Ninawasilisha malalamiko yangu rasmi kuhusu huduma ya Azam TV ambayo nimeilipia lakini sijapata huduma ninayostahili, pamoja na kushindwa kabisa kupata msaada kutoka kwa huduma kwa wateja.
1. NIMELIPIA TSH 28,000 LAKINI HUDUMA SIJAPATA KAMILI
Jana nililipa TSh 28,000 kwa ajili ya kifurushi cha...
TTCL inapaswa kuboresha utoaji wa taarifa kwa wateja kuhusu huduma zake za intaneti. Kwa sasa, hakuna taarifa zinapotokea hitilafu za huduma, huduma zinaporejea, au kunapokuwa na matengenezo yaliyopangwa (scheduled maintenance).
Hii ni changamoto ya muda mrefu ambayo imekuwa ikiwasababishia...
Ni mara ngapi umepiga simu kwenye Taasisi na simu haikupokelewa?
Ni mara ngapi umetuma ujumbe na hukujibiwa?
Ni mara ngapi umepiga simu na number haipatikani sasa unajiuliza kwanini waliweka mawasiliano yao
Nadhani imefika wakati sasa pawepo na sheria inayowataka kujibu kwa wakati ambayo...
Habari,, Tuna Huduma mbalimbali zinazohudumia mamilioni ya wateja nchini kama vile mitandao ya simu, tanesco, mabenki nk.
Ingependeza sana taasisi muhimu kama NECTA ingeweka juhudi zaidi katika ubora wa Huduma kwa wateje hasa wale wa mikoani kwani Huduma muhimu kama vile uthibitisho wa vyeti...
Nina malalamiko yangu kwa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuhusu huduma ya mawasiliano kwa wateja.
Kumekuwa na changamoto kubwa ya kutopokelewa simu tunapowasiliana na ofisi zao kwa ajili ya kupata msaada au ufafanuzi wa masuala mbalimbali. Mara nyingi...
Anonymous
Thread
baraza
changamoto
elimu
elimu ya
elimu ya ufundi
hudumahudumakwawateja
kero
malalamiko
nactevet
nactvet
simu
taasisi
tcu
ufundi
wahusika
wateja
Sisi baadhi ya wananchi tuna malalamiko kuhusu hali ya utoaji huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Igawilo, zipo changamoto mbalimbali zinazoathiri upatikanaji wa huduma bora za afya kwa leo nitazitaja mbili tu.
Kwanza kabla ya yote kuna huduma zisizoridhisha kwa baadhi ya Watumishi...
Siku ya sikukuu ya Idd, watoto waliniomba niwapeleke eneo la kuogelea. Nilishauriana na mke wangu, naye akapendekeza tuwapeleke Jangwani Sea Breeze, kwani ni sehemu iliyo karibu, na pia watoto wamekuwa wakisikia ikitajwa na wenzao shuleni.
Nilikubali. Nikawasha gari, mimi na mke wangu...
Kipekee nipende kuwapongeza TANESCO upande wa huduma kwa wateja wako vizuri sana kuliko taasisi yoyote ile ya serikali (nadhani) wanapokea simu faster sana na kurespond. kama fire wangekuwa hivi tungefika mbali
Halafu kuna RITA sasa hao hata namba iliyo kwa website yao haipatikani .
Hawa jamaa ni very conservative, slow, backward and premitive institution.
Upande wa customer care ni wabovu na wameoza. Unaweza kuweka hela zako vizuri kabisa ila kuzitoa sasa utazungushwa kama deni. Najua hata humu JF wapo watakuja kujitetea ila uliza wateja wa UTT watakwambia.
Mfano hela...
Tunaomba tusaidiwe hii wizara ya elimu walizindua kituo Cha huduma juzijuzi na wakatangaza ila ukipiga simu utakuta namba haipatikani au namba haipokewi tunaomba kusaidiwa kufikisha hii taarifa kwa wahusika
TRA Tanzania wana customer care mbovu sana, wanatudharau wateja wao, hawataki kujibu kwa wakati na walikuwa na haja gani ya kufungua account ambayo hawaiendeshi?
Katika ajira zilizotangazwa juzi juzi wameshindwa hata kuajiri watu watakaosimamia hi mitandao yao ya kijamii.
Kama hawa tra wa...
Katika kuhakikisha TANESCO unahudumia wateja wake kwa haraka na kwa ufasaha, wamezindua namba mpya 180 ya kupiga bure masaa 24.
Havi karibu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alieleza kutoridhishwa kwake na Kituo cha Huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme Tanzania...
Heshima kwenu Wakuu,
Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki.. yani sijawahi onyeshwa nyodo za hivi ata na mwanamke tokea nizaliwe.
Huyo jamaa siku ya kwanza...
Baadhi ya Watumishi wa NHIF Kibaha Mkoani Pwani huduma zao sio nzuri, pia lugha zao pia sio rafiki kwa wateja, nimeshuhudia hali hiyo mara kadhaa na Wateja wengi wamekuwa wakilalamika.
Mfano kuna mtu aliambiwa na mtumishi mmoja wa hapo “Wewe chizi nini! Kwani umezaa na baba yako...?” Kisa...
Baadhi ya Kampuni za simu Tanzania nadhani hazina akili timamu, tabia ya kuzuia simu za wateja na kuwachatisha WhatsApp kupitia BOT ni ulimbukeni
Hii tabia ya baadhi ya kampuni za simu kuzuia huduma ya kuzungumza na wateja kupitia namba 100 sijui wametoa wapi TCRA wachukulieni hatua hawa watu...
Wakuu
Kash Kash karibu na uchaguzi
==
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekemea vikali utendaji wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) "Mmeanza kulala, mmezoea kazi, mmezoea matatizo. Mwaka mzima matatizo, tunarudi nyuma. Siwezi kukubali hiyo biashara ya kufika mahali...
Napenda kutoa malalamiko yangu kwa bank ya MCB.Hii bank kitengo chao cha huduma kwa wateja hakina msaada wowote kwa sababu baadhi ya namba hazipatikani na namba inayopatikana simu haipokelewi.Ni muda wa wiki moja sasa kila nikijaribu kuwapigia simu haipokelewi kwa zaidi ya saa moja.Hata...
Wadau mitandao ya Airtel na Voda ina sumbua wateja sababu haiwezi kupokea pesa kutika Bank nk au kutuma pesa
Matokeo yake wananchi wanakula sikukuu kwa shida. TCRA piga fain au fungueni Hawa jamaa kwa siku tatu Hadi waingeze ubora na umakini.
Vitendo wanavyofanya wanmzarau Rais Samia?.Mbona...
Moja kwa Moja kwenye mada husikq
Leo nilikuwa mahitaji kuongea na huduma kwa wateja kwa kupiga namba 100 yaliyonikuta ni kupata huduma mbovu pasipo kuongea na watu wa huduma kwa wateja( customer Care
Kwanza ukipiga unapata kibwagizo kwa wale wanao hitaji Puk, alafu wanakija na option 2 za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.