Hili ni tukio la ajabu na kweli lililofanyika huko Congo miaka kadhaa iliyopita.
Ilikuwa hivi: Mtoto mdogo aliumwa na nyoka mwenye sumu kali, akakata pumzi. Hakupumua kwa takriban masaa matatu. Kisayansi mtu asipopumua kwa muda huo mrefu, anapaswa kufa au kupata uharibifu mkubwa wa ubongo...
Hii ilitokea leo usiku ambaop nimechelewa kutoka kwenye mihangaiko yangu ( hua naingia mihangaikoni )
niliingia magetoni kama kawaida, na kila kitu kilikuwa kawaida kabisa. nilikuwa nimechoka sana na nataka kulala tuu. lakini nilishapanga leo ni ratiba ya kuoga baada ya kutoiga kwa siku kadhaa...
Mechi ya kiporo ya TRA SC dhidi ya Simba SC inatarajiwa kupigwa jioni saa 10:00 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Stadium, ikiwa ni sehemu ya mashindano ya NBC Premier League, ambapo timu zote zinatarajia kuonesha ushindani mkali kusaka alama 3 muhimu.
Kikosi cha TRA United SC
Kikosi cha...
Kichwa cha habari kinajieleza chenyewe, sina mudi ya kuandika sana
Kuna watu humu muda wote wapo online tu wanacomment sasa muda wa kufanya kazi wao wanautoa wapi jamani
Kuna mengi sana yananishangaza mno na bado yanakuja
chafya ngumu
min -me
Mtu yupo ndani kwake siku nzima, kama hujamzoea unaweza kuhisi kuna shida ila ukiishi hapo kwa muda mrefu unamgundua wala hana shida, haonyeshi dalili za masikitiko, ndo furaha yake,
Anapenda company lakini iwe ya muda mfupi tu, ukienda kumtembelea kaa nusu saa tembea, ukizidisha unamuona jinsi...
28 FEBRUARY 2026, Basi la Abood lilitoka Mbezi Bus Terminal, kufika chuo cha St Joseph likapata hitilafu, wahusika wakatoa taarifa kuwa Bus imekata Fen Belt, hivyo abiria tuwe wavumilivu fundi anakuja.
Tulikaa tangu Saa 1 Usiku hadi Saa 5 Usiku ndio Bus linaanza kutoka tena safari ya kutoka...
Anonymous (bbf7)
Thread
dar
huduma
huduma mbovu
mbeya
mbovu
saasaa 24
safari
wateja
Jamani mimi kama mdau wa elimu kuna suala nimeliona na naomba lifike kwa mamlaka husika.
Ipo hivi baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera zinafundisha watoto kuanzia asubuhi mpaka jioni wakati huo mtoto hajanywa uji wala kula chakula cha mchana.
Katika kufatilia...
Aisee waja tumlejelee Mungu radi iliopiga leo saa nane usiku asee ilikuwa na nguvu sana hadi nikahisi labda siku ya kiama 😂
Wewe mdau hii radi ulikukuta unafanya nini??
Kuna kitu nilifanya mwaka jana ambacho watu wengi waliniona kama nacheza mchezo wa ajabu kidogo.
Nilikaa siku 100 nzima bila kuangalia saa.
Hakuna sababu maalum. Sikuamka asubuhi nikasema tu moyoni, “leo naanza.” Nikajiambia nione kama inawezekana kuishi kawaida kabisa bila kujua muda ni saa...
Swali limenyooka hio wakuu, yaan halijapinda kabisa. Sasa nakuuliza wewe hapo ni kitu gani unaweza kufanya hata ukiwa usingizini yaan umelala ila ukaambiwa ufanye na ukafanya saa 7 usiku bila shida na ukakifanya kwa kukinyoosha kabisa.
Mimi nina vitu km vitatu ila kwa leo nitataja vitu viwili...
Chagua rangi unayoipenda – Gold Black au Silver
Muonekano wa kisasa, unafaa kwa ofisini, sherehe na matumizi ya kila siku
Quartz movement – zinatunza muda sahihi
Zina kalenda (Date)
Ubora wa hali ya juu
Zinakaa vizuri mkononi
Bei: 25,000/= tu
Arusha Town
0712350159
Wakuu,
Haya ni maneno ya Donald Trump baada ya Marekani na Israel kushambulia Iran
"Hatimaye, kwa wananchi wa Iran, nasema usiku wa leo kwamba saa ya uhuru wenu imewadia. Kaeni mahali salama. Msitoke majumbani mwenu. Nje ni hatari sana. Mabomu yatakuwa yakidondoka kila mahali...
Wakuu mwenye experience na hiki kitu please anisaidie niunganishe hii saa na Simu kwani itakua rahisi hata kuset mda pale nitakapokua nasafiri kwenda nje au kurudi Tanzania.
Role Model wangu ni Mohammad. Namkubali sana kwa mambo yake na maisha yake.
Mi napenda mademu. Nawachakata sana. Siyo kipolepole. Iwe mijimama/mishangazi na vichen chede. Hii ipo damuni kama kiongozi wangu rahma za aallah zimmulikie huko aliko.
Masuala ya kupasuana kwa chupa, nondo, mawe...
Ruvuma–Songea–Mkuzo kumekuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji hapa Songea.
Mamlaka ya maji (SOUWASA) wamekuwa wakifungua maji usiku kuanzia saa 9 na kuyakata tena saa 11 usiku, hali inayowaathiri wananchi wengi kushindwa kupata huduma kwa wakati unaofaa.
Ni vyema wakajirekebisha na...
Anonymous
Thread
changamoto
changamoto ya maji
kukata
maji
saa
songea
usiku
hapa nimekupangia maandishi yako kwa mpangilio mzuri lakini bado kwa herufi ndogo:
day one
no 1
1. omba Toba na Rehema
juu yako
familia yako
ukoo wenu
taja mababu na watoto wako kwa majina
2. ombea anga
kemea pepo wachafu walioshikilia anga lako
ombea anga la wanao na la sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.