lenye wateja wa uhakika. Vinywaji kama Konyagi, K-Vant, mvinyo, bia, soda, maji na vinywaji vingine vinaweza kuwa na soko kubwa kwenye maeneo ya makazi, karibu na migahawa, baa...
  16. pandex bawasiri

    JamiiForums Tanzania Unajua matibabu sahihi ya bawasiri??

    NA PANDEX HERBAL 🌎 KUTOKANA NA UZOEFU WA MATIBABU YA TATIZO HILI (BAWASIRI). ⤵️ Kwa kawaida, KANSA yoyote huanza tu pale ambapo seli hai kwenye sehemu ya mwili zinazaliana bila kukoma. Hali hii hufanya nyama ilundikane sehemu moja. Japokuwa Dalili za awali husemekana kufanana na Za BAWASIRI...
  17. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Chagua Jibu lililo Sahihi kati ya A,B na C.

    Bwana Juma ni Mkulima Bora wa Zao la........ A. Mparachichi. B. Parachichi. C. Miparachichi. D.Maparachichi.
  18. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kipindi sahihi chakudai Tanganyika kwa nguvu zote

    Wote tunashuhudia namna Wazanzibar kupitia wawakilishi wao wanavyoizungumza Tanganyika na watanganyika,Zanzibari ni nchi huru,basi tunaitaka Tanganyika huru na wakati ni sasa.
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Je, Ni Sahihi Watoto wa Darasa la Kwanza Kulazimishwa Kwenda Shule Kipindi cha Likizo?

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia inayozidi kuonekana katika baadhi ya shule binafsi hapa Dar es Salaam ambapo wanafunzi, hata wale wa Darasa la Kwanza wenye umri wa miaka sita au saba, hulazimishwa kuhudhuria masomo ya ziada wakati wa likizo. Hali hii inazua swali muhimu: Je...
  20. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kumfukuza Said Issa Mohamed ulikuwa sahihi kwa mujibu wa katiba yao CHADEMA

    JMT! Hivi karibuni kumetokea Sintofahamu baada ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo machachari sheikh Said issa mohamedi kufukuzwa uanachama na chama chake kwa madai mbali mbali.. hatahivyo baada ya kufukuzwa ameibuka na kudai kuwa ana uhalali wa kuendelea kuwa mwanachama kwa kuwa...
Back
Top Bottom