Nimefuatilia kuhusu mechi ya kesho ya Simba na Yanga, nimesikia mechi inatakiwa kuanza saa 11:00 jioni. Najua hata huko nyuma, kuna mechi kadhaa zilianza muda huo ila naona hili ni kosa la kiufundi.
Mechi ikianza muda huo inamaanisha nusu ya mechi itakuwa wakati wa mwanga wa jua na nusu itakuwa...
Jamani Nani ambaye haoni how strong, stable minded and good visionary Rais Samia anavyoonesha?
Kwa sasa nchi Ina mikakati, sera nzuri za kuwavutia wawekezaji, sera ambazo haziwakimbizi wawekezaji Bali kuwavutia. Utalii ndonusiseme.
Vijana waliosoma tourism wanapata ajira daily Mana mahoteli...
Msemo.....
"Mtoto akililia wembe mpe umkate vizuri ili akome na siku zingine awe na adabu"
Wimbo.....
"Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee.... Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee...."
Na hasa hasa kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12 kamili jioni ndiyo GENTAMYCINE nitakuwa makini kuusema huo...
Ila siyo Siri Mo Dewji kwa sasa wala nisikufiche unazingua na unatuzingua sana tu wana Simba SC hasa kupitia hicho Kifidodido chako CEO Barbara Gonzalez.
Hivi Wewe Mo Dewji kama kweli Mzigo wa 20 Billion upo na uliuweka Simba SC ndiyo tushindwe kweli kutoa Tsh Milioni 800 kwa Victor Adebayor...
This one is for the people.
Adui anatawala watu wanadamu bila wao kufahamu. Ni Siri kubwa iliyofichwa katika namba. Toka binadamu anazaliwa huwa kuna namba maalumu ambazo initiates yoyote ambaye yupo kitendo anaweza kufahamu destiny yako. Namba ya kwanza MTU anayopewa IPO katika cheti cha...
Nimejaribu kuhamia mtandao huu kwa wiki ya pili sasa lakini sina hamu nao, yaani ikifika mida ya saa mbili usiku spidi ya internet inashuka sana kiasi kwamba hata kucheki video ni kwa kusua sua, mida hii ndio huwa napenda kutumia net lakini kwa hali nayokutana nayo ni mateso tu, si enjoy hata...
Wataalam kutoka Kituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa cha Marekani CDC wanashauri watu wazima kupata masaa 7 hadi 8 ya kulala kila siku.
Wanasema ukosefu wa usingizi wa kutosha unahusishwa na hatari ya kupata magonjwa sugu ikiwemo Kisukari, Magonjwa wa Moyo na Mishipa, Unene kupita kiasi na...
ZUMARI TV AZAM: KIPINDI MAALUM CHA MALKIA ELIZABETH (1926 - 2022) JAFFAR MPONDA NA MOHAMED SAID LEO USIKU SAA TATU
Picha ya kwanza Malkia Elizabeth 1953.
Picha ya Pili barua ya viongozi wa TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth wakimpongeza kwa kuwatawazwa kuwa malkia 1953.
Mwandishi kulia akiwa nje...
iOS 16 inategemewa kutoka leo kuanzia mida ya saa 2 Usiku, na latest report ya mwisho ambayo imevuja inaonyesha mabadiliko mapya ambayo yatawakuta wale ambao wanatumia AirPods feki!
Code ya iOS16 iliyotoka wiki iliyopita inaonyesha iOS 16 ina uwezo wa kutambua kama AirPods ni original au ni...
Ninavyoandika hivi kuna Waumini wako (Mabinti na Wamama) wanarandaranda tu Kawe Stendi, Maringo na Ukwamani wakikosa Usafiri hivyo Fisi tuliopo Leo tumepata Nyama za Bure za Kula kwani tutawahifadhi Makwetu na Maghettoni na Kesho watakupa Ushuhuda wa Kubeba Mimba kwani Wengine tuna Mbegu Kali...
Na gia yenu Kubwa hiyo Mida huwa mnajifanya Vishkwambi vyenu vimeisha Chaji hivyo mnaomba mvichaji kumbe Timing yenu Kuu huwa ni Kuwepo katika Ratiba zetu za Kula mkijua kuwa Watanzania ni Wakarimu hivyo mtakaribishwa na mtakula tu.
Kuna Mwenzenu leo kajua kwanini Nyoka hana Ugoko au kwanini...
Habari wadau.
Kwanini tusifanye harambee kuboresha shule zetu ili vizazi vyetu vipate elimu bora na kupata taifa la wenye akili.
Kuna uzi humu kanisani kijitonyama milioni 300 ya kununua nyumba ya mchungaji ilichangwa nusu saa tu.
Nikawaza watoto wanaosali hapo kanisani je wote wanapata elimu...
Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo katika jukwaa la JamiiForums.com, kumekuwa na majadiliano na masuali yanahoji au kutoa taarifa ambazo wengi hawana uthibitisho nazo kuhusu dawa za kuzuia maambukizi ya VVU ambazo muhusika anatakiwa kutumia ndani ya masaa 72. Je, hili lina ukweli? Na...
Sasa ndiyo tutaheshimiana Mjini hapa kwani Goal Scoring Machine inatua rasmi Simba SC.
Kuna Uwezekano mkubwa Victor Agban ndiyo akaachwa na Simba SC kwani Kocha hajamkubali japo Viongozi wa Simba SC wao wanataka Mzungu wa Kocha Mshambuliaji Dejan Georgeviovich ndiyo aachwe.
Ikitokea Wawili...
Adai ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Mwigulu Nchemba auchuna.
Mbowe ahoji utitiri wa magari msafara wa Rais
=======
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema utitiri wa magari katika msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan hauendani na dhana ya serikali ya kubana matumizi.
Amesema...
Ndugu wahusika,
Mimi ninatatizo la hizi aina ya MITA za TANESCO Mpya, Yaani maeneo yangu IFIKAPO jioni ya saa 12 jioni mpaka saa 4 usiku ni shida Kila dakika Moja umeme unakatika na kuwaka mfululizo, cha ajabu majirani zangu umeme upo mda wote.
Nilijaribu kuulizia Taneco wanasema aina ya MITA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.