Salama kaka. Ndugu yangu anauza friji lake ambalo ni jipya kabisa. Anaamua kuliuza kwa sababu kwa sasa anamhudumia baba yake ambaye anaumwa, hivyo gharama za matibabu zimekuwa kubwa na anahitaji fedha kwa ajili ya kodi
Friji lipo Makabe, lita 177 lina warranty na liko katika hali nzuri sana...
Wana-JF, boma linauzwa moja kwa moja kutoka kwa mmiliki. Limefikia kozi 11 na lina potential nzuri kwa mwekezaji anayehitaji kuendeleza ujenzi kulingana na matumizi yake.
🏠 Vyumba 5 – 4 Master
🛋️ Sitting Room | 🍽️ Dining | 🍳 Kitchen | 📦 Store
📐 Kiwanja: mita za mraba 19m × 17m na 18m × 14m
💧...
Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza hapo juu.
Nauza mashudu ya alizeti mazuri kutoka Morogoro, nina kiwanda cha kukamua mafuta sasa nina mashudu ya kutosha nimeona niyapunguze stock yangu imeshajaa. Kilo moja nauza sh 500. Hata ukihitaji tani 30 unapata.
Natuma mkoa wowote ule
Karibuni
0636642415
Nauza HP ProBook 655B ikiwa katika hali nzuri na bila kipengele.
Specifications:
RAM: 4GB
Storage: 256GB HDD
Processor: Intel Core i5
Processor Speed: 2.5GHz
💰 Bei: TSh 270,000
📞 Kwa mawasiliano: 0793965294
Nalengesha kimya kimya, usipige kelele.
Nissan Dualis DT
Year: 2008
CC: 1900
Petrol engine MR20
Full AC
TZS 10 Milioni
CALL 0657783083 AU 0623583083
LOC : Sinza , DSM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.